Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tundu Lisu, Zitto Kabwe na Maria Sarungi!Wanaouliza Rais yuko wapi ni walewale
Kwani rais anatakiwa kuwa wapi?Ulichoandika sijaona hoja hapa
Zaidi zaidi naona kama unataka kujikosoa nakuona ulikosea kwenye ile thread yako ya "ya rais kama anaumwa tuambiwe"....
Na wataendelea kuuliza ikiwa hawataridhishwa na majibu.Cha kushangaza ni kwamba wanaoulizia Rais aliko ni walewale waliotuambia yuko nairobi hospital, ni walewale waliotuambia yuko kati ya sehemu mbili[emoji849] india au china [emoji848][emoji848]
Yohane johnthebaptist hawa watu tuwaiteje!?
Siku hizi humuanini Lissu? Si ameshawaambia alipo?Mkuu mimi naona ni vyema wasaidizi wa Rais wawe mbele katika kutoa taarifa sahihi ili kuepuka watu kuanza kuwa na hisia tofauti. Muda wa zaidi ya wiki mbili kwa Rais kutokuonekana hadharani ama katika luninga ama hata kusikika redioni ni jambo ambalo ni lazima litaamsha shahuku na udadisi kwa watu wengi..
Nime notice sasa hivi wameacha kudai yuko hizo sehemu!Cha kushangaza ni kwamba wanaoulizia Rais aliko ni walewale waliotuambia yuko nairobi hospital, ni walewale waliotuambia yuko kati ya sehemu mbili🙄 india au china 🤔🤔
Yohane johnthebaptist hawa watu tuwaiteje!?
Si wanajua alipo? Sasa wanachouliza ni niniNa wataendelea kuuliza ikiwa hawataridhishwa na majibu.
Mleta Uzi atoa ufafanuzi wa Aina ya maswali.
Mojawapo maswali chokonozi
Watoa taarifa waliwaingiza poriniNime notice sasa hivi wameacha kudai yuko hizo sehemu!
Hili swala la mzee wetu kutingwa na majukumu kiasi cha kushindwa juzi kwenda kanisani linakuzwa sana na wahuni akina kigogo2014, hivi kweli kama rais angekuwa amepelekwa nje ya nchi unadhani tusingetangaziwa,maana sioni sababu ya rais kwenda nje ya nchi bila kututaka watanzania tumuombee
Mzee yuko kwenye Mfungo, Kwaresma hii! watu muambiwaje ili muelewe? subirini amalize mtamuona! simple and clear!Ulichoandika sijaona hoja hapa
Zaidi zaidi naona kama unataka kujikosoa nakuona ulikosea kwenye ile thread yako ya "ya rais kama anaumwa tuambiwe"
Umeingiwa na woga.
Swali linabakia lile like "Rais yuko wapi"?
Kama ni mzima ajitokeze hadharani, kama anaumwa tuambiwe.
Cha kushangaza ni kwamba wanaoulizia Rais aliko ni walewale waliotuambia yuko nairobi hospital, ni walewale waliotuambia yuko kati ya sehemu mbili🙄 india au china 🤔🤔
Yohane johnthebaptist hawa watu tuwaiteje!?