Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga mkubwa. Unafikiri kwa tako badala ya kichwa.Nasikitika kusema kwamba sera hii sasa inakosa mashiko kabisa kwa hiki kilichotokea leo hii.
Ni ngumu sana kuamini watu wanao pigania Uhuru wa vyombo vya habari kushindwa kuwa wavumilivu na kuviacha vyombo hivyo vifanye kazi kwa Uhuru na utashi wao.
Kama kweli CHADEMA inapigania Uhuru wa vyombo vya habari basi wangeacha TBC warushe mkutano wao kwa Uhuru bila ya kushinikizwa kufanya hivyo kwa matakwa ya CHADEMA.
Ifahamike kuwa TBC ni chombo Cha habari Cha Taifa hivyo basi hakiwezi kurusha matamko yoyote yenye viashiria vya kueneza Chuki na uvunjifu wa amani. Ni lazima wafanye uchambuzi wa kipi kinayakiwa kiwafikie watanzania sasa matamko ya viongozi wa CHADEMA hayakuwa mazuri.
Mfano ni Tundu Lissu alikuwa akisema haya.
"Kama wanategemea tutajitoa kwenye Uchaguzi huu, hilo wasahau. Kwenye kila mkutano wetu wa kampeni, wananchi nchi nzima muanze mikutano kwa maandamano ya amani kudai wagombea wetu warudishwe bila masharti yoyote. Watanzania msikubali kukaa kimya tena,"
"Tunaziomba Jumuiya za Kimataifa zituunge mkono katika jambo hili la kupigania wagombea wa vyama vya upinzani ambao wameunguliwa kwasababu za kihuni maana jambo hili ni kinyume pia na sheria za kimataifa.."
Rais Magufuli aliwaambia wasimamizi wa Tume ya uchaguzi, ambao ni wateule wake, “Siwezi kuwalipa mishahara mikubwa na magari mazuri, halafu mkatangaze wapinzani kuwa washindi kwenye uchaguzi.” Haya ni matokeo ya maelekezo hayo!
Sasa Chombo Cha habari Cha Taifa hakiwezi kutangaza kauli za namna hiyo popote pale dunia sio kwa Tanzania tu pekee.
Mhe Mbowe alienda mbali zaidi na kusema kuwa hawana haja ya kunadi Ilani ya uchaguzi badala yake wanatakiwa wananchi wakadai haki, alipoanza kudai kuwauliza watu kuwa wangapi wapo tayari kwenda kudai haki ndipo hapo TBC wakakata matangazo walipo rudi hewani mhe Mbowe akawapa dk 15 waondoke kwenye mkutano wao.
Je huu Uhuru wa vyombo vya habari tunao upogania ni upi hapa ikiwa hawataka kuviacha vyombo vya habari vitangaze kulingana na weledi wao ? Kwanini walitaka TBC watangaze kwa matakwa ya CHADEMA tu?.View attachment 1550947
Katika hili CHADEMA mnajiharibia wenyewe.View attachment 1550950
Je hiki walicho kifanya leo CHADEMA hakijawanyima haki watanzania kupata habari? Huu sio ukandamizaji wa vyombo vya habari?
Wewe jamaa mahaba yako kwa ccm yanakufanya kuwa taahira. Mbona bwana yule huwa hadi anatukana kabisa, kuita wateule wake wapumbavu lakini huwa hawazimi sauti wala kufanya walichofanya leo? Acha kutetea ujinga.
Tuone kesho Mzee meko atakatishwa hotuba yakeTatizo liko wapi? hata kama wakitoa uchambuzi huoni kama walikuwa wakitimiza majukumu yao na wanapaswa waachwe wafanye kazi yao kwa uhuru?
Jokakuu hapa suala sio kauli ya TL au kauli ya Mbowe...ungejitahidi kuwa BALANCED kwa kueleza makosa ya pande zote, yaani TBC, na CDM.
..lakini mimi kwa upande wangu sijaona tatizo lolote ktk kauli ya TL kwamba wananchi waandamane kwa AMANI kudai haki yao.
Kama hawawezi kutangaza hivyo unavyosema TBC walienda kufanya nini mkutanoniNasikitika kusema kwamba sera hii sasa inakosa mashiko kabisa kwa hiki kilichotokea leo hii.
Ni ngumu sana kuamini watu wanao pigania Uhuru wa vyombo vya habari kushindwa kuwa wavumilivu na kuviacha vyombo hivyo vifanye kazi kwa Uhuru na utashi wao.
Kama kweli CHADEMA inapigania Uhuru wa vyombo vya habari basi wangeacha TBC warushe mkutano wao kwa Uhuru bila ya kushinikizwa kufanya hivyo kwa matakwa ya CHADEMA.
Ifahamike kuwa TBC ni chombo Cha habari Cha Taifa hivyo basi hakiwezi kurusha matamko yoyote yenye viashiria vya kueneza Chuki na uvunjifu wa amani. Ni lazima wafanye uchambuzi wa kipi kinayakiwa kiwafikie watanzania sasa matamko ya viongozi wa CHADEMA hayakuwa mazuri.
Mfano ni Tundu Lissu alikuwa akisema haya.
"Kama wanategemea tutajitoa kwenye Uchaguzi huu, hilo wasahau. Kwenye kila mkutano wetu wa kampeni, wananchi nchi nzima muanze mikutano kwa maandamano ya amani kudai wagombea wetu warudishwe bila masharti yoyote. Watanzania msikubali kukaa kimya tena,"
"Tunaziomba Jumuiya za Kimataifa zituunge mkono katika jambo hili la kupigania wagombea wa vyama vya upinzani ambao wameunguliwa kwasababu za kihuni maana jambo hili ni kinyume pia na sheria za kimataifa.."
Rais Magufuli aliwaambia wasimamizi wa Tume ya uchaguzi, ambao ni wateule wake, “Siwezi kuwalipa mishahara mikubwa na magari mazuri, halafu mkatangaze wapinzani kuwa washindi kwenye uchaguzi.” Haya ni matokeo ya maelekezo hayo!
Sasa Chombo Cha habari Cha Taifa hakiwezi kutangaza kauli za namna hiyo popote pale dunia sio kwa Tanzania tu pekee.
Mhe Mbowe alienda mbali zaidi na kusema kuwa hawana haja ya kunadi Ilani ya uchaguzi badala yake wanatakiwa wananchi wakadai haki, alipoanza kudai kuwauliza watu kuwa wangapi wapo tayari kwenda kudai haki ndipo hapo TBC wakakata matangazo walipo rudi hewani mhe Mbowe akawapa dk 15 waondoke kwenye mkutano wao.
Je huu Uhuru wa vyombo vya habari tunao upogania ni upi hapa ikiwa hawataka kuviacha vyombo vya habari vitangaze kulingana na weledi wao ? Kwanini walitaka TBC watangaze kwa matakwa ya CHADEMA tu?.View attachment 1550947
Katika hili CHADEMA mnajiharibia wenyewe.View attachment 1550950
Je hiki walicho kifanya leo CHADEMA hakijawanyima haki watanzania kupata habari? Huu sio ukandamizaji wa vyombo vya habari?
Na wewe mahaba yako kwa Lissu yasi-overcloud thinking capacity yako, ina maana kisa CCM kuna mtu huwa anafànya hivo hicho ndio kina justify CHADEMA pia kufanya hicho hicho?Wewe jamaa mahaba yako kwa ccm yanakufanya kuwa taahira. Mbona bwana yule huwa hadi anatukana kabisa, kuita wateule wake wapumbavu lakini huwa hawazimi sauti wala kufanya walichofanya leo? Acha kutetea ujinga.
Nitailoga TBCNilikuwa nafuatilia kupitia TBC, bora hata walivyowafukuza. Kila yule jamaa akitupiwa mawe, walikuwa wanakata sauti.
Ajabu, Rais anapowatukana watumishi wake mbele ya Camera, huwa hawakati sauti yake ya matusi anayorusha dhidi ya wateule wake.
Nadhani matusi ya Rais ndiyo yanafaa, ila yeye haipendezi akitukanwa. Mimi binafsi huwa nakwazika sana kuona wateule wanatukanwa mbele ya waTanzania wote.
Anyway, kuna nukuu kwenye Biblia inasema hivi.
na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa.
Jamaa anapenda kuwapimia wenzake matusi, awe anavumilia akitupiwa matusi na wengine.
Iloge tuNitailoga TBC
Subiria na utaleta mrejeshoIloge tu
Jokakuu hapa suala sio kauli ya TL au kauli ya Mbowe.
Kukifukuza chombo cha habari huoni ndiyo uminywaji wenyewe wa habari?
Mfano mzuri tu ni ukandamizaji wa serikali dhidi ya vyombo vya habari ambao tumekuwa tunaupigia kelele hapa.
Kama serikali inafungia chombo cha habari kisa tu kinatofautiana na serikali iweje leo utetee chama kinachojinadi cha demokrasia kufukuza chombo cha habari kisichoripoti kinavyotaka.
Kiongozi anayefukuza chombo cha habari hadharani keshi ukimpa Dola si ataishia kuwachoma moto waandishi watakaoenda kinyume na matakwa yake?
Mkuu kwa sheria zetu wewe ukisimama ukasema manbo ambayo yanakiuka amani au yanahatarisha usalama kisha TBC wakakurusha hewani, vyombo vya Dola vitamfuata TBC. Tuelewe hili kwanza...nilidhani TBC ndio waliokuwa wanaminya habari.
..au wewe mwenzangu uliona kitu tofauti?
..Mbowe alikuwa anawataka TBC watangaze habari.
..lakini TBC walikuwa hawataki kutangaza, badala yake wanaminya habari.
..nadhani wa kulaumiwa ni TBC. Na kwa kweli walikuwa ni KERO kubwa haswa kwa sisi watazamaji.
Wewe bwekaa lakini ndo washafukuzwa siku nyengine watakua na heshima!!Jokakuu hapa suala sio kauli ya TL au kauli ya Mbowe.
Kukifukuza chombo cha habari huoni ndiyo uminywaji wenyewe wa habari?
Mfano mzuri tu ni ukandamizaji wa serikali dhidi ya vyombo vya habari ambao tumekuwa tunaupigia kelele hapa.
Kama serikali inafungia chombo cha habari kisa tu kinatofautiana na serikali iweje leo utetee chama kinachojinadi cha demokrasia kufukuza chombo cha habari kisichoripoti kinavyotaka.
Kiongozi anayefukuza chombo cha habari hadharani keshi ukimpa Dola si ataishia kuwachoma moto waandishi watakaoenda kinyume na matakwa yake?
............Wewe bwekaa lakini ndo washafukuzwa siku nyengine watakua na heshima!!