Hoja kwa Gwajima: Barabara ya Tegeta Nyuki hadi Baobab Sekondari huisemei na utatudai kura 2025? Tukutane 2025 Mchungaji

All to all bado mwananchi hana nguvu ya kuamua hususani mwananchi huyu Mtanzania.
 
Yaani hela zote wamehamishia mbweni anakojenga mama na makamu, PM na cs na wengineo.
Hata barabsra iliyokua inajengwa ununio vs mbweni hadi club ya simba imesimama

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Hivi ile treni aliyo sema ataagiza pamoja na boat watu wa Kawe watumie zimesha fika Kawe?
 
Kwa ufupi sana Nchi ipo ukanda ule! Mbishi ni yule ambaye anapita tu Bagamoyo Road
 
Kweli kabisa huko ni kama Beverly Hills.
 
Nadhank wakati wa Magufuli iliwahi kusikika kwamba barabara hii itapanuliwa kuwa njia nne.

Ni wakati sahihi tujaribu kuleta Contractor wanaoleweka kama Konoike, Strabag na wengineo hawa wachina wanatoa bahasha za kaki kwa wingi hawajengi kwa viwango njia ya bagamoyo ina mizigo mingi ya kati michanga,kokoto, cement na sasa imekuwa transit road ya kwenda Arusha.

Inashangaza na kustaajabisha mkandarasi wa kichovu anabandua rami halafu anaweka lami yenye laye hafifu kwa uzito unaobeba barabara hii haitadumu miaka 5.

Hebu wizara ya ujenzi nendeni Zambia au Rwanda maana kenya lami zao ni balaa haswa hii new Expressway ya kulipia lami kweli sio viraka vya kuweka na makoleo.

Gwajima mtumishi naona amepoa sana tunahitaji mihemuko kama ya Halima mdee sauti ya zege mjengoni. Hii mitaa korofi kama shopperz to makonde mbona.lami zinachelewa sana. Baobab to kibaha mkeka ulitakiwa uwe tayari. Hakika tutakumiss msukuma JPM. Wengine tuliota hata mitaa midogo ingepigwa lami sio anasa ni maendeleo
 
Yote uliyouliza ni majibu. Nataka ISEMEWE na IJENGWE. Period. Mwambie ndugu yako Gwajima tunajiandaa kumpiga knock-out moja ya millennium sababu ya hii Road. Hataacha kuona rangi zote asubiri
 
Kwani Gwajima alichaguliwa na wana Kawe au alipewa Ubunge na JPM. Sidhani kama anajali!
Whichever way and case it might be; sisi tunamsubiri tu kwenye kona. Time will tell. Naona kawa mbunge wa kitaifa!
 
Day dreams hizi!
 
Katika kosa alilofanya mzee wa msoga ni kutotengeneza double road ya tegeta nyuki baobab. Yaani siku nyingine tuteue wanaokaa bunju au mbweni huyu anayekaa salasala hatufai kitu.
Naunga mkono hoja bora yule jamaa wa Mabwe awe Mbunge 2025 kuliko mfufuaji. Mfufuaji hajali kabisa.
 
Mzee baba Bunju ipi unakaa? Tusijeibiana michepuko bila shuruti...

Karibu Makuti baa siku moja tupige gambe
 
Watu potential una maana gani?

Watu potential ni wakulima na wafugaji ambao wala hawakai dar

Naomba tuendelee kuzalisha mali na tusiyumbishwe na hao wachuuzi wa hapo mzizima
Kwanini hao wakulima wawe potential na hawa anaowazungumza huyu jamaa wasiwe potential. Unaweza kufafanua zaidi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…