Hoja kwa Gwajima: Barabara ya Tegeta Nyuki hadi Baobab Sekondari huisemei na utatudai kura 2025? Tukutane 2025 Mchungaji

Watu muhimu wa nchi hii tupo, oysterbay, masaki, msasani, mikocheni na mbezi beach, huko kwingine ni kwenye mashamba yetu
Huko mnakaa wababu na wabibi. Vijana watawala wapya wa nchi kizazi cha sasa tupo huku Mbweni, Ununio na Bunju beach. Huko tumewaachia nyie wastaafu mliopigania uhuru by the way hamuendi mjini siku hizi mnakula mafao, so tuacheni tudai barabara ziwe kama zenu.
 
Mchungaji Gwajima hii barabara ni muhimu sana. Tumeshaisemea sana SISI WANANCHI WA jimbo la Kawe hasa tunaoishi huku Bunju.

Asubuhi inakuwa kero sana kufika mjini ila sasa wizara ya Ujenzi imeleta bajeti yake hatukuoni ukiitetea ili tupate double lane muendelezo wa iliyoishia njiapanda ya Tegeta Nyuki.

Mzee baba fanya uwaambie Wizara tunahitaji double lane hapa, tunaopanga kukupinga 2025 hii tutaitumia kama pointi ya kukuchallenge.

Act accordingly Mheshimiwa.
Mbona ipo kwenye plan, sasa hivi BRT phase 4 ipo mwishoni wa Design stage?haupo informed, BRT 4 inasogea mpaka Bunju, ikiwa na njia nne za magari, watembea kwa miguu na service road...relax huwezi kupiga kelele kwa vitu ambavyo vinafanyiwa kazi, probably mradi utaanza mwakani
 
Mzee baba Bunju ipi unakaa? Tusijeibiana michepuko bila shuruti...

Karibu Makuti baa siku moja tupige gambe
Nipo Bunju Beach huku tuna kijiwe kipya kinaitwa Java Point jirani na Moga shuleni cha ukweli sana very classic makuti huwa nakuwepo sana
 
Nadhank wakati wa Magufuli iliwahi kusikika kwamba barabara hii itapanuliwa kuwa njia nne.

Ni wakati sahihi tujaribu kuleta Contractor wanaoleweka kama Konoike, Strabag na wengineo hawa wachina wanatoa bahasha za kaki kwa wingi hawajengi kwa viwango njia ya bagamoyo ina mizigo mingi ya kati michanga,kokoto, cement na sasa imekuwa transit road ya kwenda Arusha.

Inashangaza na kustaajabisha mkandarasi wa kichovu anabandua rami halafu anaweka lami yenye laye hafifu kwa uzito unaobeba barabara hii haitadumu miaka 5.

Hebu wizara ya ujenzi nendeni Zambia au Rwanda maana kenya lami zao ni balaa haswa hii new Expressway ya kulipia lami kweli sio viraka vya kuweka na makoleo.

Gwajima mtumishi naona amepoa sana tunahitaji mihemuko kama ya Halima mdee sauti ya zege mjengoni. Hii mitaa korofi kama shopperz to makonde mbona.lami zinachelewa sana. Baobab to kibaha mkeka ulitakiwa uwe tayari. Hakika tutakumiss msukuma JPM. Wengine tuliota hata mitaa midogo ingepigwa lami sio anasa ni maendeleo
Mchungaji ashafeli 2025 tumpumzishe
 
Uliona wap Awamu hii wakijenga Barabara? Hawajajenga hata 1km, WANAKOPA Ili kujenga vyoo na madarasa ya shule, WANAKOPA kufidia ONGEZEKO la Bei za mafuta.

Mtapata mwakilishi mwingine muda ukifika, Huyo atapewa KAZI KUBWA zaidi ya hiyo Ili asimamie KAMPUNI yote. Amen
Moja ya sababu ya kuanzishwa kwa zile tozo za simu ilikuwa kuchangia ujenzi wa barabara huku majimboni.
 
Watu muhimu wa nchi hii tupo, oysterbay, masaki, msasani, mikocheni na mbezi beach, huko kwingine ni kwenye mashamba yetu
Umuhimu upi huo kuliko Watz wa huku Gurunyembe ?....au kukalia viyoyozi na kutafuna kodi za wadanganyijka ?
 
Ngazi ya juu ya wapi. Mwisho ubunge. 2025 msoga tunachukua 100%. No ufufuaji.
Najua mtapambana sana kujaribu kumshusha kama mlivoanza, bt Mungu akiamua iwe hayupo mwanadamu wa kupinga.Ngoja tuandike kitabu kwanza ili Njia yake iwe smooth.

Msoga!!!! Watch and see.
 
Walikusanya tozo bt malengo ya ukusanywaji wake haufuatwi, maskini anaumizwa, wao wanakutana makundi makundi kufurahia UTAMU wa asali waloramba.

2025 hapatakuwa na uchaguzi, Tuandike KITABU kipya kwanza. Wanapoteza muda kuwazia kugawana madaraka. Amen
 
Mbona ipo kwenye plan, sasa hivi BRT phase 4 ipo mwishoni wa Design stage?haupo informed, BRT 4 inasogea mpaka Bunju, ikiwa na njia nne za magari, watembea kwa miguu na service road...relax huwezi kupiga kelele kwa vitu ambavyo vinafanyiwa kazi, probably mradi utaanza mwakani
Haujaanza wa Gongo la mboto ambao tender ilitangazwa June 2020 uanze huu...heb acha kutuchota aisee.
 
Ngazi ya juu ya wapi. Mwisho ubunge. 2025 msoga tunachukua 100%. No ufufuaji.
Najua umetumwa na m.gang bt hamtomuweza, mlimshindwa mlipokuwa na Dola, hamtomuweza kupitia remote ambayo mshapokonywa.

Kabla ya yote ,Tunaandika KITABU kipya kwanza Ili njia yake iwe smooth. Amen
 
Mchungaji Gwajima hii barabara ni muhimu sana. Tumeshaisemea sana SISI WANANCHI WA jimbo la Kawe hasa tunaoishi huku Bunju.

Asubuhi inakuwa kero sana kufika mjini ila sasa wizara ya Ujenzi imeleta bajeti yake hatukuoni ukiitetea ili tupate double lane muendelezo wa iliyoishia njiapanda ya Tegeta Nyuki.

Mzee baba fanya uwaambie Wizara tunahitaji double lane hapa, tunaopanga kukupinga 2025 hii tutaitumia kama pointi ya kukuchallenge.

Act accordingly Mheshimiwa.
Four lanes zinatakiwa ziende hadi Bagamoyo.
 
Yote uliyouliza ni majibu. Nataka ISEMEWE na IJENGWE. Period. Mwambie ndugu yako Gwajima tunajiandaa kumpiga knock-out moja ya millennium sababu ya hii Road. Hataacha kuona rangi zote asubiri
N'yadikwa you are fighting the wrong enemy..

Hebu acha kujadili mambo haya emotionally. Let argue kwa hoja na kuyatazama mambo ktk uhalisia na ukweli. Hebu acha kutumia mazoea kujadili mambo magumu yanayohitaji utumie akili yako sawasawa ktk kufikiri..

Nakuhakikishia jambo moja ndugu N'yadikwa..

Kwamba, kwa mfumo wa utawala wa nchi hii hata kama Rev. Josephat Gwajima amue leo kukupa wewe huo unaoitwa "ubunge" bure tu bila hata kupigiwa kura, barabara hiyo hutaijenga leo wala kesho hata kama utaongea bungeni huku ukiwa umevua nguo zako zote, uwe uchi..!

Kwa mfumo wetu wa utawala uliojisimika chini ya "imperial president" mnaweza kujengewa barabara hiyo hata ndani ya mwezi mmoja tu iwapo Rais mwenyewe ataamua hivyo kwa sharti moja tu...

Nalo ni kwa wewe mbunge kumjudia na kulamba miguu yake huyo mtu mwenye cheo cha "u-Rais" na uzini naye spiritually ili akupe utakacho...!

Likely hujanielewa. Ngoja nikupe mfano huu, labda akili yako itafunguka na kuanza kuelewa:

Kule mkoani Manyara kuna jimbo linaitwa Mbulu na mbunge wa sasa ni Flatei Massay wa CCM...

Huko kuna barabara moja very strategic kiuchumi na kiutalii. Inaanzia Karatu [Arusha] - Mbulu - Hydom [Manyara] - inapita Mkalama [Singida] - Meatu [Simiyu] na ina - connect eneo moja linaitwa Kolandoto [Shinyanga] kisha inaelekea Mwanza..

Kwa miaka zaidi ya 20 wabunge wa maeneo haya wamekuwa wakilia bungeni ili ijengwe kwa kiwango cha lami...

Na siku mbili au tatu zilizopita mbunge wa jimbo la Mbulu alizungumza bungeni mpaka akatoa machozi na kubinuka sarakasi ili kumuomba Rais aijenge barabara hiyo, lakini NO BODY CARES..!

Wakati huohuo, kuna maeneo hata yasiyo kipaumbele kabisa barabara zinajengwa, viwanja vya ndege vinajengwa tena bila hata mbunge/wabunge wa maeneo hayo kusema lolote bungeni. Reference ni Chato International Airport..

Why?

Ni kwa sababu kwa ilivyo sasa, practically ubunge hauna maana hiyo unayodhania wewe...

Ubunge ni ajira tu kama ajira nyingine. Na wewe kama unataka kum - knock out Gwajima kwa sbb hii, basi do it right away ili upate ajira hiyo na ukapate posho na marupurupu mengine, ule ushibe kisha usubiri kufa kesho...!

Lakini nakuhakikishia jambo moja, kuwa, kwa mfumo huu wa utawala ambao uko "centralized", pengine wewe ndiye unaweza kuwa mbunge HOPELESS na USIYE NA MAANA kuliko hata Rev. Josephat Gwajima au yule aliyepita Halima Mdee - CHADEMA..

Fungua akili yako. Elewa unataka nini. Kisha dai mfumo mpya wa utawala unaotoa mamlaka ya moja kwa moja kwa watu/wananchi ktk local communities zao i.e kitongoji, kijiji/mtaa, kata, wilaya, mkoa au jimbo kuamua wenyewe juu ya matumizi ya raslimali za maeneo yao kwa maendeleo yao. Hili linawezekana kwa sisi sote kukaa chini na kuamua na kisha ku - document maamuzi yetu kwenye document ya kisheria inayoitwa itwa KATIBA. Ndo kusema madai ya katiba mpya ya wananchi is an undisputed fact kwa sasa...!

But as it is for now, ni kujidanganya ndani ya nafsi yako kudhani kuwa, mbunge anaweza kuwatatulia changamoto za kimaendeleo katika maeneo yenu, kwa mfano eti awajengee barabara..!!
 
Acha niendelee kuifunga akili yangu. Maana wewe mleta hoja umeona hoja yako ina maana ila mimi akili yangu imefungwa. Kwamba aliechapisha hii sledi ni crocodile not a human being. Tukutane mtoni.
 
Yaani hela zote wamehamishia mbweni anakojenga mama na makamu, PM na cs na wengineo.
Hata barabsra iliyokua inajengwa ununio vs mbweni hadi club ya simba imesimama

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
Yaani haka kakipande wakikamalizia katasaidia sana kupunguza foleni angalau ...ila bagamoyo Road kwa kweli waipige tu double Lane.

Kumbe kule kwa former Cs ndo maana naona lami inapigwa fasta kule. Ila sio mbaya pia
 
Hata migogoro ya ardhi hana habari nayo , ndio kwanza kama vile anawatetea wavamizi wa maeneo ya watu.

Yani jamaa haeleweki.

Mimi nimuunga mkono sana wakati wa kampeni ya uchaguzi Mkuu ulopita,

Nilikuwa na matarajio naye makubwa sana ya kiutendaji na kusimamia haki,

Lakini naona imekuwa kinyume,

Nasikitika kuandika haya.

Gwajima unashindwa kuwasisitiza kina RC na DC Kinondoni kutafuta ufumbuzi wa migogoro ya ardhi ikaisha ibaki historia?

Rais alishawaambia shughikieni migogoro ya ardhi na kero nyingine lakini hali iko vile vile hakuna ufumbuzi wa wale walofanyiwa dhuruma na wahuni.

Wahuni ndio kwanza wanajimwambafai.
 
Back
Top Bottom