Hoja kwa Gwajima: Barabara ya Tegeta Nyuki hadi Baobab Sekondari huisemei na utatudai kura 2025? Tukutane 2025 Mchungaji

Rais akija kuanza ziara mkoa wa Dar hususa jimboni Kawe tutabeba Mabango yenye ujumbe kuwa migogoro ya ardhi Rais ingilia kati wewe mwenyewe wawakilishi/watendaji unaotwgemea wameshindwa kuleta ufumbuzi.

Na tutaomba Maiki tupaze sauti.

Hususa kule Magwepande Mbopo.
 
Nipo Bunju Beach huku tuna kijiwe kipya kinaitwa Java Point jirani na Moga shuleni cha ukweli sana very classic makuti huwa nakuwepo sana
Oh hapo nakujaga sana. Yawezekana tulishaonana basi tu mambo ya JF. Kuna wadau walitokea hapo mausiku ya hatari wakapata mzinga hapo njia panda ya Mianzini ... wakadedi watano.

Tangu siku hiyo sijakanyaga tena hapo
 
Oh hapo nakujaga sana. Yawezekana tulishaonana basi tu mambo ya JF. Kuna wadau walitokea hapo mausiku ya hatari wakapata mzinga hapo njia panda ya Mianzini ... wakadedi watano.

Tangu siku hiyo sijakanyaga tena hapo
Hapo mianzini junction ajali kawaida hasa usiku watu wanabutuana sana zikipigwa double road itakuwa rahisi kuweka traffic lights pale
 
Acha niendelee kuifunga akili yangu. Maana wewe mleta hoja umeona hoja yako ina maana ila mimi akili yangu imefungwa. Kwamba aliechapisha hii sledi ni crocodile not a human being. Tukutane mtoni.
Huwezi mjadala wa hoja wewe...

Hili unalithibitisha mwenyewe, kuwa, umeanzisha mjadala lakini cha ajabu unashindwa kukabiliana na hoja mbadala za wanajukwaa wenzako dhidi yako..!

I pity you..

Nikufundishe kitu kimoja.

Soma hoja za watu. Na ukiwa huna la kusema au kujibu, basi sema sentensi hii fupi;

"...Asante kwa mchango wako, I appreciate it..."

Asante, nakutakia kila la kheri unapojiaandaa kum - knock down 👎👎👎 Rev Josephat Gwajima ili wewe uwe mbunge wa Kawe kisha ujenge barabara inayokusumbua...!!
 
Sawa we unaeweza endelea kujadili...sie wengine we talk less and act hugely
 
Acha uwongo
 
Najua mtapambana sana kujaribu kumshusha kama mlivoanza, bt Mungu akiamua iwe hayupo mwanadamu wa kupinga.Ngoja tuandike kitabu kwanza ili Njia yake iwe smooth.

Msoga!!!! Watch and see.
Zama zimeisha hakuna ganda la ndizi sasa Sgang wepesi mnooo kaa nyoya
 
Sawa we unaeweza endelea kujadili...sie wengine we talk less and act hugely

In this forum we just talk through writings. One can not see any action...

However, your words is a mirror that shows who you're. Your words can easily define you to the public..

And I can boldly tell you that YOU ARE NOT A PERSON OF ACTIONS rather you're a gossiper and gallanter..!!
 
Sharp minds talk less, emotional minds talk much with less output, I'm not in here to wrangle with illogical sentiments traded by emotionals who love non yielding athletic-like game of words . Mine and my team is action beyond much talking! We're enroute to oust your self-proclaimed pastor from politics he'd be go tame bwana's lambs than us who aren't easily hoodwinked by mere gimmicks
 
Hiyo barabara ina km ngapi mpaka uilete hapa aacha deko, muone diwani au mtendaji wa kata.
 

Ya Mbulu mpaka Kolandoto ipo mbioni kùjengwa
 

Amen. I know who you are according to the way you write.
 
Unajisumbua, mtoa hoja amejinasibu kutumwa na msg gang Ili kumshusha gboy. Katiba mpya ni sasa. Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…