Hoja nzito ya Halima James Mdee kuhusu kilimo, iliyojibiwa kipuuzi na waziri Bashe!!

Bashe wizara hiyo imeshamshinda
Kitambo sana na wenye jicho la mwewe wanamuona kama mpigaji tu , yaani hesabu anazotoa unabaki kucheka

Yaani ekari Moja 16m ? Hata kama ni mfumo wa drip haufiki huko ikienda sana ni 4m kwa ekari 1
 
Hili ni Jiwe hamtamuweza ,kuna kitu mnakiogopa Kwa Bashe tena chenye siasa mnamuona ni future threats kwenu na Kwa kuwa anagusa na kundeal na wapiga kura Moja kwa Moja ndio maana mnahangaika sana kumkwamisha 😁😁

Hili swala limepita uwezo wa ufahamu wako.
 
Halima James Mdee alitoa hoja nzito sana na yenye mashiko kuhusu wizara ya kilimo kugawa ardhi na gharama ya kusafisha ekari kwa ml 16 .

Halima Mdee alikuwa anapinga kwamba ghaRama za kusafisha shamba ekari Moja haiwezi kuwa ml 16..na kwamba hizo ekari zinazotarajiwa kugawiwa kwa vijana hazijapitia mchakato wa kisheria kwa kuhusisha wizara ya ardhi.

Na kwamba waziri wa kilimo hana mamlaka ya kugawa ardhi lakini pia ni matumizi mabaya ya fedha ilipaswa wizara ya ardhi ihusishwe! Pamoja na mambo mengine nimeshangazwa na majibu ya waziri Bashe. Anaacha kujibu hoja Bali analeta dharau kwenye hoja muhimu kama hiyo !! Waziri Bashe anaona ni yeye TU mwenye uwezo wa kufikiri.
Msomali katumwa na akina Rostam
 
Anasafisha msitu wa Amazon?Dodoma Kuna mapori gani ya kusafisha heka kwa gharama kubwa kiasi icho!!!
 
Mashamba yaelekezwe kwa vijana wanaolima vijijini.
Mwenye shamba dogo aongezewe, wapewe mikopo na miundombinu.
Kwa nini wapewe wa mjini ambao hawako tayari kulima kabla ya wale wenye utayari?
Kwa nini uwaze kufuga kunguru wakati kuku wapo?
 
Hili ni Jiwe hamtamuweza ,kuna kitu mnakiogopa Kwa Bashe tena chenye siasa mnamuona ni future threats kwenu na Kwa kuwa anagusa na kundeal na wapiga kura Moja kwa Moja ndio maana mnahangaika sana kumkwamisha 😁😁

Bunge zima hakuna wa kumfikia Bashe , Yule ni presidential material , Bashe ameonyesha kuwa nchi hii hakuna wakulima kama ameruhusu tuu wakulima wauze nje ili kila mmoja anufaike na kilimo chake vilio kila kona , haya ameongeza juhudi ili kutanua wigo wa kilimo na akaelezea wazi kwamba hzo mil 16 zinahusisha mambo mengi kuanzia kusafiisha shamba , kulima , kufanyia assessment, kufunga mitambo ya kisasa ha umwagiliaji na hlo eneo ni hekta 2.5 , sa hv chawa wote fyoko fyoko , kama viwanda vimewashinda , mapinduz ya kilimo hawataki wanataka nini hawa wadanganyika ???
 
Halima James Mdee alitoa hoja nzito sana na yenye mashiko kuhusu wizara ya kilimo kugawa ardhi na gharama ya kusafisha ekari kwa ml 16 .

Halima Mdee alikuwa anapinga kwamba ghaRama za kusafisha shamba ekari Moja haiwezi kuwa ml 16..na kwamba hizo ekari zinazotarajiwa kugawiwa kwa vijana hazijapitia mchakato wa kisheria kwa kuhusisha wizara ya ardhi.

Na kwamba waziri wa kilimo hana mamlaka ya kugawa ardhi lakini pia ni matumizi mabaya ya fedha ilipaswa wizara ya ardhi ihusishwe! Pamoja na mambo mengine nimeshangazwa na majibu ya waziri Bashe. Anaacha kujibu hoja Bali analeta dharau kwenye hoja muhimu kama hiyo !! Waziri Bashe anaona ni yeye TU mwenye uwezo wa kufikiri.
Halima James Mdee alitoa hoja nzito sana na yenye mashiko kuhusu wizara ya kilimo kugawa ardhi na gharama ya kusafisha ekari kwa ml 16 .

Halima Mdee alikuwa anapinga kwamba ghaRama za kusafisha shamba ekari Moja haiwezi kuwa ml 16..na kwamba hizo ekari zinazotarajiwa kugawiwa kwa vijana hazijapitia mchakato wa kisheria kwa kuhusisha wizara ya ardhi.

Na kwamba waziri wa kilimo hana mamlaka ya kugawa ardhi lakini pia ni matumizi mabaya ya fedha ilipaswa wizara ya ardhi ihusishwe! Pamoja na mambo mengine nimeshangazwa na majibu ya waziri Bashe. Anaacha kujibu hoja Bali analeta dharau kwenye hoja muhimu kama hiyo !! Waziri Bashe anaona ni yeye TU mwenye uwezo wa kufikiri.
Bashe kasema milioni 17 kwa HEKTA SAWA NAKARIBIA SHILINGI MILIONI 7 KWA EKARI MOJA. TOFAUTISHA HEKTA 1 NI SAWANA EKARI 1.47 AU KWA UFUPI EKARI 1.5.HIYO NI MIUNDOMBINU YA KUJENGA MABWAWA, MIFEREJI NK MPAKA MAJI YAFIKE SHAMBANI.
 
Acheni utoto nyie,Kwa hiyo Watu wa Dar wasipewe mashamba ila waende kuzulula na bahasha?
Bashe shikilia hapo hapa
Bashe mwenyewe amesema ukiona nchi 70% ya watu wake ni wakulima ni ishara ya umaskini sasa anaenda kutafuta watu wengine wa nini wa kuwaongeza shambani??
Si ilitakiwa awe na mipango ya kuwapunguza hawa wa sasa kutoka huko shambani waende viwandani na kwenye services??
 
Ukiwa na grader na bull dozer hekari 30 unaweza tumia milioni 10 kwa ardhi isiyo na visiki
Yenye visiki milioni 30 kazi imeisha
Kulaza zile irrigation pipes haiwezi fika 5mil kwa heka
 
Halima James Mdee alitoa hoja nzito sana na yenye mashiko kuhusu wizara ya kilimo kugawa ardhi na gharama ya kusafisha ekari kwa ml 16 .

Halima Mdee alikuwa anapinga kwamba ghaRama za kusafisha shamba ekari Moja haiwezi kuwa ml 16..na kwamba hizo ekari zinazotarajiwa kugawiwa kwa vijana hazijapitia mchakato wa kisheria kwa kuhusisha wizara ya ardhi.

Na kwamba waziri wa kilimo hana mamlaka ya kugawa ardhi lakini pia ni matumizi mabaya ya fedha ilipaswa wizara ya ardhi ihusishwe! Pamoja na mambo mengine nimeshangazwa na majibu ya waziri Bashe. Anaacha kujibu hoja Bali analeta dharau kwenye hoja muhimu kama hiyo !! Waziri Bashe anaona ni yeye TU mwenye uwezo wa kufikiri.
Ni kweli hiyo gharama ni ya kusafisha tu,au umeandika hivyo kufikia agenda yako!?
 
Mashamba yaelekezwe kwa vijana wanaolima vijijini.
Mwenye shamba dogo aongezewe, wapewe mikopo na miundombinu.
Kwa nini wapewe wa mjini ambao hawako tayari kulima kabla ya wale wenye utayari?
Kwa nini uwaze kufuga kunguru wakati kuku wapo?
Halafu wa mjini wakae wakizurura bila kazi!?..we ni mbunye!!
 
Bashe wizara hiyo imeshamshinda
Wizara ya kilimo haiwezi kuendeshwa na wafanyabiashara wa magazeti. Sawa na wizara ya mifugo haiwezi kuendeshwa na wakulima wa nazi na maparachichi.
 
Ukiwa na grader na bull dozer hekari 30 unaweza tumia milioni 10 kwa ardhi isiyo na visiki
Yenye visiki milioni 30 kazi imeisha
Kulaza zile irrigation pipes haiwezi fika 5mil kwa heka

Yeye kaongelea hekta sio acre
 
Back
Top Bottom