Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Umenikumbusha Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Anwani ya Makazi pamoja na Mitaa (hadi sasa kuna Mitaa mingi haikuwekwa majina na mingine mabango bila maandishi). Kote huko hela zilishatolewa. Kweli tumelaaniwa
Ukija kwenye suala la Waziri Bashe, kuna mbolea ya ruzuku. Hadi sasa mvua zinaishia kuna wakulima hawakupata namba ya utambulisho hivyo wamekosa mbolea.
Kuna wakulima wadogo ambao mahitaji yao ya mbolea ni kidogo (kg 5---15). Hawa hawahitaji mbolea ya ruzuku. Lkn kutokana na utaratibu uliowekwa na Serikali hakuna muuzaji wa mbolea anaeruhusiwa kuuza bila ruzuku. Sasa hawa nao wamekosa mbolea.
Utaratibu huu umekuwa ni kichaka cha upigaji hela kwa Maafisa Kilimo wa Kata pamoja na Wenyeviti wa Vijiji/Mitaa. Upuuzi mtupu.
Wizara anapewa msomali mnategemea nini? Shamba la ekari 1 kusafisha mill 16[emoji23][emoji23]