Hoja nzito ya Halima James Mdee kuhusu kilimo, iliyojibiwa kipuuzi na waziri Bashe!!

Kusafisha shamba ekari 1 kwa sh milioni 16 ni wizi wa hali ya juu.
 
Halafu wa mjini wakae wakizurura bila kazi!?..we ni mbunye!!
Wewe ni masikini wa fikra na mali.
Ukitaka kulima unaenda shamba, ukitaka kazi za mjini unaenda mjini.
Huo ni utaratibu wa maisha rahisi tu.
Wa mjini wawezeshwe kimjini mjini, wa shamba kishambashamba.
Asilimia kubwa ya watu kwenye nchi zilizoendelea hufanya kazi mijini, shambani wapo wachache. Hivyo basi yatupasa kuwekeza mijini kutengeneza ajira.
Pamoja na upumbavu wako wa kutoa matusi, utaelimishwa pole pole kwenye mtandao, ila kama ingekuwa ana kwa ana unastahili fimbo mgongoni hadi upumbavu ukutoke.
 
Kusafisha shamba eka moja 16 milioni? Basi debe la mahindi lingeuzwa laki tano
 
Ukiwa na grader na bull dozer hekari 30 unaweza tumia milioni 10 kwa ardhi isiyo na visiki
Yenye visiki milioni 30 kazi imeisha
Kulaza zile irrigation pipes haiwezi fika 5mil kwa heka
Kweli mkuuu bashe watu wote wa inchi hiii anaona hawajawahi kilima chochote kila
 
Hekari moja imesafishwa kwa Milioni 16?

Ni usafi gani huo? Mpaka pesa iwe nyingi kiasi hicho?
 
Hili ni Jiwe hamtamuweza ,kuna kitu mnakiogopa Kwa Bashe tena chenye siasa mnamuona ni future threats kwenu na Kwa kuwa anagusa na kundeal na wapiga kura Moja kwa Moja ndio maana mnahangaika sana kumkwamisha [emoji16][emoji16]
Mkulima yupi aliyeguswa na huo utapeli wa Bashe!!???
Wakulima halisi wapo wameachwa kama mayatima.
 
Watanzania wengi kama mtoa maada mna mtindio wa ubongo wapi alisema heka 1 imegharimu mil 16 ????
 
Hiyo Project imeshafeli tayari, bongo tumelaaniwa hakuna kitu tunachofanya tukafanikiwa.
Umenikumbusha Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Anwani ya Makazi pamoja na Mitaa (hadi sasa kuna Mitaa mingi haikuwekwa majina na mingine mabango bila maandishi). Kote huko hela zilishatolewa. Kweli tumelaaniwa

Ukija kwenye suala la Waziri Bashe, kuna mbolea ya ruzuku. Hadi sasa mvua zinaishia kuna wakulima hawakupata namba ya utambulisho hivyo wamekosa mbolea.

Kuna wakulima wadogo ambao mahitaji yao ya mbolea ni kidogo (kg 5---15). Hawa hawahitaji mbolea ya ruzuku. Lkn kutokana na utaratibu uliowekwa na Serikali hakuna muuzaji wa mbolea anaeruhusiwa kuuza bila ruzuku. Sasa hawa nao wamekosa mbolea.

Utaratibu huu umekuwa ni kichaka cha upigaji hela kwa Maafisa Kilimo wa Kata pamoja na Wenyeviti wa Vijiji/Mitaa. Upuuzi mtupu.
 
Nipo Rufiji huku kwa wakulima halisi,wameshindwa kuelewa kuwa kuna kitu inaitwa BBT eti wakulima wamechukuliwa DSM.

Wanauliza huyo mtu amepimwa akili kweli!!???
Wanauliwa,wao watasaidiwa lini!!???
Sio lazima wasaidiwe wote walio pata hao hao wanatosha mungu mwenyewe anaokoa wachache anajua haiwezekan kuokoa wote
 
Bashe wizard hii kaiweza sana. Mdee si mamluki tu.ndio maana kajibiwa alivyo jibiwa.
 
tatizo bashe anajiona yupo vizuri kichwani kuliko wengine kumbe ni upuuzi mtupu halima aliuliza swali zuri ambalo kimsingi lilitakiwa lijibiwe kwa kirefu chake siyo jumlajumla
 
Nipo Rufiji huku kwa wakulima halisi,wameshindwa kuelewa kuwa kuna kitu inaitwa BBT eti wakulima wamechukuliwa DSM.

Wanauliza huyo mtu amepimwa akili kweli!!???
Wanauliwa,wao watasaidiwa lini!!???
Wewe mbuzi nini? BBT ni ya Kila mkulima au ni Kwa Vijana Graduate wanaotaka Kilimo?

Nyie fanyeni ukulima wa siku zote mnaofanyaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…