Hoja nzito ya Halima James Mdee kuhusu kilimo, iliyojibiwa kipuuzi na waziri Bashe!!


Wizara anapewa msomali mnategemea nini? Shamba la ekari 1 kusafisha mill 16[emoji23][emoji23]
 
Yaani anenda nje ya ASDP II kabisa,anaanzishaambo yake mapya.
Lakini cha kujiuliza katibu mkuu yuko wapi,wa kumshauri Rais??mambo mengine haya inatakiwa Rais naye ndio wa kuyashitukia!!
 
Kuwekeza mjini ili kutoa ajira!?.. inaelekea hata hujui ajira ni nini!?..kwamba kilimo siyo ajira na huwezi kuishi dar ukalima mkuranga!?..huko mjini utawekeza vipi ili utengeneze hizo ajira!?..mbunye!!
 
Halima Mdee hakuwa na hoja yoyote ya maana, alikuwa ana fokafoka tu ili ionekane kama ana hoja.

Ameshaishiwa, hana lake.

"Huku hayuko kule hayuko, ankula huu".
 
Kwanini jambo na wazo zuri liharibiwe na Bashe na mtandao wake???

Ile Wizara sasa rasmi ni shamba la bibi.

Yatosha huu ufisadi!
 
Wewe mbuzi nini? BBT ni ya Kila mkulima au ni Kwa Vijana Graduate wanaotaka Kilimo?

Nyie fanyeni ukulima wa siku zote mnaofanyaga.
Graduates wanaotaka kilimo au ambao ni jobless!!??
Kwa nini mnapenda sana kuandika vitu msivyovijua!!??

Hawa wakulima waliolisha taifa miaka yote hii watainuliwa na nani!!??
 
Kutumia sh milioni 17 kwa hekta (siyo kwa eka) ni sawa kabisa kama ni maandalizi ya shamba toka likiwa pori. Kumbuka hekta moja ni karibuni sawa na eka 2.5 (yaani eka 2.47). Kumbuka hiki ni kilimo cha kisasa, na ardhi lazima ipimwe na kupewa hati nili nkuiongezea thamani!! Miundo mbinu kama ya upatikanaji wa maji na umwagiliaji ni lazima itengenezwe. Ikiwezekana hata green house ndogo kwa ajili nya mbogamboga iandaliwe!! Kwa maandalizi yote hayo pamoja na ulimaji na matunzo hadi mavuno ya kwanza yapatikane hata hizo milioni 17 ni kidogo!! Tatizo ni lugha gongana!! Wakati Bashe ana taswira ya kilimo bora cha kisasa kisichotegemea mvua tu, wengine wanawaza kilimo cha mazoea ambapo hata wazo la kuwa na hati ya ardhi yao hawana, hata wazo la miundombinu ya umwagiliaji hawana, hata wazo la namna ya kutunza mavuno mengi yanayotarajiwa hawana!
 
Ahsante mama saivi mawaziri wako jeruri tupu.. mara wakurya wamefanya tegesha mara kusafisha shamba m16..tunashukuru mama unaupiga mwingi
 
Mwalimu Nyerere aliwaonya kuhusu kuwakaribisha wasomali katika nchi hii. Huyu msomali baada ya kuingia bungeni hatakikusikiliza hoja za watanzania kwa kuwa kule kwako wamezoea mambo ya vita, ukaidi na kulazimisha mambo. Hili liwe fundisho kwa wizara ya mambo ya ndani, kitengo cha uhamiaji.
 
Mkuu umekurupuka. Hujaelewa hoja. Hoja ya Bashe ni kwamba kusafisha shamba tu ni Tsh 17M kwa ekari moja. Labda angetuambia kama hiyo ardhi imejaa mibuyu na kama hiyo mibuyu lazima ing'olewe pamoja na shina na mizizi yote. Na bado hicho kiasi cha pesa ni kikubwa sana. Kuna namna ambayo Bashe anataka kupiga hela za umma kupitia haya mashamba ya mchongo. Ina maana mkuu mbingunikwetu wewe huna uchungu na utapanyaji wa fedha za umma?
 
Bashe kasema milioni 17 kwa HEKTA SAWA NAKARIBIA SHILINGI MILIONI 7 KWA EKARI MOJA. TOFAUTISHA HEKTA 1 NI SAWANA EKARI 1.47 AU KWA UFUPI EKARI 1.5.HIYO NI MIUNDOMBINU YA KUJENGA MABWAWA, MIFEREJI NK MPAKA MAJI YAFIKE SHAMBANI.
Kwa hiyo we Fara ni kwamba kila Shamba litakuwa na bwawa lake
 

Yaani ni hatari sana labda hayo mshamba yawe yanaenda kuanzishwa kwenye mbuga ya selous national park ndio watakutana na hayo mamiti.
Kwa kifupi huu ni upogaji uliodhahiri
 
Kwa hiyo we Fara ni kwamba kila Shamba litakuwa na bwawa lake
Bwawa halijengwi kwa ajili ya shamba moja, wala mifreji, vivuko, vizuizi, vigawa maj.barabarai nk. Pesa ya mradi mzima unagawa kwa eneo ndio unapata huo wasstani kwa ekari moja. INABIDI USOME KILIMO CHA UMWAGILIAJI ILI KUELEWA HAYA. LABDA NIKUJULISHE HEKTA MOJA NI EKARI 2.47. HIVYO HIZO MILIONI 17 KWA HEKTA GAWA KWA 2.47 UTAPATA KARIBIA MILIONI 7 KWA EKARI KIPIMO KINACHOONEKANA UNAKIELEWA.
 
Uliandika mabwawa yatajengwa .
Embu acheni kutetea huu upuuzi ni ujinga na wizi tu
 
Wizara ya kilimo ina waziri wa hovyo mno yupo hapo kwa ajili ya kupiga kelele tu, hana uwezo hata kidogo wa kuendeleza kilimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…