Hoja sita juu ya Martha Karua kuzuiliwa kuingia nchini

msuyaeric

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
862
Reaction score
1,264
Na Adv. Heche, Dodoma

Leo, tarehe 18 Mei 2025, mawakili Martha Karua, Gloria Kimani na Lyn Ngugi wamezuiwa kuingia nchini wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Kama wakili mwenye uzoefu na niliyeapa kutetea Katiba na uhuru wa mahakama bila kuegemea upande wowote wa kisiasa, nawasilisha hoja zifuatazo;

1.LSK Isitumike Kuendesha Siasa za Kuchagua

Miguna Miguna alipozuiwa Kenya, hatukuona msafara wa mawakili. Maandamano ya 2023 Nairobi yalipoacha vifo, LSK haikutoa mwitikio mkali. Damu ya raia bado inamwagika Mashariki mwa DRC na Uganda lakini hakuna “delegation” yoyote. Leo, ghafla Tanzania ndiyo dharura, tena kutoka LSK?

2.Mahakama Zetu Ni Huru, Si Majukwaa ya Kampeni

Mahakama ziko wazi kwa waangalizi na wafuatiliaji wanaofuata taratibu, mimi ni shahidi katika hili. Kugeuza kusikilizwa kwa dhamana ya kesho kuwa "show-off " ya kisiasa ni kujaribu kunajisi ile due-process makusudi kabisa.

3.Maafisa Uhamiaji Hawajakosea

Kwa mujibu wa Sheria ya Uhamiaji, afisa ana mamlaka kumkatalia mtu anayetishia “utulivu au maslahi ya umma.” Haki ya Tundu Lissu kupata wawakilishi haijakiukwa, mawakili wa Kitanzania wapo, na TLS inaweza kuongeza wengine. Hata Mwasipu angeenda JKNIA angetumia grounds zipi kuzuia huu wajibu wa Uhamiaji?

4.Utawala wa Sheria Unakata pande zote mbili

Kuheshimu Katiba kunamaanisha pia kulinda Kifungu 147 (Utulivu na Maadili). Uamuzi wa mwisho juu ya dhamana upo kwa Mahakama Kuu, si wageni wenye umaarufu wa kisiasa or whatsoever!

5.Mahakama Iachwe Ifanye Kazi Bila Shinikizo

Kauli za kutoa presha kwa mahakama mtandaoni zinatishia uhuru wa wawatoaji haki. Kuna kauli huwa tunapenda kuitumia "Observers are welcome; orchestrated flash-mobs are not". Martha na wenzie waelewe!

6.Haki Lazima Iwe Haki Mahali kote

Tupime kwa vipimo vilevile yaliyotokea na hali ilivyo Kibera, Goma, Kampala na Dar, si Tanzania pekee inapogusa majina maarufu hasa ya wanasiasa basi tuone stunts za kinafiki mbele ya kamera, hii haitaleta uadilifu bali taswira ya kutafuta umaarufu binafsi kupitia makolido ya mahakamani.

Mwisho,
Nasisitiza kuwa kuzuiwa kuingia kwa Martha Karua na wenzake kumezingatia sheria, Tuheshimu kanuni na kuzingatia usawa kwa mambo tunayoamini kama wapigania haki na walinzi wa utawala wa sheria. Nitaendelea kutetea Katiba na uhuru wa mahakama, napinga shinikizo lisilofuata taratibu za kisheria au kutaka kutumia siasa kutatua jambo la kisheria!
 
Well said!
 
Nimekuheshimu kwa sababu umejinadi kuwa wewe ni wakili msomi tena mwandamizi na mzoefu lkn tu pamoja nahayo ulichokiandika ni kama kimeandikwa na mtu wa HR na sio Lawyer, wewe kwa interpretation yangu binafsi wewe ni ccm parse.
Unapoteza baadhi ya ethics za uwakili, ukitaka njoo tena nikuonyeshe madhaifu yako kwenye bandiko lako.
Wanasheria kumbuka sio mazuzu na ndio maana wakaitwa wasomi.
Kama ulichokiandika ndio usomi basi ni bora mawakili tuwatambue kwa jina lingine tu la watumia chumba.PERIOD
 
Na Adv. Heche, Dodoma

Leo, tarehe 18 Mei 2025, mawakili Martha Karua, Gloria Kimani na Lyn Ngugi wamezuiwa kuingia nchini wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Kama wakili mwenye uzoefu na niliyeapa kutetea Katiba na uhuru wa mahakama bila kuegemea upande wowote wa kisiasa, nawasilisha hoja zifuatazo;

1.LSK Isitumike Kuendesha Siasa za Kuchagua

Miguna Miguna alipozuiwa Kenya, hatukuona msafara wa mawakili. Maandamano ya 2023 Nairobi yalipoacha vifo, LSK haikutoa mwitikio mkali. Damu ya raia bado inamwagika Mashariki mwa DRC na Uganda lakini hakuna “delegation” yoyote. Leo, ghafla Tanzania ndiyo dharura, tena kutoka LSK?

2.Mahakama Zetu Ni Huru, Si Majukwaa ya Kampeni

Mahakama ziko wazi kwa waangalizi na wafuatiliaji wanaofuata taratibu, mimi ni shahidi katika hili. Kugeuza kusikilizwa kwa dhamana ya kesho kuwa "show-off " ya kisiasa ni kujaribu kunajisi ile due-process makusudi kabisa.

3.Maafisa Uhamiaji Hawajakosea

Kwa mujibu wa Sheria ya Uhamiaji, afisa ana mamlaka kumkatalia mtu anayetishia “utulivu au maslahi ya umma.” Haki ya Tundu Lissu kupata wawakilishi haijakiukwa, mawakili wa Kitanzania wapo, na TLS inaweza kuongeza wengine. Hata Mwasipu angeenda JKNIA angetumia grounds zipi kuzuia huu wajibu wa Uhamiaji?

4.Utawala wa Sheria Unakata pande zote mbili

Kuheshimu Katiba kunamaanisha pia kulinda Kifungu 147 (Utulivu na Maadili). Uamuzi wa mwisho juu ya dhamana upo kwa Mahakama Kuu, si wageni wenye umaarufu wa kisiasa or whatsoever!

5.Mahakama Iachwe Ifanye Kazi Bila Shinikizo

Kauli za kutoa presha kwa mahakama mtandaoni zinatishia uhuru wa wawatoaji haki. Kuna kauli huwa tunapenda kuitumia "Observers are welcome; orchestrated flash-mobs are not". Martha na wenzie waelewe!

6.Haki Lazima Iwe Haki Mahali kote

Tupime kwa vipimo vilevile yaliyotokea na hali ilivyo Kibera, Goma, Kampala na Dar, si Tanzania pekee inapogusa majina maarufu hasa ya wanasiasa basi tuone stunts za kinafiki mbele ya kamera, hii haitaleta uadilifu bali taswira ya kutafuta umaarufu binafsi kupitia makolido ya mahakamani.

Mwisho,
Nasisitiza kuwa kuzuiwa kuingia kwa Martha Karua na wenzake kumezingatia sheria, Tuheshimu kanuni na kuzingatia usawa kwa mambo tunayoamini kama wapigania haki na walinzi wa utawala wa sheria. Nitaendelea kutetea Katiba na uhuru wa mahakama, napinga shinikizo lisilofuata taratibu za kisheria au kutaka kutumia siasa kutatua jambo la kisheria!
All major points are left out
 
ndio nyie mawakili wasomi wa JMT mnaoshindwa kesi na hata mkienda nje ya nchi mnapata kigugumizi kuongea!
 
Kama waliowakatalia kuingia nchini hawajatoa sababu za kwanini wamewazuia kuingia nchini, wewe, Heche, ambaye siyo mwajiriwa wa uhamiaji, hicho kiherehere cha kuwajibia uhamiaji unakitoa wapi?
 
Rubbish..!
 
Na asiruhusiwe tena kuingia Tanzania, na Maria Sarungi asimdanganye mbibi wa watu na wenzake ati Tanazania ni shamba la bibi.

Tanzania ni nchi huru inayoongozwa kwa misingi ya kisheria. Hayupo wa kutelekeza cha kufanya 🐒
 
Back
Top Bottom