Hoja sita juu ya Martha Karua kuzuiliwa kuingia nchini

Huko Kenya kuna mauaji ya kutisha.Ukabila.ugaidi.dada wa kazi wananyanyaswa na kuuliwa nchi za kiarabu.Mbona hawaendi kuwatetea.Juzi tu mbunge wa Kenya kauliwa,judge kauliwa.mkubwa wa uchaguzi kauliwa,kuna judge kashtakiwa uingereza wa Kenya kwa kumnyanyasa house girl.mbona hawaendi kuwatetea hao wakenya wenzao.
Kwani observer na yeye anatetea au kiingereza kilipita kushoto mkuu, unaelewa maana ya "observer"
 
Na Adv. Heche, Dodoma

Leo, tarehe 18 Mei 2025, mawakili Martha Karua, Gloria Kimani na Lyn Ngugi wamezuiwa kuingia nchini wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Kama wakili mwenye uzoefu na niliyeapa kutetea Katiba na uhuru wa mahakama bila kuegemea upande wowote wa kisiasa, nawasilisha hoja zifuatazo;

1.LSK Isitumike Kuendesha Siasa za Kuchagua

Miguna Miguna alipozuiwa Kenya, hatukuona msafara wa mawakili. Maandamano ya 2023 Nairobi yalipoacha vifo, LSK haikutoa mwitikio mkali. Damu ya raia bado inamwagika Mashariki mwa DRC na Uganda lakini hakuna “delegation” yoyote. Leo, ghafla Tanzania ndiyo dharura, tena kutoka LSK?

2.Mahakama Zetu Ni Huru, Si Majukwaa ya Kampeni

Mahakama ziko wazi kwa waangalizi na wafuatiliaji wanaofuata taratibu, mimi ni shahidi katika hili. Kugeuza kusikilizwa kwa dhamana ya kesho kuwa "show-off " ya kisiasa ni kujaribu kunajisi ile due-process makusudi kabisa.

3.Maafisa Uhamiaji Hawajakosea

Kwa mujibu wa Sheria ya Uhamiaji, afisa ana mamlaka kumkatalia mtu anayetishia “utulivu au maslahi ya umma.” Haki ya Tundu Lissu kupata wawakilishi haijakiukwa, mawakili wa Kitanzania wapo, na TLS inaweza kuongeza wengine. Hata Mwasipu angeenda JKNIA angetumia grounds zipi kuzuia huu wajibu wa Uhamiaji?

4.Utawala wa Sheria Unakata pande zote mbili

Kuheshimu Katiba kunamaanisha pia kulinda Kifungu 147 (Utulivu na Maadili). Uamuzi wa mwisho juu ya dhamana upo kwa Mahakama Kuu, si wageni wenye umaarufu wa kisiasa or whatsoever!

5.Mahakama Iachwe Ifanye Kazi Bila Shinikizo

Kauli za kutoa presha kwa mahakama mtandaoni zinatishia uhuru wa wawatoaji haki. Kuna kauli huwa tunapenda kuitumia "Observers are welcome; orchestrated flash-mobs are not". Martha na wenzie waelewe!

6.Haki Lazima Iwe Haki Mahali kote

Tupime kwa vipimo vilevile yaliyotokea na hali ilivyo Kibera, Goma, Kampala na Dar, si Tanzania pekee inapogusa majina maarufu hasa ya wanasiasa basi tuone stunts za kinafiki mbele ya kamera, hii haitaleta uadilifu bali taswira ya kutafuta umaarufu binafsi kupitia makolido ya mahakamani.

Mwisho,
Nasisitiza kuwa kuzuiwa kuingia kwa Martha Karua na wenzake kumezingatia sheria, Tuheshimu kanuni na kuzingatia usawa kwa mambo tunayoamini kama wapigania haki na walinzi wa utawala wa sheria. Nitaendelea kutetea Katiba na uhuru wa mahakama, napinga shinikizo lisilofuata taratibu za kisheria au kutaka kutumia siasa kutatua jambo la kisheria!
Hivi Kuna watu wanafika ofisini kwako kufuata ushauri wa kisheria?
 
Ahsante sana mkuu kwa andiko lenye afya. Mbona hatuoni wanakwenda Uganda mara ngapi Bisigye anakamatwa kule mbona wapo kimya?
 
Is he a lawyer or a CCM stooge. Pathetic excuse of a human being.
 
Back
Top Bottom