Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Only fools will agree with you.
Naona chawa mwenzako kakupa makopa kopaLeo, tarehe 18 Mei 2025, mawakili Martha Karua, Gloria Kimani na Lyn Ngugi wamezuiwa kuingia nchini wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Kama wakili mwenye uzoefu na niliyeapa kutetea Katiba na uhuru wa mahakama bila kuegemea upande wowote wa kisiasa, nawasilisha hoja zifuatazo;
1.LSK Isitumike Kuendesha Siasa za Kuchagua
Miguna Miguna alipozuiwa Kenya, hatukuona msafara wa mawakili. Maandamano ya 2023 Nairobi yalipoacha vifo, LSK haikutoa mwitikio mkali. Damu ya raia bado inamwagika Mashariki mwa DRC na Uganda lakini hakuna “delegation” yoyote. Leo, ghafla Tanzania ndiyo dharura, tena kutoka LSK?
2.Mahakama Zetu Ni Huru, Si Majukwaa ya Kampeni
Mahakama ziko wazi kwa waangalizi na wafuatiliaji wanaofuata taratibu, mimi ni shahidi katika hili. Kugeuza kusikilizwa kwa dhamana ya kesho kuwa "show-off " ya kisiasa ni kujaribu kunajisi ile due-process makusudi kabisa.
3.Maafisa Uhamiaji Hawajakosea
Kwa mujibu wa Sheria ya Uhamiaji, afisa ana mamlaka kumkatalia mtu anayetishia “utulivu au maslahi ya umma.” Haki ya Tundu Lissu kupata wawakilishi haijakiukwa, mawakili wa Kitanzania wapo, na TLS inaweza kuongeza wengine. Hata Mwasipu angeenda JKNIA angetumia grounds zipi kuzuia huu wajibu wa Uhamiaji?
4.Utawala wa Sheria Unakata pande zote mbili
Kuheshimu Katiba kunamaanisha pia kulinda Kifungu 147 (Utulivu na Maadili). Uamuzi wa mwisho juu ya dhamana upo kwa Mahakama Kuu, si wageni wenye umaarufu wa kisiasa or whatsoever!
5.Mahakama Iachwe Ifanye Kazi Bila Shinikizo
Kauli za kutoa presha kwa mahakama mtandaoni zinatishia uhuru wa wawatoaji haki. Kuna kauli huwa tunapenda kuitumia "Observers are welcome; orchestrated flash-mobs are not". Martha na wenzie waelewe!
6.Haki Lazima Iwe Haki Mahali kote
Tupime kwa vipimo vilevile yaliyotokea na hali ilivyo Kibera, Goma, Kampala na Dar, si Tanzania pekee inapogusa majina maarufu hasa ya wanasiasa basi tuone stunts za kinafiki mbele ya kamera, hii haitaleta uadilifu bali taswira ya kutafuta umaarufu binafsi kupitia makolido ya mahakamani.
Mwisho,
Nasisitiza kuwa kuzuiwa kuingia kwa Martha Karua na wenzake kumezingatia sheria, Tuheshimu kanuni na kuzingatia usawa kwa mambo tunayoamini kama wapigania haki na walinzi wa utawala wa sheria. Nitaendelea kutetea Katiba na uhuru wa mahakama, napinga shinikizo lisilofuata taratibu za kisheria au kutaka kutumia siasa kutatua jambo la kisheria!
Umoja wa Ulaya unawapiga spanaLeo, tarehe 18 Mei 2025, mawakili Martha Karua, Gloria Kimani na Lyn Ngugi wamezuiwa kuingia nchini wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Kama wakili mwenye uzoefu na niliyeapa kutetea Katiba na uhuru wa mahakama bila kuegemea upande wowote wa kisiasa, nawasilisha hoja zifuatazo;
1.LSK Isitumike Kuendesha Siasa za Kuchagua
Miguna Miguna alipozuiwa Kenya, hatukuona msafara wa mawakili. Maandamano ya 2023 Nairobi yalipoacha vifo, LSK haikutoa mwitikio mkali. Damu ya raia bado inamwagika Mashariki mwa DRC na Uganda lakini hakuna “delegation” yoyote. Leo, ghafla Tanzania ndiyo dharura, tena kutoka LSK?
2.Mahakama Zetu Ni Huru, Si Majukwaa ya Kampeni
Mahakama ziko wazi kwa waangalizi na wafuatiliaji wanaofuata taratibu, mimi ni shahidi katika hili. Kugeuza kusikilizwa kwa dhamana ya kesho kuwa "show-off " ya kisiasa ni kujaribu kunajisi ile due-process makusudi kabisa.
3.Maafisa Uhamiaji Hawajakosea
Kwa mujibu wa Sheria ya Uhamiaji, afisa ana mamlaka kumkatalia mtu anayetishia “utulivu au maslahi ya umma.” Haki ya Tundu Lissu kupata wawakilishi haijakiukwa, mawakili wa Kitanzania wapo, na TLS inaweza kuongeza wengine. Hata Mwasipu angeenda JKNIA angetumia grounds zipi kuzuia huu wajibu wa Uhamiaji?
4.Utawala wa Sheria Unakata pande zote mbili
Kuheshimu Katiba kunamaanisha pia kulinda Kifungu 147 (Utulivu na Maadili). Uamuzi wa mwisho juu ya dhamana upo kwa Mahakama Kuu, si wageni wenye umaarufu wa kisiasa or whatsoever!
5.Mahakama Iachwe Ifanye Kazi Bila Shinikizo
Kauli za kutoa presha kwa mahakama mtandaoni zinatishia uhuru wa wawatoaji haki. Kuna kauli huwa tunapenda kuitumia "Observers are welcome; orchestrated flash-mobs are not". Martha na wenzie waelewe!
6.Haki Lazima Iwe Haki Mahali kote
Tupime kwa vipimo vilevile yaliyotokea na hali ilivyo Kibera, Goma, Kampala na Dar, si Tanzania pekee inapogusa majina maarufu hasa ya wanasiasa basi tuone stunts za kinafiki mbele ya kamera, hii haitaleta uadilifu bali taswira ya kutafuta umaarufu binafsi kupitia makolido ya mahakamani.
Mwisho,
Nasisitiza kuwa kuzuiwa kuingia kwa Martha Karua na wenzake kumezingatia sheria, Tuheshimu kanuni na kuzingatia usawa kwa mambo tunayoamini kama wapigania haki na walinzi wa utawala wa sheria. Nitaendelea kutetea Katiba na uhuru wa mahakama, napinga shinikizo lisilofuata taratibu za kisheria au kutaka kutumia siasa kutatua jambo la kisheria!
Mpumbavu wewe nchi hii ni mali yako peke yako..? kuna asiyemfahamu mama karua na hao mawakili..? wana baya gani wakiingia..mnaruhusu magenge ya uhalifu kuingia na majambazi halafu mnazuia watu wema..akili za matakoni hizi!Na asiruhusiwe tena kuingia Tanzania, na Maria Sarungi asimdanganye mbibi wa watu na wenzake ati Tanazania ni shamba la bibi.
Tanzania ni nchi huru inayoongozwa kwa misingi ya kisheria. Hayupo wa kutelekeza cha kufanya 🐒
Leo, tarehe 18 Mei 2025, mawakili Martha Karua, Gloria Kimani na Lyn Ngugi wamezuiwa kuingia nchini wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Kama wakili mwenye uzoefu na niliyeapa kutetea Katiba na uhuru wa mahakama bila kuegemea upande wowote wa kisiasa, nawasilisha hoja zifuatazo;
1.LSK Isitumike Kuendesha Siasa za Kuchagua
Miguna Miguna alipozuiwa Kenya, hatukuona msafara wa mawakili. Maandamano ya 2023 Nairobi yalipoacha vifo, LSK haikutoa mwitikio mkali. Damu ya raia bado inamwagika Mashariki mwa DRC na Uganda lakini hakuna “delegation” yoyote. Leo, ghafla Tanzania ndiyo dharura, tena kutoka LSK?
2.Mahakama Zetu Ni Huru, Si Majukwaa ya Kampeni
Mahakama ziko wazi kwa waangalizi na wafuatiliaji wanaofuata taratibu, mimi ni shahidi katika hili. Kugeuza kusikilizwa kwa dhamana ya kesho kuwa "show-off " ya kisiasa ni kujaribu kunajisi ile due-process makusudi kabisa.
3.Maafisa Uhamiaji Hawajakosea
Kwa mujibu wa Sheria ya Uhamiaji, afisa ana mamlaka kumkatalia mtu anayetishia “utulivu au maslahi ya umma.” Haki ya Tundu Lissu kupata wawakilishi haijakiukwa, mawakili wa Kitanzania wapo, na TLS inaweza kuongeza wengine. Hata Mwasipu angeenda JKNIA angetumia grounds zipi kuzuia huu wajibu wa Uhamiaji?
4.Utawala wa Sheria Unakata pande zote mbili
Kuheshimu Katiba kunamaanisha pia kulinda Kifungu 147 (Utulivu na Maadili). Uamuzi wa mwisho juu ya dhamana upo kwa Mahakama Kuu, si wageni wenye umaarufu wa kisiasa or whatsoever!
5.Mahakama Iachwe Ifanye Kazi Bila Shinikizo
Kauli za kutoa presha kwa mahakama mtandaoni zinatishia uhuru wa wawatoaji haki. Kuna kauli huwa tunapenda kuitumia "Observers are welcome; orchestrated flash-mobs are not". Martha na wenzie waelewe!
6.Haki Lazima Iwe Haki Mahali kote
Tupime kwa vipimo vilevile yaliyotokea na hali ilivyo Kibera, Goma, Kampala na Dar, si Tanzania pekee inapogusa majina maarufu hasa ya wanasiasa basi tuone stunts za kinafiki mbele ya kamera, hii haitaleta uadilifu bali taswira ya kutafuta umaarufu binafsi kupitia makolido ya mahakamani.
Mwisho,
Nasisitiza kuwa kuzuiwa kuingia kwa Martha Karua na wenzake kumezingatia sheria, Tuheshimu kanuni na kuzingatia usawa kwa mambo tunayoamini kama wapigania haki na walinzi wa utawala wa sheria. Nitaendelea kutetea Katiba na uhuru wa mahakama, napinga shinikizo lisilofuata taratibu za kisheria au kutaka kutumia siasa kutatua jambo la kisheria!
Na asiruhusiwe tena kuingia Tanzania, na Maria Sarungi asimdanganye mbibi wa watu na wenzake ati Tanazania ni shamba la bibi.
Tanzania ni nchi huru inayoongozwa kwa misingi ya kisheria. Hayupo wa kutelekeza cha kufanya 🐒
Weka ushahidi wako hapa:Na asiruhusiwe tena kuingia Tanzania, na Maria Sarungi asimdanganye mbibi wa watu na wenzake ati Tanazania ni shamba la bibi.
Tanzania ni nchi huru inayoongozwa kwa misingi ya kisheria. Hayupo wa kutelekeza cha kufanya 🐒
Ndiyo maana vyuo vyetu vinazalisha wasomi ambao baadae wanatakiwa waende VETA!Na Adv. Heche, Dodoma
Leo, tarehe 18 Mei 2025, mawakili Martha Karua, Gloria Kimani na Lyn Ngugi wamezuiwa kuingia nchini wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Kama wakili mwenye uzoefu na niliyeapa kutetea Katiba na uhuru wa mahakama bila kuegemea upande wowote wa kisiasa, nawasilisha hoja zifuatazo;
1.LSK Isitumike Kuendesha Siasa za Kuchagua
Miguna Miguna alipozuiwa Kenya, hatukuona msafara wa mawakili. Maandamano ya 2023 Nairobi yalipoacha vifo, LSK haikutoa mwitikio mkali. Damu ya raia bado inamwagika Mashariki mwa DRC na Uganda lakini hakuna “delegation” yoyote. Leo, ghafla Tanzania ndiyo dharura, tena kutoka LSK?
2.Mahakama Zetu Ni Huru, Si Majukwaa ya Kampeni
Mahakama ziko wazi kwa waangalizi na wafuatiliaji wanaofuata taratibu, mimi ni shahidi katika hili. Kugeuza kusikilizwa kwa dhamana ya kesho kuwa "show-off " ya kisiasa ni kujaribu kunajisi ile due-process makusudi kabisa.
3.Maafisa Uhamiaji Hawajakosea
Kwa mujibu wa Sheria ya Uhamiaji, afisa ana mamlaka kumkatalia mtu anayetishia “utulivu au maslahi ya umma.” Haki ya Tundu Lissu kupata wawakilishi haijakiukwa, mawakili wa Kitanzania wapo, na TLS inaweza kuongeza wengine. Hata Mwasipu angeenda JKNIA angetumia grounds zipi kuzuia huu wajibu wa Uhamiaji?
4.Utawala wa Sheria Unakata pande zote mbili
Kuheshimu Katiba kunamaanisha pia kulinda Kifungu 147 (Utulivu na Maadili). Uamuzi wa mwisho juu ya dhamana upo kwa Mahakama Kuu, si wageni wenye umaarufu wa kisiasa or whatsoever!
5.Mahakama Iachwe Ifanye Kazi Bila Shinikizo
Kauli za kutoa presha kwa mahakama mtandaoni zinatishia uhuru wa wawatoaji haki. Kuna kauli huwa tunapenda kuitumia "Observers are welcome; orchestrated flash-mobs are not". Martha na wenzie waelewe!
6.Haki Lazima Iwe Haki Mahali kote
Tupime kwa vipimo vilevile yaliyotokea na hali ilivyo Kibera, Goma, Kampala na Dar, si Tanzania pekee inapogusa majina maarufu hasa ya wanasiasa basi tuone stunts za kinafiki mbele ya kamera, hii haitaleta uadilifu bali taswira ya kutafuta umaarufu binafsi kupitia makolido ya mahakamani.
Mwisho,
Nasisitiza kuwa kuzuiwa kuingia kwa Martha Karua na wenzake kumezingatia sheria, Tuheshimu kanuni na kuzingatia usawa kwa mambo tunayoamini kama wapigania haki na walinzi wa utawala wa sheria. Nitaendelea kutetea Katiba na uhuru wa mahakama, napinga shinikizo lisilofuata taratibu za kisheria au kutaka kutumia siasa kutatua jambo la kisheria!
Kweli kuna watu vichwani kuna kinyesi badala ya ubongoNa Adv. Heche, Dodoma

Hamna ulichoandika zaidi ya ujinga wa kutaka kiwapangia LSK kufanya mambo, kwa kadiri ya mtizamo wako!!Na Adv. Heche, Dodoma

Umeandika kisomiNa Adv. Heche, Dodoma

UmemalizaNa Adv. Heche, Dodoma

Huko Kenya kuna mauaji ya kutisha.Ukabila.ugaidi.dada wa kazi wananyanyaswa na kuuliwa nchi za kiarabu.Mbona hawaendi kuwatetea.Juzi tu mbunge wa Kenya kauliwa,judge kauliwa.mkubwa wa uchaguzi kauliwa,kuna judge kashtakiwa uingereza wa Kenya kwa kumnyanyasa house girl.mbona hawaendi kuwatetea hao wakenya wenzao.Udikteta na uuaji Wa CCM na Samia Sasa umevipiku Nchi za Uganda na Rwanda. Samia hajiamini. Anaona akiteka, kuua, kubambikia wapinzani wake kesi kubwa na kuwatisha wanaharakati Wa haki za binadamu ndo atatambuliwa km Rais na kuogopwa.
Facts ziko wapi hapo!!??Watu wenye akili ndogo kama wewe ni hasara Kwa Taifa letu mwenzako katoa fact we unaishia kuita upuuzi si umjibu