Hoja sita juu ya Martha Karua kuzuiliwa kuingia nchini

Udikteta na uuaji Wa CCM na Samia Sasa umevipiku Nchi za Uganda na Rwanda. Samia hajiamini. Anaona akiteka, kuua, kubambikia wapinzani wake kesi kubwa na kuwatisha wanaharakati Wa haki za binadamu ndo atatambuliwa km Rais na kuogopwa.
 
Wewe na Lucas ni hasara kwenye hili taifa
 
Naona chawa mwenzako kakupa makopa kopa
 
Umoja wa Ulaya unawapiga spana

Mawakili wa Afrika wanawapiga spana


Badala ya kujionesha mna akili angalau kujisafisha kuwa hamjamshtaki Lissu kwa hila mnazidi kujiharibia kwa kuwazuia watu wanaokuja kuhudhuria kesi yake.

It's obvious mmenyimwa akili ili muanguke vizuri.

Wakati utazungumza.
 
Na asiruhusiwe tena kuingia Tanzania, na Maria Sarungi asimdanganye mbibi wa watu na wenzake ati Tanazania ni shamba la bibi.

Tanzania ni nchi huru inayoongozwa kwa misingi ya kisheria. Hayupo wa kutelekeza cha kufanya 🐒
Mpumbavu wewe nchi hii ni mali yako peke yako..? kuna asiyemfahamu mama karua na hao mawakili..? wana baya gani wakiingia..mnaruhusu magenge ya uhalifu kuingia na majambazi halafu mnazuia watu wema..akili za matakoni hizi!
 

Mahakama zetu ni huru ..... hivi wenzetu unaishi nchi gani?
 
Na asiruhusiwe tena kuingia Tanzania, na Maria Sarungi asimdanganye mbibi wa watu na wenzake ati Tanazania ni shamba la bibi.

Tanzania ni nchi huru inayoongozwa kwa misingi ya kisheria. Hayupo wa kutelekeza cha kufanya 🐒

Kwani yeye kaja kuwaeleza cha kufanya au kaja kumpa support mwana east Africa mwenzake?

Na uwezi kujua ukaribu wao labda wanadate je
 
Na asiruhusiwe tena kuingia Tanzania, na Maria Sarungi asimdanganye mbibi wa watu na wenzake ati Tanazania ni shamba la bibi.

Tanzania ni nchi huru inayoongozwa kwa misingi ya kisheria. Hayupo wa kutelekeza cha kufanya 🐒
Weka ushahidi wako hapa:
1. Kwamba Maria amemdanganya Bibi karua kuwa Tanzania ni shamba la bibi.
2. Kwamba Tanzania ni nchi huru na inaongozwa kwa misingi ya sheria.
 
Ndiyo maana vyuo vyetu vinazalisha wasomi ambao baadae wanatakiwa waende VETA!
 
Kweli kuna watu vichwani kuna kinyesi badala ya ubongo
 
Hamna ulichoandika zaidi ya ujinga wa kutaka kiwapangia LSK kufanya mambo, kwa kadiri ya mtizamo wako!!

Nyie ndio aina ya watu ambao mlienda kusomea UJINGA vyuoni.🤔🤔
 
Umeandika kisomi
 
Nimejitahdi kusoma mpaka mwisho ila cjaelewa chochote,
 
Umemaliza
 
Udikteta na uuaji Wa CCM na Samia Sasa umevipiku Nchi za Uganda na Rwanda. Samia hajiamini. Anaona akiteka, kuua, kubambikia wapinzani wake kesi kubwa na kuwatisha wanaharakati Wa haki za binadamu ndo atatambuliwa km Rais na kuogopwa.
Huko Kenya kuna mauaji ya kutisha.Ukabila.ugaidi.dada wa kazi wananyanyaswa na kuuliwa nchi za kiarabu.Mbona hawaendi kuwatetea.Juzi tu mbunge wa Kenya kauliwa,judge kauliwa.mkubwa wa uchaguzi kauliwa,kuna judge kashtakiwa uingereza wa Kenya kwa kumnyanyasa house girl.mbona hawaendi kuwatetea hao wakenya wenzao.
 
Watu wenye akili ndogo kama wewe ni hasara Kwa Taifa letu mwenzako katoa fact we unaishia kuita upuuzi si umjibu
Facts ziko wapi hapo!!??
Uhamiaji ndiye mwenye "facts" za kwa nini wamewazuia hao mawakili.
Uhamiaji mbona hawajasema kitu!!?
Acheni kukurupuka na kuja na assumptions zenu, wakati mamlaka za kutolea ufafanuzi zipo kimya.
 
Amani na utulivu wa Tanzania lazima zilindwe kwa wivu mkubwa. Kilichofanyika kwa Martha ni fundisho kwa manyang'au wengine kuwa hatutawaruhusu kuja kuleta upuuzi wao nchini Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…