Uchaguzi 2020 Hoja tatu ni kwanini wapinzani hawatoshi kwenye Uchaguzi huu

Anza kwanza kujibu hoja halafu ndio ulete ramli zako chonganishi
 
Your browser is not able to display this video.

Miaka mitano mmeshindwa kushughulikia hayo unayoita madudu,tuwaeleweje?Sasa unasema bado mnashughulikia madudu,mpaka lini?Shame!
Umeona hiyo clip kuhusu bajeti ya ununuzi wa ndege na kile mgombea wako anakisema?
 
Miaka mitano mmeshindwa kushughulikia hayo unayoita madudu,tuwaeleweje?Sasa unasema bado mnashughulikia madudu,mpaka lini?Shame!
Tanzania ina miaka 59 tangu update uhuru wewe na akili yako timamu unaongelea siku moja tu ya maisha halisi?.

Kaka maisha halisi sio sawa na mchezo karata cha muhimu ni kutuliza akili.
 
Asante mkuu. Hawa wenye mpango wa kutaka kuturudisha nyuma, tuwakatae kwa hoja. Kutaka Magufuli asiendelee ni uchawi wa kuwanga mchana kweupeee
Asiendelee ili Lissu aende ikulu kuanza upyaa kabisa.

Ili mlipa hela ambaye ni mzungu aweze kuchagua wimbo autakao akiwa kakunja nne.
 
Magufuli atashinda Ila tuhakikishe anapata ushindi mkubwa Sana. Hiyo itakuwa ni salamu zetu watanzania kwa wote wapinga maendeleo
 
Miaka zaidi ya 50 bado mnashughulikia zilizobaki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kwa mtutu siwezi chagua jiwe, bora nimpe Ashimu rungwe kama Lissu asingekuwepo
 
"Ashimu Kama Ashimu"
 
Kama kungekuwa hakuna vya kushughulikia basi serikali zisingekuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…