Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ndio ujue katika awamu hii ni gumble kukopa fedha na kufanya biashara na kuwa na uwezo wa kurejesha,hiyo ndio tafsiri yake kwa maana ya mzunguko wa fedha kushuka sana!Tumia lugha za kistaarabu pia dhibiti hasira yako unapokuwa kwenye mijadala ya JF.
Uwezo wa kukopa na kurejesha ni masuala ya muda tu.
Nchi inafunguka kwa ujumla wake na kadri miundo mbinu inavyosambaa ndivyo fursa
zinavyofunguka.
Ukitazama shida za maisha ya mijini unaweza kudhani maisha ni ya humu mijini tu kumbe Tanzania ni mpaka huko vijijini.
Kwani CCM imeungana na nani? By the way, sheria za Tanzania haziruhusu vyama vya siasa kuungana3. Kushindwa kuungana
Faru KKwani CCM imeungana na nani? By the way, sheria za Tanzania haziruhusu vyama vya siasa kuungana
Utaelewa taratibu. Kama Prof Kitila, Nassari, Lijualikali, Mama Mghwira, Patrobas na wengine wengi wameelewa, basi ni jambo la wakati tuuBasi ndio ujue katika awamu hii ni gumble kukopa fedha na kufanya biashara na kuwa na uwezo wa kurejesha,hiyo ndio tafsiri yake kwa maana ya mzunguko wa fedha kushuka sana!
Unasema pia fursa zipo vijijini,hizo firsa zimekuwepo tu miaka nenda rudi!Tatizo ni mazingira wezeshi!Kama sekta ya kilimo bajeti inaenda chini ya 40%,unategemea nini kwa wakulima huko vijijini?Hata wanapojitutumia kulima basi hata masoko ni tatizo!
Maeneo kama hayo ndio yalitakiwa yawekewe mkazo ili kuwagusa watanzania wengi!Lakini huyu mgombea kila anakopita ni flyover,ndege,umeme na madaraja!
No way,miaka 5 imetosha!
Bado suala la ajira ambalo ndio kilio kikubwa cha vijana kwa sasa!
Yaani nchi hii utafikiri mambo mengine yamesimama kupisha ujenzi!
Kupanga Ni kuchagua Rebeca.He is, Kilimo,Afya,Elimu...kasome tena ilani yao...he has got vision, has got pragmatic approach to our problems,Magufuli hana vision,na matatizo yetu watanzania yale common hayajui, A+B might be C but how do you derive C??,one will use this approach and other will use another method,which is more quick and efficient. Mimi sio kwamba simpendi Magu ila hizo ndege zinatosha yaani alivyosema ataongeza mi ndege yake ambayo hamna tija zaidi ya pride yake,ndio nikaona huyu si mwenzetu.....yaani watanzania wateseke tena miaka mitano TENA,kisa mkuu wa CHATO ananunua ndege nyingine...Kwa kweli hapana!!!...na aache kuita wenzake mafisadi...wakati yeye hatuelewi ile Trillion 1.5 sijui kaiminyia wapi?
Delete ccm Oct 28
Hawa madiwani wanaoombewa kura kazi yaoBasi ndio ujue katika awamu hii ni gumble kukopa fedha na kufanya biashara na kuwa na uwezo wa kurejesha,hiyo ndio tafsiri yake kwa maana ya mzunguko wa fedha kushuka sana!
Unasema pia fursa zipo vijijini,hizo firsa zimekuwepo tu miaka nenda rudi!Tatizo ni mazingira wezeshi!Kama sekta ya kilimo bajeti inaenda chini ya 40%,unategemea nini kwa wakulima huko vijijini?Hata wanapojitutumia kulima basi hata masoko ni tatizo!
Maeneo kama hayo ndio yalitakiwa yawekewe mkazo ili kuwagusa watanzania wengi!Lakini huyu mgombea kila anakopita ni flyover,ndege,umeme na madaraja!
No way,miaka 5 imetosha!
Bado suala la ajira ambalo ndio kilio kikubwa cha vijana kwa sasa!
Yaani nchi hii utafikiri mambo mengine yamesimama kupisha ujenzi!
Unajua mchakato wa bajeti unaanzia wapi?Basi kama hujui unaanzia kwenye ngazi ya chini kabisa na ndio kwa hao madiwani unaowataja!Mchakato unaenda kumalizikia bungeni ambapo bunge hupitisha bajeti husika!Sasa kama kilimo ambacho ndio kinawagusa wananchi wengi kinapata chini ya 40%,unategemea nini?Hawa madiwani wanaoombewa kura kazi yao
Ni kuwa karibu na kero za wananchi.
Sekta nyingine zinaendelea kama kawaida lakini ujenzi ni muhimu sana kwani unazo fursa nyingi siku zijazo.
Kwa akili zenu watu kujiunga na CCM ndio kuelewa?Hao ni watafuta fursa za matumbo yao!Wala sishangai hata wewe yawezekana una njaa na unauza utu wako kujaza hilo tumbo!Utaelewa taratibu. Kama Prof Kitila, Nassari, Lijualikali, Mama Mghwira, Patrobas na wengine wengi wameelewa, basi ni jambo la wakati tuu
Taratibu tutafika mkuu. Hatuwezi tukawa vizuri katika kila sekta kwa wakati mmoja.Unajua mchakato wa bajeti unaanzia wapi?Basi kama hujui unaanzia kwenye ngazi ya chini kabisa na ndio kwa hao madiwani unaowataja!Mchakato unaenda kumalizikia bungeni ambapo bunge hupitisha bajeti husika!Sasa kama kilimo ambacho ndio kinawagusa wananchi wengi kinapata chini ya 40%,unategemea nini?
Kupanga ni kuchagua!Hiyo miradi hata ikija kuwa na tija lakini kama tungeenda taratibu na kuweka nguvu pia kwenye mambo kama kilimo,uvuvi,ufugaji,elimu,afya na uwezeshaji ingekuwa na tija zaidi kwa watanzania!
Ndio maana nasema Ethiopia wana miradi hiyo yote mikubwa tuliyonayo ila wananchi wake asilimia kubwa ni mafukara na kutwa wanakimbia nchi yao!
Kupanga ni kuchagua!
Kwa akili zenu watu kujiunga na CCM ndio kuelewa?Hao ni watafuta fursa za matumbo yao!Wala sishangai hata wewe yawezekana una njaa na unauza utu wako kujaza hilo tumbo!
Msigwa aliwahi kusema kuna maprofesa wakisimama bungeni akili zao ni kama za darasa za pili maana huwa wanaziweka mfukoni na kubaki mabox kichwani!
Hata Nape,Makamba wote wawili,Kinana wanaamini JPM ni mshamba na aliyechanganyikiwa!Ila kwasababu ya matumbo yao wamekubali kuchutama!Akisemacho mwanasiasa akiwa chumbani hicho ndio cha kweli!
Kwangu mimi JPM hapana,namuona kama kiongozi aliye desperate!So kura yangu siwezi kumpa,kamwe!
Naona umeanza kuongea kitu nilichokuwa nasema ila hujajielewa tu!Taratibu tutafika mkuu. Hatuwezi tukawa vizuri katika kila sekta kwa wakati mmoja.
Rome was not built in a day, lazima tuvumilie ukuaji wa taratibu wa baadhi ya sekta za kiuchumi.
Huu ndio upumbavu wenyewe. Nilidhani unaweka ushahidi wa takwimu zinazoonyesha kuwa Tanzania inaongoza kwa usambazaji wa umeme,kumbe ni yale yale ya bla bla za tangu 1961.
hiyo ni 50 kwa 50 bro hakuna kiongozi atakaye kuondolea umaskini wako isipokuwa wewe mwenyewe, cha msingi rudi kwenye hoja ya kwa nini CHADEMA isiendeleee kusugua bechi had mwaka 2050Huwa najiuliza kati ya majimbo yanayoongozwa na CCM VS upinzani ni majimbo yapi yana watu fukara?
Jaribu kupanua uwezo wako wa kufikili usiishie hapo your non a robotViwanda mlivyoahidi mboga mboga viko wapi bro?
Narudia tena kusema,upumbavu ni kipaji.Ben rafiki yangu, uko nje ya mada. Hukustahili heshima ya kujibiwa, ila nitakujibu.
Mapingamizi yapo kwa mujibu wa sheria. Vyama vyote vinayo haki ya kumwekea mgombea mwingine pingamuzi.
Kwa mfano: pamoja na mambo mengine, sheria inamtaka mgombea aweke picha kwenye fomu zake. Inapotokea mgombea hakuweka na mgombea mwingine akamuwekea pingamizi (kumbuka wagombea wanaruhusiwa kukagua fomu za wagombea wengine). Mgombea asiyeambatanisha picha akienguliwa Kuna uonevu?
Wewe zingatia sababu za kuenguliwa. Baadhi ya wagombea wenu wanakosa umakini kwenye ujazaji was fomu na mchakato mzima wa Uchaguzi