Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu ipi bure unayoizungumzia?Magufuli ndiye kasoma bure,sio hii geresha la mpaka kidato cha nne!Watoto wa hao wa Nanyamba na Kyabakari wanasoma bure ili siku moja wapate elimu kubwa ya kuweza kuzipanda mara kwa mara hizo ndege wakienda Ulaya kwa ajili ya kufanya biashara kubwa.
Akili zinazoangalia mbali huwa zinahoja masuala kwa kina.
Ethiopia na Tanzania zina historia tofauti kabisa, hazifanani na hazitakuja kufanana.Elimu ipi bure unayoizungumzia?Magufuli ndiye kasoma bure,sio hii geresha la mpaka kidato cha nne!
Nyerere alisomesha kuanzia msingi mpaka chuo kikuu bure na JPM ni mnufaika wa hilo!
Badala ya kuwekeza kwenye kilimo na Elimu ya juu,mnawekeza pesa nyingi kwenye vitu vya kuonekana kama ndege!Mbaya zaidi hamtaki hata kukaguliwa mnapofanya hayo manunuzi!Kuna jambo hapo!
Ethiopia wamewekeza sana kwenye ndege,ila wananchi wao kutwa kujipakia kwenye makontena kwenda kufia mbele ya safari kutafuta unafuu wa maisha!Huko ndiko tunataka kwenda!
Wewe una afya?Ningefurahi kujifunza kutoka kwake na kwa wengine. Mfano, katika hayo niliyoyataja, Kuna jambo lolote la uongo?
Kama hakuna wahusika wajirekebishe. Tunataka Upinzani wenye afya
Pesa ziko wapi wakati bajeti hata 40 % haikufika huku wizara ya ujenzi ikipata 228% ya bajeti iliyoombwa na bunge?Ethiopia na Tanzania zina historia tofauti kabisa, hazifanani na hazitakuja kufanana.
Faida ya ndege wenye kuzijua ni wenye biashara za kimataifa wewe kama unafanya biashara za kutumia guta na mikokoteni endelea kujadili mambo ya ndani ya uwezo wako.
Kilimo na elimu ya juu ni sekta zinazofanyiwa kazi na pesa za kuzishughulikia sekta hizo zipo.
Inachekesha kuona unabeza kila jema. Kipindi cha Nyerere tulikuwa wangapi halafu Sasa hivi tuko wangapi?Elimu ipi bure unayoizungumzia?Magufuli ndiye kasoma bure,sio hii geresha la mpaka kidato cha nne!
Nyerere alisomesha kuanzia msingi mpaka chuo kikuu bure na JPM ni mnufaika wa hilo!
Badala ya kuwekeza kwenye kilimo na Elimu ya juu,mnawekeza pesa nyingi kwenye vitu vya kuonekana kama ndege!Mbaya zaidi hamtaki hata kukaguliwa mnapofanya hayo manunuzi!Kuna jambo hapo!
Ethiopia wamewekeza sana kwenye ndege,ila wananchi wao kutwa kujipakia kwenye makontena kwenda kufia mbele ya safari kutafuta unafuu wa maisha!Huko ndiko tunataka kwenda!
Yani ni bila bila arifuWewe una afya?
Rebeca, what a beautiful name. It's sad ur candidate is not a right choice kwa watanzania.Lissu is strong candidate ana fit kila mahali ndugu,sasa hivi mmebanwa pabaya..no Policcm no what..Lissu hamumuibiii kura...very interesting Election..cant wait.
Mkuu ni wabunge wa upinzani waliokuwa wakiikejeli serikali ya Kikwete kwa kutokuwa na shirika la ndege la taifa leo watu wamegeuka!!.Pesa ziko wapi wakati bajeti hata 40 % haikufika huku wizara ya ujenzi ikipata 228% ya bajeti iliyoombwa na bunge?
Wafanyabiashara hawakuwahi kukwama kwa sababu ya ndege kwani kuna mashirika mengi tu yana operate,usafiri wa anga haukuwa changamoto kwa wafanyabiashara!Watu tumesafiri sana tu na mashirika ya ndege ya kimataifa!
Tunaweka vipaumbele kwenye vitu ambavyo havigusi maisha ya watanzania wengi!Basi tungebalance,ndio maana watu wanalalamika mzunguko wa fedha nchini kushuka,hii ni kutokana na fedha nyingi kwenda kwenye makampuni ya nje kwa ajili ya ndege,SGR,Flyovers na Stiglers!Yaani hakuna uwiano mzuri wa miradi ya maendeleo na kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa kuweka mzunguko mzuri wa fedha!
Tatizo lenu mnajitia upofu na hamtaki kusikia huu ukweli!
Hiyo bil 23 mara miezi 12 haijafika hela ya kununua boeing dreamliner moja!So bado ni ndogo sana!Inachekesha kuona unabeza kila jema. Kipindi cha Nyerere tulikuwa wangapi halafu Sasa hivi tuko wangapi?
Bilioni 23 y mwei kwaajili ya elimu bila malipo sio dogo. Idadi kubwa ya wanafunzi Sasa wako shuleni. Mikopo ya elimu ya juu imeongezwa.
Watanzania wanajua
Umekataa kuelewa. Utasubiri SanaHiyo bil 23 mara miezi 12 haijafika hela ya kununua boeing dreamliner moja!So bado ni ndogo sana!
Watu wanaingia darasa la kwanza milion na ushee,wanufaika wa mkopo ni chini ya laki na nusu,watu wangapi wanaishia hapo katikati?
Elimu,kilimo sio kipaumbele cha serikali ya CCM!
Ni wakati muafaka wapumzishwe tuweke damu mpya!
Naona umeelewa ila kwakuwa ni mnywa maji ya kijani basi unafunika kombe mwanaharamu apite!Umekataa kuelewa. Utasubiri Sana
Tunasema kila kitu kifanywe kwa wakati na kwa kiasi ili kubalance!Hata wewe nyumbani kwako huwezi walisha watoto wako ugali maharage kila siku ili ununue gari,ujenge nyumba nzuri!Lazima utapangilia uanze kujenga au ununue gari lakini wakati huo huo familia isitaabike,wale vizuri!Mkuu ni wabunge wa upinzani waliokuwa wakiikejeli serikali ya Kikwete kwa kutokuwa na shirika la ndege la taifa leo watu wamegeuka!!.
Miradi mikubwa unaweza kuahirisha kuifanya leo lakini sio milele yote. Ipo siku utakuja kuiona umuhimu wake.
Huwezi kukwepa umeme wa uhakika,huwezi kuikwepa treni ya kisasa.
Hakuna namna ya uwepo wa serikali yenye kuweza kumfurahisha kila mtu kila wakati.
Mkuu pole sana kwa maumivu ya ndani ya nafsi.Tunasema kila kitu kifanywe kwa wakati na kwa kiasi ili kubalance!Hata wewe nyumbani kwako huwezi walisha watoto wako ugali maharage kila siku ili ununue gari,ujenge nyumba nzuri!Lazima utapangilia uanze kujenga au ununue gari lakini wakati huo huo familia isitaabike,wale vizuri!
Ndio hivyo hivyo,pesa unapeleka kwenye miradi kubwa bila uwiano sahihi!Mbaya zaidi makampuni yanakula hizi pesa ni ya nje!Mzunguko wa ndani wa fedha unaathirika pakubwa!Hata Kikwete alijenga barabara na madaraja!Lakini aliweza kubalance walau mzunguko wa ndani ulikuwa wa kuridhisha!Sio kwamba alishindwa kukopa na kufanya yote kwa pamoja,ila kila kitu kwa hatua!
Huyu JPM wala hajali,ni yeye na miundombinu!Ndio maana nasema hata Ethiopia kuna miundombinu bora sana kuliko hapa kwetu,ila wananchi wake wengi ni mafukara!Kupanga ni kuchagua!
Binafsi yangu naona JPM apumzishwe kwa sasa!Ameshafikia kilele cha uwezo wake na tumeuona!
Mkiishiwa hoja ndio huwa mnakuwa hivi!Nafsi yangu haina hayo maumivu unayoyadhania!Huenda nikawa na maisha mazuri kuliko hata wewe lakini hilo halinifanyi niwe kondoo wa nyama!Mkuu pole sana kwa maumivu ya ndani ya nafsi.
Ipo siku yanayofanywa sasa hivi yataonekana faida zake. Subira huvuta heri.
Ndege zinanunuliwa Madawa yapo mahospitalini na nchi inakwenda vyema kabisa.Mkiishiwa hoja ndio huwa mnakuwa hivi!Nafsi yangu haina hayo maumivu unayoyadhania!Huenda nikawa na maisha mazuri kuliko hata wewe lakini hilo halinifanyi niwe kondoo wa nyama!
Tujikite kwenye hoja badala ya personal attacks!
Sio mbaya maana uelewa wako uko limited,binafsi watu kama wewe huwa siwakatii tamaa!Tutaendelea kuelimishana kidogo kidogo juu ya masuala haya kadri muda utakavyoruhusu!Ndege zinanunuliwa Madawa yapo mahospitalini na nchi inakwenda vyema kabisa.
Hakuna anayeishiwa hoja mkuu. Kazi inaendelea.
Tumia lugha za kistaarabu pia dhibiti hasira yako unapokuwa kwenye mijadala ya JF.Sio mbaya maana uelewa wako uko limited,binafsi watu kama wewe huwa siwakatii tamaa!Tutaendelea kuelimishana kidogo kidogo juu ya masuala haya kadri muda utakavyoruhusu!
Swali dogo tu,taarifa ya 2019 ya mabank Tz ilionesha kuwa uwezo wa watu kukopa na kurejesha mikopo umeshuka sana!Kwa akili yako unadhani ni kwa nini?
Delete ccm Oct 28Wanajamvi,
Ninaomba nilete kwenu hoja tatu ni kwanini tusichague Upinzani. Hoja hizo ni Kama ifuatavyo:
1. Njia za kushughulikia janga la korona
2. Kushindwa kuwa mfano kwenye chama na majimbo
3. Kushindwa kuungana
Njia za kushughulikia janga la Corona
Wakati serikali ikija na mpango mkakati wa kushughulikia janga la korona, wapinzani nao walikuja na mpango wao. Serikali ilisisitiza kufuata masharti lakini watu walikuwa huru kufanya shughuli zao (there was no curfews). Kwa upande wao, wapinzani (hasa CHADEMA na ACT - Wazalendo), walisisitiza kufuata masharti lakini walitaka watu wafungiwe ndani (country lockdown).
Njia ya serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli (akisaidiwa kwa Karibu na waziri Ummy Mwalimu) iliunganisha mambo mawili; ubunifu wa kisayansi uliozingatia mazingira yetu na kuweka imani kubwa kwa Mungu. Wapinzani walitaka kufanya "copying and pasting" pasipo kuzingatia mazingira yetu.
Unamfungiaje mtu ambaye mlo wake unategemea yeye kutoka? Watu si wangekufa njaa? CCM waliona hilo. Wananchi walipokea kwa furaha maamuzi ya Rais maana yalijaa matumaini, yalitoa Faraja na yalituvusha.
Rais Magufuli na serikali yake hawakulala. Walifanya majaribio, waliagiza NIMR na matabibu watafute suluhu. Mengi aliyoyafanya Rais Magufuli yalikuja kuthibitika baadae kuwa ni kweli na hakika ingawa wakati akiyasema alishambuliwa na maadui wa ndani na nje na kuitwa majina your mabaya.
Wakati Rais Magufuli na CCM wakichukua hatua hizo, wapinzani walikebehi, kubeza na kulaani. Walitutaka tusubiri kuokota maiti. Walienda mbali zaidi wakachukua posho halafu wakatokomea kusikojulikana, wenyewe wakiita "karantini ya kishua" huku wapiga kura wao wakihangaika kutafuta riziki zao.
CHADEMA walienda mbali zaidi kwa kutoa onyo Kali pamoja na kuwafukuza uanachama wabunge waliokataa mpango huo. Inashangaza wanajiita chama cha demokrasia.
Kwa hili tuu la ugonjwa wa Corona, ilitosha kabisa kuwakataa wapinzani na kuipa CCM kura zote.
Kushindwa kuwa mfano kwenye chama na majimbo
Ukipata nafasi unatakiwa uitumie vizuri. Wabunge wa Upinzani walitakiwa wajiongeze kwa kufanya kazi kwa bidii Sana, ubunifu wa hali ya juu na uadilifu usiotiliwa shaka. Vyama vyao vilitakiwa kuongozwa Kidemokrasia. Hii ingewasaidia sana kuwathibitishia watanzania kuwa hata wakipewa nchi wanaweza. Wanasema "Charity begins at home".
Kinyume chake, chamani na majimboni, ni "business as usual". Siku zote mchepuko unajitahidi kumfunika madhahausi. Wapinzani kwa hili mmeshindwa pakubwa. Mmeshindwa kuthibitisha kuwa mnaweza kuwa mbadala wa CCM. Endeleeni kujiandaa kwa sasa hamtoshi.
Kushindwa kuungana
Wapinzani kushindwa kuungana hasa mnapomkabili mgombea wa aina ya Rais Magufuli ni udhaifu mkubwa sana. Ni wazi kuwa hamuaminiani. Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe aliahidi ahadi hii hewa. Kama nyie binafsi hamuaminiani, sisi wananchi wa kawaida tutawaaminije?. CCM itawapiga kipigo cha mbwa koko mwaka huu. Hamna rangi mtaacha kuona.
Amani Msumari
Tanga
Rebeca, what a beautiful name. It's sad ur candidate is not a right choice kwa watanzania.