CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Huyu Mrombo naye anajipenyeza penyeza tu eti naye utopolo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Mrombo naye anajipenyeza penyeza tu eti naye utopolo.
Udiwani wa Kariakoo si ndiyo ulimponza hadi mzee Tozi akapita naye mazima.Bila hata ya mabomu Manara hafai, mdomo hauna breki na anapenda sana kujiinuwa wakati Mungu ndio anainuwa watu.
Yeye si anajiita mtoto wa mjini akagombee udiwani Kariakoo, Yanga hatumtaki.
Huyo kibabu atulie zamani zake zimepita asije kutuletea mambo ya ujima kwa timu yetu ya kisasa.Enzi za Manara zimeshapita.
Mimi ni shabiki wa Yanga.Mbona mashabiki wa Simba mnahaha sana kuhusu kurudi kwa Haji Manara Yanga?
Anaweza kuwa anapata nafasi Kama wanavyopata kina Kitenge na Zembwela.Yanga ni Kama NYAMA ya TEMBO hauwezi ukaila MTU mmoja ukaimaliza .
So Mwacheni Manala ajipatie riziki yake kupitia mdomo wake .
Mambo mengine ni ROHO za kimasikini ndo zinafanya mchukie watu bila sababu.
Anaweza kuwa anapata nafasi Kama wanavyopata kina Kitenge na Zembwela.
Watu wanalipia furaha tu kwa kununua jezi, kulipa ada na kupambania timu.
Malipo yao ni furaha na burudani. Sasa Manara Simba na mpiga domo chawa, why atake zaidi??
Timu inapata hasara. Lazima ibane matumizi, na sehemu sahihi ya kubana matumizi ni kwenye STAFF.Ndo maana nikasema roho za kimasikini ni mbaya Sana .
Ukiwa na roho za kimasikini unakuwa hautaki MTU apate riziki
Mfano Manara akiwa yanga nyie mashabiki mnapungukiwa nini
That is evil spirit .
Timu inapata hasara. Lazima ibane matumizi, na sehemu sahihi ya kubana matumizi ni kwenye STAFF.
Mwaka huu mikataba ya kina PACOME, MAXI, MUDATHIR, YAO KUOASSI, inaisha.
Kubakiza wachezaji Kama hao inahitaji MZIGO tena siyo wa KITOTO.
Hivyo kumpa mtu ajira kwa kumfurahisha tu ni upumbavu na ujuha
Huwezi kupuuza mashabiki na wanachama. Hata huyo GSM anajua maana ya Yanga ndio hatoi pesa kwa LIPULI.Gsm ambaye anatoa pesa hajalamika je wewe unayenunua jezi na uanachama kwanini ulalamike.
Ndo maana nimekuambia mambo ya riziki ya MTU usiyaingilie wala kuumia hiyo inaweza kuwa roho ya kimasikini ya kuona MTU Fulani anapata zaidi yako.
Hamna mkuu, hata mimi ni mwananchi ila simtaki huyu mzee jangwani.Mbona mashabiki wa Simba mnahaha sana kuhusu kurudi kwa Haji Manara Yanga?
Huwezi kupuuza mashabiki na wanachama. Hata huyo GSM anajua maana ya Yanga ndio hatoi pesa kwa LIPULI.
Hapa nazungumzia Yanga na siyo GSM.
Na GSM ana makampuni mengi na alishampa ubalozi. GSM yupo Yanga Kama alivyokuwa Manji.
Watu wanatoa elfu 29 zao kila mwaka, lazima wazungumzie.
Kama unaona lazima apewe riziki mpe ya kwako.
Wewe kweli ni kiazi. Wanaobarikiwa hawaishi kwa uchawa.Kuna watu wapo blessed wamebarikiwa tayari ikiwemo huyo manara
Kisichokuwepo ni nini?Nikiangalia mnacholalamika hakipo zaidi ya CHUKI.
Anayeuza ndio anajua. Kama.hazina umuhimu aache hajashikiwa mtutu. Stupid.Hizo Jezi mnazonunua ndo zinaendesha timu msimu mzima?
Na wewe binuka Basi uache tundu wazi ubarikiweMuacheni kijana ale Maisha Mungu ameshambariki.
Kulalamika ni waste of time .
Hizi tabia za kuchukia watu msipoziacha mtapata kihoro bure
Kijana anaji-brand anacheza na mdomo wake why umchukie na kutotaka apate RIZIKI.
Wewe kweli ni kiazi. Wanaobarikiwa hawaishi kwa uchawa.
Pambania uchawa na wewe utaishia kuja kufirwa tu.
Kisichokuwepo ni nini?
Eleweka, maana hueleweki.
Anayeuza ndio anajua. Kama.hazina umuhimu aache hajashikiwa mtutu. Stupid.
Kwahiyo, Manara ndio anaendesha timu??
Na wewe binuka Basi uache tundu wazi ubarikiwe