Hoja: Utaratibu wa Mahari unatakiwa ufutwe, jamii ibadilike...!!

Wanaolipa mahari wanashangaza kweli, hasa mahari kubwa. Mahari iwe ndogo tu kama elfu tano, kumi, elfu hamsini mwisho. Unatoa milioni moja, mbili, tatu, tano za nini? Ni hasara na ni matumizi mabaya ya fedha na rasilimali/mifugo. Mke ni wa kujitwalia bure, hizo mbwembwe za mahari ziwe ni zawadi tu kwa wazazi na isiwe lazima
 
Sababu ya kulipa mahari ni nini?
 
Zamani pia vijana wanaume hawakuwa wanashinda vijiweni na mitandaoni kukodolea macho makalio ya wanawake, ku comment na ku like clips na picha zao na kuwafuata DM.
 
Kuna jamaa alitoa mahari akaja kupandiwa dau na mwenzake, akaishia kurudishiwa mahari zake baada ya kuonekana ni kidogo dhidi ya mwenzake aliyetoa nyingi. Binti na wazazi wake waliingiwa tamaa wakaamua kumtosa muoaji wa mwanzo aliyezidiwa mahari na muoaji wa pili. Kipindi cha ujumba kimekuwa na vituko na visa vingi wachumba hubadili gia angani kwa kuingiwa na tamaa ya pesa na mali, wanaangalia maslahi ni wapi pana mpunga mwingi
 
Wachumba wenyewe wa siku hizi ni kimeo, unakuta binti ana wachumba kumi na wote anawachuna bila hiyana huku akiwagawia uroda, anazindua albamu kabla ya muda muafaka. Mwishoni anakuja kuolewa na yule aliyewazidi wenzake mpunga mrefu ndio anampata huku tayari alishaonjewa mpiko na wale wachumba wengine. Na asipokuwa makini kimahesabu ya siku za ndoa atajikuta mke wake ana kitu na boksi cha mtu mwingine miongoni mwa wale wachumba walionja mpiko
 
Acha kutumia lugha ya kudhalilisha ya kishenzi, mwanamke kama hafanyi biashara ya ngono kujiuza huwezi kusema ametumika.
We call a spade just like that, sio kijiko kikubwa. Kutumika sio lugha dhalili, ni ukweli kwamba kama mdada amekuwa na tabia ya kugawa utam hovyo ni AMETUMIKA!

Ukiambiwa uoe mwanamke aliyetembea na wanaume 10 utakubali?
 
Mkuu una hoja lakini kule vijijini km usukumani watakupopoa na mawe
Niliwahi kushuhudia kwa macho yangu ntoji alitoa ng'ombe zaidi ya 60 na mbuzi na kondoo kibao kama mahali

Nilichoka sasa jamiii Kama hiyo uwape hii hoja yako?!
Hiiiii bhabhabha
Ni ujinga tu mkuu wala huwezi kuremba maneno, kuna mila za kipuuzi tu. Ndio tunasema mila za hivyo zinarudisha ustawi wa watu nyuma. Ng'ombe 60 ni ujinga kabisa.
 
Maisha ya ndoa yamebadilika na maadili yake yameporomoka, ndoa zimekuwa hazina ustahimilivu, ni mwendo wa kusalitiwa na kuchapiwa, sasa nani anataka kulipa mahari halafu watu wengine waje kuonja mpiko kinyemela?
Just imagine!🤣🤣
Nani akubali kupoteza rasilimali kwa mtu aliyetumika huko na kuja kuishi miaka miwili mnaachana, that's stupidity.

Ukutane na mzinzi mwenzako, muamue mnaanzaje kuishi, wazazi wabariki na muende mkaijaze dunia, mkishindwana ni both teams to score.
 
Ebu twende taratibu! Shukran kwa nani na kwa kufanya nini?
Shukhrani inaenda pande zote kwa wazazi na walezi kwa kuwalea na kuwafikisha mlipofikia ni pande zote sio upande mmoja, nielewe vizuri ndio maana sitaki iitwe mahari sababu mahari imekaa kidalalali sana yaan km mzigo unauziwa hivi nyumba inapigwa mnada sasa hio haijakaa sawa
 
umepata junia 20 basi beba junia 10 peleka ukweni hio ndio inakua mahari au unafuga ng'ombe basi baada ya mwaka beba ng'ombe 10

Shukhrani inaenda pande zote kwa wazazi na walezi kwa kuwalea na kuwafikisha mlipofikia ni pande zote
Napenda jinsi vijana mnajaribu kuchallenge mambo lakini sikubaliani na solutions mnazopendekeza. Ina maana mtu uvune gunia 20 za ulezi afu we upeleke gunia kumi kwa wazazi wa binti na yeye apeleke gunia 10 kwenu kama sehemu ya Shukran?

Ina maana nyie baada ya kuoana hamna ushirikiano wa kifamilia ambao wazazi wa pande zote wangefurahi na kuona matunda ya malezi yao?

Kwa hiyo baada ya kuswaga Ng'ombe kutoka kahama hadi Kagongwa ili ukalipe mahari ndo bas hamtashirikiana na kusaidiana tena? Wewe baba mkwe wako akipata tezi dume huwezi msaidia matibabu? Shangazi yake mke wako akipata cancer ya shingo ya kizazi hutamsaidia?
 
Ndio maana nasema Shukhrani unaelewa maana ya neno Shukhrani? Shukhrani sio deni kwamba ukishalipa tusijuane wewe ndio unavyofikiria na kumaanisha tofauti, na sio lazima upeleke 10 hio 10 nimeweka km mfano unaweza upeleke 1 tu inatosha laakini kingine utaratibu wa mahari kwa lugha ya picha sio jambo baya hivyo maana inatengeneza muunganiko wa pande mbili, nielewe hapo ninamaanisha nini
 
Unachofanya ni mahari kuipa soft name ya "Shukhrani".
 
Kituko cha mahari, jamaa kapangiwa kiasi cha hela atoe yeye kaleta mifugo yenye thamani na hiyo fedha kwa soko la sasa. Wazazi wakakataa kupokea mifugo hiyo, wanataka hela, walimwambia watawafugaje au watawauzaje? Ikabidi jamaa arudi na mifugo yake na akaachana na mchumba wake huyo. Mwenye hela akamuoa chapchapu, jamaa ikabidi akatafute mke mwingine mwenye kupokea mahari ya mifugo. Wazazi wengine ni wa hovyo sana, wanachagua mahari
 
Ni moja ya mambo yanadhalilisha wanawake lakini wanaotetea usawa wanakwepa kabisa kuzungumzia hii hoja. Wazungu walipotaka kuondoa usawa wa jinsia waliachana kabisa na haya mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…