Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Ukilewa usichati ๐๐คKameanza kuchangamka na kanasema ukweli mda wote๐ ๐ ๐
Accountability
- Opinions are not facts, jifunze kutofautisha!
- Punguza generalization kama unataka accountability.
- HEAL
Nachati madam ๐ ๐ ๐Ukilewa usichati ๐๐ค
View attachment 3554982
Shauri yako, mimi delete option yangu haifanyi kazi anymore ๐ ๐Nachati madam ๐ ๐ ๐
Kiaje๐๐๐Shauri yako, mimi delete option yangu haifanyi kazi anymore ๐ ๐
Utakachoandika, kesho hakitafutwa ๐๐คฃKiaje๐๐๐
Huwa mimi sijali ๐ ๐ ๐ ila wasifungie tuUtakachoandika, kesho hakitafutwa ๐๐คฃ
Twende selfika ๐ธHuwa mimi sijali ๐ ๐ ๐ ila wasifungie tu
NakujaTwende selfika ๐ธ
Na je ukimkuta aliyelelewa vizuri, nayeye akajitunza na ukamkuta na Bikira yake? Mwanaume utoe mahari au usitoe? Kumbuka huyo ni tofauti na hao wenye wanaume watanoHeri ya Sabato, poleni na mfungo ndugu zetu waislam na wakristo mnaotimiza agizo hili la kiimani.
Nimeamua kudandia treni ya wanaokataa mambo ya mahari kwa dunia ya sasa, hasa barani Afrika ambapo kwa asilimia kubwa ndipo haya mambo hufanyika
Dunia ambayo mwanamke amekuwa huru sana, anaweza kuamua namna anavyotaka maisha yake yawe bila upande wowote kujali/kuingilia.
โSio dunia ya kulipana pesa/mali kwa ajili ya kumuoa na kuishi nae tena.
โSio dunia ya kuamuliwa nani utamuoa au utaolewa nae.
โ Sio dunia ya kuambiwa ukajenge nje ya boma la wazazi tena, SIO.
โ Ni dunia ya kukutana wawili na kuamua hatma ya maisha yenu bila kuingiliwa na mtu yoyote.
Dunia ya namna hii inatakiwa impunguzie mwanaume mzigo, hasa kwenye mambo ya lobola, mahari, dowry.
โUhuru uliopitiliza kwa mwanamke umekuja na athari hasi, anaweza kuwa na msururu wa wanaume na hakuna anayehoji.
โAnaweza kuamua nani wa kumuoa na hakuna mtu wa kupinga.
โKwa nini ulipe gharama kubwa kwa kitu ambacho kiimani wewe sio mmliki? Mtu alishamalizana na wanaume kumi+, mmekutana tu for the sake of establishing a society, kwa nini uwe obliged kutoa mapesa ili tu uishi nae?
Wanawake wa sasa wengi ni viwembe, haya mambo tuliyazoea miaka hiyo kwa vijana wa kiume, ila kwa sasa mdada anaweza kuwa na wanaume hata watano kwa wakati mmoja na wala hajali. Mtu wa namna hiyo akikutana na mwanaume kwa ajili ya kutulia(settling) kuna haja gani ya kulipa dowry kama sio kumdhulumu huyo kijana.
Jamii inatakiwa kufikiri mara mbili, tumeamua kuiga tamaduni za wazungu huko, basi na hii iingizwe taratibu kwenye jamii zetu.
Tuachane na hizi mambo.
Happy day y'all!!
Sijui kama umemuelewa Mleta mada. Tatizo sio kutoa mahari, tatizo unamtolea nani?Taifa linazalisha vijana wa hovyo wasiopenda kujishughulisha na chochote kutwa kubeti,pombe,dubu na wanawake,matokeo yake hawa kutoa mahari suala la kiutamaduni kabisa wanaona ni mzigo. Vijana tutafute hela ukishapata hela kutoa mahari utaona ni baraka na si mzigo.
Mwanamke anajiheshimisha mwenyewe kwa tabia zake, aheshimishwi na mahari. Waambie hilo pia mabintiZama hizo sasa babu, huwezi kulinganishi na sasa! Hizo enzi, ukiliwa tu kijiji chote kinapashwa habari zako, sio kwa huu ulimwengu wa kuanika kila kitu mitandaoni!
Acha vijana wenu watoe mahari, msiwazuie tafadhali.. mahari inaheshimisha mwanamke katika jamii zetu!
Yani washakumaliza huko uje umsumbue kijana wangu kulipa mahari? Nyie mkubaliane vile mnataka muishi tuwape baraka zote mkaanze maisha๐คฃMnateteana sio? ๐น
Mchukuane wenyewe mkapigane Free P huku sisi hatungโoki bila mahari..!!
Hii ni logic fallacy, ka vipi chukua manatiMkuu ungekuwa hapa karibu yangu ningekushika shati! Acha ubishi mkuu.
Na yeye huyo kijana wako muda huo nguvu kamalizwa na nyeto plus nyuchiko mbalimbali..!!Yani washakumaliza huko uje umsumbue kijana wangu kulipa mahari? Nyie mkubaliane vile mnataka muishi tuwape baraka zote mkaanze maisha๐คฃ
Kitu kikishuka thamani ni ama kitupwe au kigawiwe bure๐คฃ
Mwanamke aliyetumika hastahili kulipiwa mahari, mmetumika hadi basi halafu mnataka kuwaumiza vijana wetu kulipa pesa ya bure bure, tupo kwenye capitalist economy mama.Na yeye huyo kijana wako muda huo nguvu kamalizwa na nyeto plus nyuchiko mbalimbali..!!
Tukikutana kimoja chali tunavumiliana, mahari atoe tu kwakweli..!! ๐น๐น๐น
We mzee bana! Acha kuwafariji vijana humu! Kwahiyo hao watu 10-20 ndio umeona wengi sana? Watu wanajazana container!Mwanamke aliyetumika hastahili kulipiwa mahari, mmetumika hadi basi halafu mnataka kuwaumiza vijana wetu kulipa pesa ya bure bure, tupo kwenye capitalist economy mama.
Hivi kweli mtu ana msururu wa watu 10-20 huko nyuma analipiwaje mahari๐ ๐
Inapigwa muhuri?Mwanamke aliyetumika hastahili kulipiwa mahari, mmetumika hadi basi halafu mnataka kuwaumiza vijana wetu kulipa pesa ya bure bure, tupo kwenye capitalist economy mama.
Hivi kweli mtu ana msururu wa watu 10-20 huko nyuma analipiwaje mahari๐ ๐
We mzee bana! Acha kuwafariji vijana humu! Kwahiyo hao watu 10-20 ndio umeona wengi sana? Watu wanajazana container!
Mahari watatoa tu, kama wakiendelea kuringa wanaishia kwenye sogea tukae, mkishindwana mnaachana kimjinimjini anasogezwa mwingine kama kawaida! Ila kama mtu anataka heshima iwepo lazima afate protocol! Mnarahisisha sana mambo kisa mtu kutumika! Kwani ukifika ndoani unakuta picha ya mtumiaji kwenye uke? Mnajikuta wasafi sana wakati wachafu vilevile ๐ฎ
Ona hiki kizazi cha nyoka, kwamba mnaona sawa kuliwa na wanaume kumi-ishirini?๐ ๐ ๐ ๐Inapigwa muhuri?
Haina makombo, sasa watu 20 nao ndio wa kulalamika? Si tunachukua maujuzi ili kwenye ndoa tuwe tumekwiva..!! ๐น๐น
Sasa utafinyiwaje kwa ndani?
We mzee mahari iko pale pale huwezi kuishi na mtoto wa mtu kiholela.
Mahari ni sehemu ya utamaduni na kuonyesha wewe ni mwanaume rijali unayeweza kutunza familia yakoโฆ!!