Hoja ya huyu jamaa kuhusu dini za weupe kwa waafrika inafikirisha sana

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
983
Reaction score
2,306
Anasema " IF HEAVEN WAS REAL, WE COULDN'T HAVE TOLD AFRICANS ABOUT IT. WE WOULD BE GOING THERE SECRETLY"

How does it make sense? Ngozi nyeupe ni wabinafsi na hawatupendi wa Afrika. Wasingeweza kutufahamisha kuhusu kitu kizuri kama Mbingu kama kweli kingekuwa cha ukweli..

Mifano hai: Freemasons/illuminati inasemekana ni dini yenye nguvu sana na ndio inayo tawala dunia kwa sababu wana siri zote za ulimwengu huu... Dini yao ni siri ndio maana wanaitwa Secret society.
 
Attachments

  • 1699585544295.jpg
    1699585544295.jpg
    70 KB · Views: 5
Anasema " IF HEAVEN WAS REAL, WE COULDN'T HAVE TOLD AFRICANS ABOUT IT. WE WOULD BE GOING THERE SECRETLY"

How does it make sense? Ngozi nyeupe ni wabinafsi na hawatupendi wa Afrika. Wasingeweza kutufahamisha kuhusu kitu kizuri kama Mbingu kama kweli kingekuwa cha ukweli..

Mifano hai: Freemasons/illuminati inasemekana ni dini yenye nguvu sana na ndio inayo tawala dunia kwa sababu wana siri zote za ulimwengu huu... Dini yao ni siri ndio maana wanaitwa Secret society.
Vyovyote vile iwavyo Ukweli ni kwamba Mbingu na Jehanamu vyote vipo. Na namna ya kuthibitisha uwepo wake ipo pia.
 
Hapana tuchuje. Kuna vya kwetu lakini vya hovyo. Sio kuzoa zoa kila kitu.
Mimi naamini ule msemo ukitaka kumuuwa paka mpe kwanza jina baya
Kwenye mila zetu walitizama yale mabaya hawakutuambia tuache yale mabaya(tuchuje) ila walitaka mila ipigwe chini tushike dini wakatupata
Kwaiyo ata tukirudi tutaishi kwenye yale mazuri sijamaanisha tukaanze moja
 
Anasema " IF HEAVEN WAS REAL, WE COULDN'T HAVE TOLD AFRICANS ABOUT IT. WE WOULD BE GOING THERE SECRETLY"

How does it make sense? Ngozi nyeupe ni wabinafsi na hawatupendi wa Afrika. Wasingeweza kutufahamisha kuhusu kitu kizuri kama Mbingu kama kweli kingekuwa cha ukweli..

Mifano hai: Freemasons/illuminati inasemekana ni dini yenye nguvu sana na ndio inayo tawala dunia kwa sababu wana siri zote za ulimwengu huu... Dini yao ni siri ndio maana wanaitwa Secret society.

Huna kosa, ni uelewa wako mdogo, kuna watu weupe wengie sana ninaowajua ambao wamekuwa wema sana kwangu.
 
Mimi naamini ule msemo ukitaka kumuuwa paka mpe kwanza jina baya
Kwenye mila zetu walitizama yale mabaya hawakutuambia tuache yale mabaya(tuchuje) ila walitaka mila ipigwe chini tushike dini wakatupata
Kwaiyo ata tukirudi tutaishi kwenye yale mazuri sijamaanisha tukaanze moja
Kwenye mazuri nakuunga mkono. Tupo pamoja
 
Ujinga na umasikini nao unachangia,huwa nashangaa kuona mtu mzima kabisa ameseoma halafu anaendekeza mambo ya dini za kiislam na kikristo.
bora ukristo kuliko uislam. Ukristo unakuweka huru kuliko uislam. Ukristo ni wewe tu unaamua hakuna wa kukulazimisha
 
Back
Top Bottom