Hoja ya huyu jamaa kuhusu dini za weupe kwa waafrika inafikirisha sana

Hoja ya huyu jamaa kuhusu dini za weupe kwa waafrika inafikirisha sana

Mimi naamini ule msemo ukitaka kumuuwa paka mpe kwanza jina baya
Kwenye mila zetu walitizama yale mabaya hawakutuambia tuache yale mabaya(tuchuje) ila walitaka mila ipigwe chini tushike dini wakatupata
Kwaiyo ata tukirudi tutaishi kwenye yale mazuri sijamaanisha tukaanze moja
Simama na Injili. Achana na agenda zao chafu walizopenyeza kwenye jamii zetu kupitia Injili. Akili kichwani.
 
Anasema " IF HEAVEN WAS REAL, WE COULDN'T HAVE TOLD AFRICANS ABOUT IT. WE WOULD BE GOING THERE SECRETLY"

How does it make sense? Ngozi nyeupe ni wabinafsi na hawatupendi wa Afrika. Wasingeweza kutufahamisha kuhusu kitu kizuri kama Mbingu kama kweli kingekuwa cha ukweli..

Mifano hai: Freemasons/illuminati inasemekana ni dini yenye nguvu sana na ndio inayo tawala dunia kwa sababu wana siri zote za ulimwengu huu... Dini yao ni siri ndio maana wanaitwa Secret society.
Na kwa akili zako, umeamini hayo maneno kayasema jamaa kwenye picha?
 
Muombe aliyekuumba huko akupeleke. Cha msingi mueleze lengo lako la kutaka kwenda ukapaone huko ni lipi. Naamini kama ambavyo amekuwa akinisikia Mimi nawe atakusikia pia. Fanya hivyo ili kuepuka kupotoshwa na uongo wa dunia hii,hatimaye uishike kweli.
 
Kila siku tunasema hapa...

Mungu hayupo.

Mbingu Haipo.

Watu hamuelewi.
 
Anasema " IF HEAVEN WAS REAL, WE COULDN'T HAVE TOLD AFRICANS ABOUT IT. WE WOULD BE GOING THERE SECRETLY"

How does it make sense? Ngozi nyeupe ni wabinafsi na hawatupendi wa Afrika. Wasingeweza kutufahamisha kuhusu kitu kizuri kama Mbingu kama kweli kingekuwa cha ukweli..

Mifano hai: Freemasons/illuminati inasemekana ni dini yenye nguvu sana na ndio inayo tawala dunia kwa sababu wana siri zote za ulimwengu huu... Dini yao ni siri ndio maana wanaitwa Secret society.
Mbona kama bango limetengenezwa na kompyuta na si halisi?
 
Vyovyote vile iwavyo Ukweli ni kwamba Mbingu na Jehanamu vyote vipo. Na namna ya kuthibitisha uwepo wake ipo pia.
Thibitisha uwepo wa mbingu na jehanamu.

Weka hapa clear evidences and proofs sio vifungu uchwara vya maandiko yenu ya kidini.
 
Kuna njia mbili 1.Kusikia 2. Kuona. Je, unataka nikuthibitishie Kwa namna ipi kati ya hizo mbili?
Kusikia kuzimu Kwa Masikio yangu niliwahi kuisikia ila niliombewa kwanza . Ile kilio si cha nchi hii, ilikuwa asubuhi ya kama saa kumi na moja hivi.
 
Thibitisha uwepo wa mbingu na jehanamu.

Weka hapa clear evidences and proofs sio vifungu uchwara vya maandiko yenu ya kidini.
Kuna mwenzako nimempa mwongozo huko juu kama hautajali unaweza kuufuta pia kama kweli umekusudia kupata hizo clear evidences.
 
Watu wanamalizana kila siku na kufanya mambo ya hovyo kama ushoga tena kwa kuhalalisha ,temana nao.

Fanya mema dunia inahitaji huruma kwa sana na matendo mema .
Kuna dini zingine, ukiua kafiri unaenda peponi.
Halafu Allah anakupa mabikra 72 peponi.
Mtu masikini, anakopa hela anaenda Macca kumponda jiwe shetani. Shetani unaweza kumponda jiwe?
Cha ajabu watu wanaamini
 
Back
Top Bottom