Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Vyovyote vile iwavyo Ukweli ni kwamba Mbingu na Jehanamu vyote vipo. Na namna ya kuthibitisha uwepo wake ipo pia.Anasema " IF HEAVEN WAS REAL, WE COULDN'T HAVE TOLD AFRICANS ABOUT IT. WE WOULD BE GOING THERE SECRETLY"
How does it make sense? Ngozi nyeupe ni wabinafsi na hawatupendi wa Afrika. Wasingeweza kutufahamisha kuhusu kitu kizuri kama Mbingu kama kweli kingekuwa cha ukweli..
Mifano hai: Freemasons/illuminati inasemekana ni dini yenye nguvu sana na ndio inayo tawala dunia kwa sababu wana siri zote za ulimwengu huu... Dini yao ni siri ndio maana wanaitwa Secret society.
Hapana tuchuje. Kuna vya kwetu lakini vya hovyo. Sio kuzoa zoa kila kitu.Tuanze kujifunza maisha ya wazee wetu kabla ya utawala wa kukoloni waliishi kwa kuamini nini tuishi umo
Wao kuuwana inakuzuia nini wewe kutokuua?. Hukumu ya Mungu sio ya Jumuiya ni ya mtu mmoja mmoja. Chagua njia utayoiendea sasa maadam ukiwa hai,kisha ifuate kwa bidii zako zote.Fanya mema utaenda mbinguni, halafu wenyewe wanauana kila siku
Mimi naamini ule msemo ukitaka kumuuwa paka mpe kwanza jina bayaHapana tuchuje. Kuna vya kwetu lakini vya hovyo. Sio kuzoa zoa kila kitu.
ThibitishaVyovyote vile iwavyo Ukweli ni kwamba Mbingu na Jehanamu vyote vipo. Na namna ya kuthibitisha uwepo wake ipo pia.
Anasema " IF HEAVEN WAS REAL, WE COULDN'T HAVE TOLD AFRICANS ABOUT IT. WE WOULD BE GOING THERE SECRETLY"
How does it make sense? Ngozi nyeupe ni wabinafsi na hawatupendi wa Afrika. Wasingeweza kutufahamisha kuhusu kitu kizuri kama Mbingu kama kweli kingekuwa cha ukweli..
Mifano hai: Freemasons/illuminati inasemekana ni dini yenye nguvu sana na ndio inayo tawala dunia kwa sababu wana siri zote za ulimwengu huu... Dini yao ni siri ndio maana wanaitwa Secret society.
Wanaabudu Mungu yupi...?Huna kosa, ni uelewa wako mdogo, kuna watu weupe wengie sana ninaowajua ambao wamekuwa wema sana kwangu.
Ujinga na umasikini nao unachangia,huwa nashangaa kuona mtu mzima kabisa ameseoma halafu anaendekeza mambo ya dini za kiislam na kikristo.Waafrika dini zmetukaa sana kuliko race zingine, hakuna kinachoweza badilika. Tumeingia kwenye mfumo.
Wanaabudu Mungu yupi...?
Kwenye mazuri nakuunga mkono. Tupo pamojaMimi naamini ule msemo ukitaka kumuuwa paka mpe kwanza jina baya
Kwenye mila zetu walitizama yale mabaya hawakutuambia tuache yale mabaya(tuchuje) ila walitaka mila ipigwe chini tushike dini wakatupata
Kwaiyo ata tukirudi tutaishi kwenye yale mazuri sijamaanisha tukaanze moja
Sikuwa na rengo baya watu weupe wengi awana dini...ila awaachi kutenda wema...!Uwe na siku njema, katika mijadala ambayo siwezi poteza mda wa kuijadili kwa keyboard ni huu.
Kuna njia mbili 1.Kusikia 2. Kuona. Je, unataka nikuthibitishie Kwa namna ipi kati ya hizo mbili?Thibitisha
Sikuwa na rengo baya watu weupe wengi awana dini...ila awaachi kutenda wema...!
Dini ni muhimu kwa shughuli za kijamii kama ndoa, kusaidiana na kuzikana.Ujinga na umasikini nao unachangia,huwa nashangaa kuona mtu mzima kabisa ameseoma halafu anaendekeza mambo ya dini za kiislam na kikristo.
bora ukristo kuliko uislam. Ukristo unakuweka huru kuliko uislam. Ukristo ni wewe tu unaamua hakuna wa kukulazimishaUjinga na umasikini nao unachangia,huwa nashangaa kuona mtu mzima kabisa ameseoma halafu anaendekeza mambo ya dini za kiislam na kikristo.