Hoja ya kuongezewa muda wa Rais kubakia madarakani itaendelea kwa Rais Samia Suluhu Hassan?

Mi najiuliza, Madam Rais akiamua na kwao Makunduchi apeleke 'Miradi ya Kimkakati' kama Chatto tutaunga Mkono au tutaanza Ubaguzi wa kijinsia?

Nchi isiendeshwe kwa ubaguz wa aina yoyote ile,iwe dini ukanda au ukabila,

Italeta mgawanyiko na kuvunja umoja wa kitaifa...tujifunze kuiheshimu katiba
 
Mi najiuliza, Madam Rais akiamua na kwao Makunduchi apeleke 'Miradi ya Kimkakati' kama Chatto tutaunga Mkono au tutaanza Ubaguzi wa kijinsia?
Ha haaa, hoja yako imekaa kimzaha ila ukisoma 'between the lines' ina maana kubwa sana ndani yake.

Yaani kila president ajenge airport, referal hospital, stadium, zoo etc etc huko bush kwao tutafika kweli?!
 
Moja ya maradhi ya kudumu ya watu wa Kanda ya Ziwa ni kupenda kusifiwa kupitiliza …

Sie huku Pwani ukinizidishia Sifa naanza kuwa na tahadhari nawe!

Chawa wa awamu ya sita ndani ya tano wawe makini …Mf Lemutuz kaanza kumsifia Mama eti Kanyaga Twende…tumechelewa sana…yaan mara Hii Magu alikuwa anatuchelewesha!?…

Machawa mataahira hayana fursa awamu hii bila shaka

Wale ni wachumia tumbo na wazee wa kuchungulia fursa,

Maisha yanabadilika
 
Ha haaa, hoja yako imekaa kimzaha ila ukisoma 'between the lines' ina maana kubwa sana ndani yake.

Yaani kila president ajenge airport, referal hospital, stadium, zoo etc etc huko bush kwao tutafika kweli?!

For sure, vipaumbele vya taifa na proper allocations of state resources ni muhimu Sana, sasa ile chato airport future yake inakuaje unadhan, wastage of resources
 
Moja ya maradhi ya kudumu ya watu wa Kanda ya Ziwa ni kupenda kusifiwa kupitiliza …

Sie huku Pwani ukinizidishia Sifa naanza kuwa na tahadhari nawe!

Chawa wa awamu ya sita ndani ya tano wawe makini …Mf Lemutuz kaanza kumsifia Mama eti Kanyaga Twende…tumechelewa sana…yaan mara Hii Magu alikuwa anatuchelewesha!?…

Machawa mataahira hayana fursa awamu hii bila shaka
UVCCM kumejaa wachumia tumbo wanaoongozwa na nguvu ya buku 7.

Mara hii tu wameswitch eti Samia kachaga twende Magufuli alituchelewesha sana.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
For sure,vipaombele vya taifa na proper allocations of state resources ni muhimu Sana,sasa ile chato airport future yake inakuaje unadhan,wastage of resources
Njaa na unafki ni vitu vibaya sana, nilikuwa nikiwatazama wanao support zile projects kule tena wengine 'wamekaa darasani' kwa muda mrefu naishia kusikitika tu.
 
Mi najiuliza, Madam Rais akiamua na kwao Makunduchi apeleke 'Miradi ya Kimkakati' kama Chatto tutaunga Mkono au tutaanza Ubaguzi wa kijinsia?

Ni vizuri akajijenga kama mwenzake mana kule nako ni Tanzania na kuna watu.

Mwacheni mama ajipange bila kumpangia.
Tena mama anatakiwa asikubali kabisa kupangiwa na watu wabinafsi wenye uroho wa madaraka.
 
Back
Top Bottom