Mgodo Mgodoki
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,399
- 1,366
Hilo swala waulize Mataga wenzio mliokuwa mnashangilia kila ujinga alioongea na kutenda Jiwe.Mi najiuliza, Madam Rais akiamua na kwao Makunduchi apeleke 'Miradi ya Kimkakati' kama Chatto tutaunga Mkono au tutaanza Ubaguzi wa kijinsia?
Mi najiuliza, Madam Rais akiamua na kwao Makunduchi apeleke 'Miradi ya Kimkakati' kama Chatto tutaunga Mkono au tutaanza Ubaguzi wa kijinsia?
Samia now atake asitake ataongezewa mda..
Au nasema uongo ndugu zangu??
Hilo swala waulize Mataga wenzio mliokuwa mnashangilia kila ujinga alioongea na kutenda Jiwe.
Bwashee, pole sana ndugu yangu!!Duh......long time!
Nchi isiendeshwe kwa ubaguz wa aina yoyote ile,iwe dini ukanda au ukabila,
Italeta mgawanyiko na kuvunja umoja wa kitaifa...tujifunze kuiheshimu katiba
Ahsante sana mkuu!Bwashee, pole sana ndugu yangu!!
Ha haaa, hoja yako imekaa kimzaha ila ukisoma 'between the lines' ina maana kubwa sana ndani yake.Mi najiuliza, Madam Rais akiamua na kwao Makunduchi apeleke 'Miradi ya Kimkakati' kama Chatto tutaunga Mkono au tutaanza Ubaguzi wa kijinsia?
Moja ya maradhi ya kudumu ya watu wa Kanda ya Ziwa ni kupenda kusifiwa kupitiliza …
Sie huku Pwani ukinizidishia Sifa naanza kuwa na tahadhari nawe!
Chawa wa awamu ya sita ndani ya tano wawe makini …Mf Lemutuz kaanza kumsifia Mama eti Kanyaga Twende…tumechelewa sana…yaan mara Hii Magu alikuwa anatuchelewesha!?…
Machawa mataahira hayana fursa awamu hii bila shaka
Yah kabisa, nilitofautiana na mitazamo mingi ya marehem lakini sikupenda afe, nilitamani kuona akibadilika lakini ndiyo hivyo tena..Ahsante sana mkuu!
Maisha lazima yaendelee!
Ha haaa, hoja yako imekaa kimzaha ila ukisoma 'between the lines' ina maana kubwa sana ndani yake.
Yaani kila president ajenge airport, referal hospital, stadium, zoo etc etc huko bush kwao tutafika kweli?!
[emoji23][emoji23][emoji23]Chawa wa awamu ya sita ndani ya tano wawe makini …Mf Lemutuz kaanza kumsifia Mama eti Kanyaga Twende…tumechelewa sana…yaan mara Hii Magu alikuwa anatuchelewesha!?…
UVCCM kumejaa wachumia tumbo wanaoongozwa na nguvu ya buku 7.Moja ya maradhi ya kudumu ya watu wa Kanda ya Ziwa ni kupenda kusifiwa kupitiliza …
Sie huku Pwani ukinizidishia Sifa naanza kuwa na tahadhari nawe!
Chawa wa awamu ya sita ndani ya tano wawe makini …Mf Lemutuz kaanza kumsifia Mama eti Kanyaga Twende…tumechelewa sana…yaan mara Hii Magu alikuwa anatuchelewesha!?…
Machawa mataahira hayana fursa awamu hii bila shaka
Mzee wa Gas ya Mtwara naona umerudi,ulipotea tena baada Magufuli kuleta mfumo kristo na mfumo kabila.
Njaa na unafki ni vitu vibaya sana, nilikuwa nikiwatazama wanao support zile projects kule tena wengine 'wamekaa darasani' kwa muda mrefu naishia kusikitika tu.For sure,vipaombele vya taifa na proper allocations of state resources ni muhimu Sana,sasa ile chato airport future yake inakuaje unadhan,wastage of resources
Mi najiuliza, Madam Rais akiamua na kwao Makunduchi apeleke 'Miradi ya Kimkakati' kama Chatto tutaunga Mkono au tutaanza Ubaguzi wa kijinsia?
Eti akikataa alazimishwee...Tunasubiri tuone kama utawala wa mama utayanufaisha matumbo yetu tutamkomalia mitano tena atake hasitake