Ni kweli ni la kisheria, mbona hauhoji hizo kauli anazo bwatuka 'Jobo' ni kwa mujibu wa sheria zipi? Au hizi sheria zetu ni msumeno wenye makali upande mmoja?[emoji116][emoji116]Katiba za vyama vya siasa hazifanani bwashee!
Hili swala ni la kisheria zaidi bwashee!
Chadema walipaswa ama kuiripoti hiyo jinai kwa DCI au kwenda moja kwa moja mahakamani kuishtaki Tume ya uchaguzi.Hii issue ina complications flani. Chama hakijawateua na kuna mtu/watu/kikundi kimefoji barua na kuipeleka NEC then NEC wakaact accordingly na kumjulisha speaker.
Sasa je, CHADEMA wanapaswa kufanya nini? ni sahihi kwao kuandika barua kwa speaker directly kumwambia asiwatambue wale au wanapaswa kuandika barua NEC? Kuandika barua tu inatosha wakati kuna jinai kubwa imefanyika? CHADEMA walipaswa kuchukua hatua gani zaidi ya kuandika barua tu?
CCM huwezi kufukuzwa uanachama bila kujitetea.Kwamba huelewi vyama vyote vya siasa vinafuata muongozo uliowekwa na katiba kwa mujibu wa sheria ya demokrasia ya vyama vingi? Unaposema katiba za vyama vya siasa hazifanani unamaanisha rangi za cover zake sio?[emoji116][emoji116]Ni kweli ni la kisheria, mbona hauhoji hizo kauli anazo bwatuka 'Jobo' ni kwa mujibu wa sheria zipi? Au hizi sheria zetu ni msumeno wenye makali upande mmoja?[emoji116][emoji116]
CHADEMA should just do their part na kuachana na hii tendecy ya kuplay victim,Chadema walipaswa ama kuiripoti hiyo jinai kwa DCI au kwenda moja kwa moja mahakamani kuishtaki Tume ya uchaguzi.
Spika amepelekewa tu majina kwahiyo anacheza ngoma isiyo yake!
Mnajitahidi sana lakini hoja ni aliwaapishaje watu ambao hawakupendekezwa na chama chao? Yeye ndie anayetakiwa kuweka ushahidi kuwa alifuata taratibu zote wakati anawaapisha. Je, alipata barua ya uteuzi kutoka NEC ambayo iliambatishwa na barua ya Katibu wa CDM na minutes za vikao vya uteuzi wa majina hayo.Spika wa bunge mh Job Ndugai hana tatizo na wabunge wa viti maalumu wa Chadema akina Halima Mdee na wenzake bali anachotaka ni utaratibu wa natural justice kufuatwa.....
Let's assume unacho kisema kiko sawa ingawa nashindwa kukiamini, bado kuna mashaka makubwa sana:Hii issue ina complications flani. Chama hakijawateua na kuna mtu/watu/kikundi kimefoji barua na kuipeleka NEC then NEC wakaact accordingly na kumjulisha speaker...
Hivi ukimuita mtu na asitokee bado haki yake ya kusikilizwa inakuwa reserved?CCM huwezi kufukuzwa uanachama bila kujitetea.
Lakini Chadema wanatimuana tu ila Shibuda ndio walimshindwa!
Ukishasema jinai, mlalamikaji ni jamuhuri. Kitendo cha cdm kusema hadharani tu kuwa hakija wateua, kwa nchi yenye utawala bora kilitosha kuistua NEC, Bunge na Polisi kufanya uchunguzi. Au pia kuichukulia hatua CDM kwa kusema uongo/kuichafua NEC na Bunge. Maana hizo ni serious allegations....zisingeachwa zipite hivyo.Chadema walipaswa ama kuiripoti hiyo jinai kwa DCI au kwenda moja kwa moja mahakamani kuishtaki Tume ya uchaguzi.
Spika amepelekewa tu majina kwahiyo anacheza ngoma isiyo yake!
Anayetakiwa kulimaliza ni Spika. Pamoja na maneno yote anayosema anajua kuwa wale wakina dada hawana legitimacy na hivyo wanatia dosari Bunge lake. Nnauye hayuko peke yake anayekerwa na hiyo hali.Tatizo lipo na linapaswa kumalizwa!
Chadema inapokea ruzuku baada ya uchaguzi wa 2020?CHADEMA should just do their part na kuachana na hii tendecy ya kuplay victim,
Itisha Baraza Kuu na ratify maamuzi ya kuwatimua wale, andikia barua NEC kuikana ile barua na teua wengine 19, report police ile jinai kubwa iliyofanyika then sit back and relax. Bila hivyo Ndugai ataendelea kuwalinda wale watu na hakuna kitu CHADEMA itafanya
BTW CHADEMA inapaswa kupeleka wabunge wa viti maalumu Bungeni. Wao ni zao la uchaguzi ule "haramu" uliompa ushindi Aidah na kumpa Lissu kura ambazo zimesaidia kucalculate ile ruzuku. Kama tunakubali ushindi wa Aidah na ruzuku ile, hatuna grounds za kukataa viti 19
ID yako inatosha kujibu hoja yako.Hao mlitakiwa muombe wafukuzwe bungeni wakiwa bado wanachama wenu.
sio sasa hamna MADARAKA nao.
Nadhani shida ipo sasa. Nani anapaswa kuinitiate hii kitu? Madai kwamba ile barua ni forged nadhani yalitolewa kwenye media. Kuna msemo unasema hivi "He who alleges must also prove". Wapi, how, when labda ndipo kwenye shida2. Kufoji ni jinai, kwa nini vyombo vyote ikiwemo polisi viko silent hawa act kwa chochote wakati kodi za wananchi zinatumiwa kulipa 'vibaka' tena waziwazi?
Sasa hii ndio tendency yenyewe ya kuplay victim. Kushindwa kuchukua hatua stahiki kwa sababu tu unahisi/unaogopa/umeshaconclude kuwa hutotendewa haki ni udhaifu.3. Unataka Chadema wafungue kesi wapi, wakati unaona dhahiri kuna consipiracy kati ya bunge, covid-19, serikali na tume juu ya huo uhuni. Kwenye hiyo kesi wanamshitaki nani kati ya hao 'wahuni'?
ID yako inatosha kujibu hoja yako.
Ndio maana nikasema CHADEMA wao waendelee na mchakato wa kuteua wabunge 19 na kupeleka majina yao NEC maana hawawatambui wale waliofoji barua. Process ya kuteua wabunge halali iende sambamba na zoezi la kuratify maamuzi ya Kamati Kuu kwa kuitisha Baraza Kuu.Issue ya covid-19 kuingia bungeni ilihitaji majina yao kuidhinishwa na chama na kisha kupelekwa tume ambapo yangewasilishwa bungeni jambo ambalo Chadema haikulifanya. Jambo la kujiuliza ni kama CDM haikufanya huo mchakato ni nani yupo nyuma ya hilo sakata? Hapa hauhitaji hata calculator kujua kinacho endelea.
akikujibu hii unitag.Kwahiyo ukifungwa jela, halafu ukakata rufaa mahakamani kuhusu hukumu yako.
Kabla rufaa yako haijasikilizwa, hukumu yako inafutwa na unakuwa free?
Simaanishi kwamba wasishtaki kwa kuwa wanahisi kutotendewa haki bali namaanisha unamshitaki nani hapo? Kwa sababu obvious mahakama itarudi kwa vyombo husika (bunge na tume) kutafuta justification, kwa ujinga unaoendelea vipi mahakama ikiridhia kuwa hizo 'forged documents' ni genuine, si ndio mchezo unakuwa umeishia hapo.Nadhani shida ipo sasa. Nani anapaswa kuinitiate hii kitu? Madai kwamba ile barua ni forged nadhani yalitolewa kwenye media. Kuna msemo unasema hivi "He who alleges must also prove". Wapi, how, when labda ndipo kwenye shida
Sasa hii ndio tendency yenyewe ya kuplay victim. Kushindwa kuchukua hatua stahiki kwa sababu tu unahisi/unaogopa/umeshaconclude kuwa hutotendewa haki ni udhaifu.
Ndio maana nikasema CHADEMA wao waendelee na mchakato wa kuteua wabunge 19 na kupeleka majina yao NEC maana hawawatambui wale waliofoji barua. Process ya kuteua wabunge halali iende sambamba na zoezi la kuratify maamuzi ya Kamati Kuu kwa kuitisha Baraza Kuu.
Vitu vingine tunapaswa kurudi kwenye basics tu na wala havihitaji kuviintegrate