gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Kwamba huelewi vyama vyote vya siasa vinafuata muongozo uliowekwa na katiba kwa mujibu wa sheria ya demokrasia ya vyama vingi? Unaposema katiba za vyama vya siasa hazifanani unamaanisha rangi za cover zake sio?[emoji116][emoji116]
Ni kweli ni la kisheria, mbona hauhoji hizo kauli anazo bwatuka 'Jobo' ni kwa mujibu wa sheria zipi? Au hizi sheria zetu ni msumeno wenye makali upande mmoja?[emoji116][emoji116]Katiba za vyama vya siasa hazifanani bwashee!
Hili swala ni la kisheria zaidi bwashee!