Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kaka tunaelewana vizuri. Hoja yangu ilikuwa kwamba hatuwezi kukubali kupeleka wabunge wa viti maalumu kwani "hiyo itakuwa ni sawa na kubariki ile haramu ya uchaguzi". Swali likawa sasa Aida anaingiaje mule kwa uchaguzi haramu?Dah mkuu mbona hatuelewani jambo dogo sana, Aida anaweza kukataa ubunge yeye mwenyewe, chama kiliishia kwenye kumpitisha kuwa mgombea unless kuwe na allegations ambazo kwa mujibu wa katiba ya chama adhabu yake ni kuvuliwa uanachama.
Ila nimekusoma vyema. Ni kweli kwamba CHADEMA haina la kumfanya Aida, imekubali kutokukubaliana nae bila kelele na kumfukuza kwa kuwa tu amepishana misimamo na viongozi itakuwa kumuonea sana na inaweza kuleta madhara zaidi