#COVID19 Hoja za Askofu Gwajima wameshindwa kuzijibu

Mie waninyonge tu, ila sipigi chanjo

C.c luckyline
 
Inawezekana chanjo za awali zilitolewa ki mazoea lakini kwa sasa hivi consent form ni lazima.

Kusema ukweli hata mimi ninashindwa kuelewa ni kwanini wafanyakazi wa Afya wanashindwa kueleza effects za chanjo hizi. Wao walitakiwa kufahamu hili kwani ndiyo watekelezaji wa zoezi.
 
Mkuu usihamishe meza.

Maswali ya Gwajima yana hoja.

Kwa mfano,kwanini kuwe na fomu??
 
Muumini zezeta ni muumini wa namna gani?
 
Kama hawawezi kusema matatizo yanayotokana na chanjo tunaweza kuwaamini vipi!?

Kama unataka kuchanjwa kachanjwe mwenyewe.

Gwajima hoja zake hawataki kuzijibu.
 
Ninadhani Wizara ya Afya Ina jukumu la kulifanyia kazi hili tatizo.
Kuna mgawanyiko wa serikali. Issue siyo ndogo ni kubwa mno. Wizara ya Afya kuna mgawanyiko, serikali ipo na mgawanyiko. Jamii haitaki chanjo. Wachanje wao tutapata uongozi mwingine.
 
Muumini zezeta ni muumini wa namna gani?
Ni yule anayeamini kila uongo anaodanganywa na kiongozi wake wa dini na kufikiri ni revelation kutoka kwa Mungu hata kama muumini huyo ana uelewa wa kisayansi kuhusu jambo hilo anaweka rehani ubongo wake na kuamini uongo wa pastor wake
 
Huyo yunus mgaya katengeneza ipi mpaka apinge za watu au ndio yale ma juice walioamua kutumia short cut na kuungana na akina matunge kutulisha malimao na mapilipili na kuyaita COVIDOL?
 
Gene ni specific loci yenye DNA kwenye chromosome inayo code for a specific protein

mRNA is just as critical as DNA.​

Without mRNA, your genetic code would never get used by your body. Proteins would never get made. And your body wouldn’t – actually couldn’t – perform its functions. Messenger ribonucleuc acid, or mRNA for short, plays a vital role in human biology, specifically in a process known as protein synthesis. mRNA is a single-stranded molecule that carries genetic code from DNA in a cell’s nucleus to ribosomes, the cell’s protein-making machinery.
 
Sasa boss iyo DNA ndio ina ipa mRNA information, tena RNA ziko zaidi ya ishirini mpaka hiyo protein itengenezwe. Na jua kwamba antibodies ambayo ndio kinga ya mwili zina tengenezwa na proteins.
 

Usisimame tu mkuu, ungekaa naye ingependeza zaidi.
 
Sasa boss iyo DNA ndio ina ipa mRNA information, tena RNA ziko zaidi ya ishirini mpaka hiyo protein itengenezwe. Na jua kwamba antibodies ambayo ndio kinga ya mwili zina tengenezwa na proteins.
Mzee nimekuuliza swali dogo tu. Kazi ya mRNA kwenye cell ni ipi!? Wewe unaniletea aina za RNA. Mzee sticky to the point. Hapa tunaongelea genes.
Maana yake hiyo mRNA inayotengenezwa na chanjo haitengenezwi na DNA it means is a false information inside the cell. Right!?
 
Hoja zinajibiwa kwa hoja.
Hapa tunataka kujua Effects za muda mrefu kuhusu hizo chanjo. Vilevile hiyo mRNA inatengeneza genes zipi mwilini!?
Huwezi kupredict effect za muda mrefu kwa chanjo mpya bali muda ukifika zitajionyesa ,hapa ndio tupo stage one ya majaribio,bado stage tatu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…