Hii sio hoja ya kisayansi!!! Isitoshe, hata wakati hizo chanjo zingine ni za lazima, chanjo ya covid sio lazima!! Kwavile chanjo zingine ni lazima, serikali wata-bear responsibility in case if anything bad happens! Wala usidhani kwamba hizo chanjo zingine hazina effect, hell no!!!
Sasa kwavile chanjo ya covid-19 sio lazima, basi idhini ya mchanjwaji ni muhimu ili akipata side affect, asimlaumu mtu kwavile hakulazimishwa kuchanja!!
In a medical world world, hata operesheni na yenyewe sio lazima na ndio maana kufanyiwa operesheni ni lazima utoe go-ahead mwenyewe au walio na wajibu kwako!!
Hapo kwako umeletewa watu wa kululazimisha kuchanja?!
Sio lazima, lakini it's a matter of time kabla haijawa lazima manake hata huko duniani ndicho wanachofikiria hivi sasa!! Dunia haiwezi kuhatarishiwa usalama wake kwa watu wasio na uwezo wa kufafanua even what's pathology!
Kama anauliza hilo swali basi inaonesha wazi anatumia muda mwingi kusoma biblia au kupiga porojo badala ya kutafuta taarifa za kitalaamu!! Au inawezekana anafanya makusudi ili kuwajaza watu ujinga!!!
Ukiingia website ya
WHO utakuta wameeleza hilo analotaka yeye aelezwe badala ya kutafuta taarifa:-
SIO KWELI!
Kuna vaccines zinazohitaji single dose na zingine zinahitaji 2-doses!!!
Hata hivyo, as reported earlier last month, liibuka Delta Variant ambayo inaonekana haisikii hii chanjo! Kwa mfano, baada ya watu kutoka Cape Cod kujisahau na kuanza kula bata kama hawana akili mzuri (mambo ya summer time), wengi wa wale waliokuwa kwenye mikusanyiko ya summer wakagundulika wameathirika ingawaje walikuwa wamechanjwa but 90% kati yao ni delta variant!
Lakini pamoja na yote hayo, utafiti wa karibuni bado unaonyesha chanjo ina uwezo mkubwa sana wa kuzuia homa kali na vifo! Kwa mfano, kabla ya chanjo, kati ya wazee 1000 waliopata maambukizi, 28 walikufa lakini kwa sasa baada ya chanjo, kati ya wazee 1000 waliochanjwa na kupata maambukizi, wanaoweza kufa ni less than 2.
Ni hadi uwe Kondoo Mtiifu wa Gwajima ndipo unaweza kupuuza hayo mafanikio!
HONGERA KWA "KUJITAMBUA"