#COVID19 Hoja za Askofu Gwajima wameshindwa kuzijibu

Huwezi kupredict effect za muda mrefu kwa chanjo mpya bali muda ukifika zitajionyesa ,hapa ndio tupo stage one ya majaribio,bado stage tatu .
So kwahiyo hizi chanjo tunachanjwa ni za majaribio!? Right!?
 
So kwahiyo hizi chanjo tunachanjwa ni za majaribio!? Right!?
Ndio maana yake zipo kwenye majaribio na ndio maana hata wazungu wengine wanazikwepa,ufaransa na kwingineko ni maandamano,
 
Huyu jamaa nae ni tapeli. Tangu ashindwe kutimiza ahadi yake ya kutupeleka kule Birmingham (sisi wakazi wa Kawe) baada ya uchaguzi, sina hamu nae.

Halafu, hili suala la Corona, ni suala la Public Health, sio kila mwenye kipaza sauti na ushawishi ndio awe anaongoza hii debate. Suala hili waachiewe waliopewa dhamana na wananchi. Covid 19 ipo na inaua watu.

Suala la kuchanjwa au kutokuchanjwa ni uamuzi binafsi, lakini kuudanganya umma katika jambo zito kama hili na ambalo hauna utaalamu nalo ni makosa.

Kama yeye anamsimamo tofauti na Chama chake kilichompeleka bungeni, ajiuzulu siasa akaendelee kueneza neno la bwana.
 
mRNA ni messenger RNA, haitengenezwi na DNA ila ina pokei command kutoka kwa DNA kwa transcription kwenye DNA template na baadhi ya hizi chanjo walicho fanya ni ku manipulate information kutoka DNA kwenda kwa RNA. Hata chanjo zingine za virus live au attenuate hufanya kazi hivo, kuihadaa DNA
 
Unawaita uchwara wakati ukiugua unawaendea ukilalama. Acha dharau, " unatukana wakunga wakati uzazi ungalipo"
 
Hakuna daktari aliye na uhakika wa usalama na ubora wa hizo chanjo za majaribio! Na duniani kote hayupo! Muda tu na Mungu ndio wanaojua!
Sasa unategemea madaktari wajitokeze kuhadaa umma!? Akihojiwa hatakuwa na majibu!
 
Mzee unajua hata RNA ni nini!?
 
acha kudanganya watu
 
Mimi nasimama na Yesu
 
We mwenyewe hujui lolote ni makelele ya kijinga tu umepiga hapa
 
Sijui boss, nipe shule kidogo
Kifupi

RNA carries out a broad range of functions, from translating genetic information into the molecular machines and structures of the cell to regulating the activity of genes during development, cellular differentiation, and changing environments. RNA is a unique polymer.
 
1. Hoja ya kwanza kwanini chanjo zingine hazina fomu ya kujaza. Lakini chanjo ya korona unajaza fomu!?
Hii sio hoja ya kisayansi!!! Isitoshe, hata wakati hizo chanjo zingine ni za lazima, chanjo ya covid sio lazima!! Kwavile chanjo zingine ni lazima, serikali wata-bear responsibility in case if anything bad happens! Wala usidhani kwamba hizo chanjo zingine hazina effect, hell no!!!

Sasa kwavile chanjo ya covid-19 sio lazima, basi idhini ya mchanjwaji ni muhimu ili akipata side affect, asimlaumu mtu kwavile hakulazimishwa kuchanja!!

In a medical world world, hata operesheni na yenyewe sio lazima na ndio maana kufanyiwa operesheni ni lazima utoe go-ahead mwenyewe au walio na wajibu kwako!!
2. Serikali ilisema ni hiari, kwanini sasa wanalazimisha watu kuchanja!?
Hapo kwako umeletewa watu wa kululazimisha kuchanja?!

Sio lazima, lakini it's a matter of time kabla haijawa lazima manake hata huko duniani ndicho wanachofikiria hivi sasa!! Dunia haiwezi kuhatarishiwa usalama wake kwa watu wasio na uwezo wa kufafanua even what's pathology!
3. Ni effects zipi za muda mfupi na muda mrefu zitakazotokea baada ya kuchanjwa!?
Kama anauliza hilo swali basi inaonesha wazi anatumia muda mwingi kusoma biblia au kupiga porojo badala ya kutafuta taarifa za kitalaamu!! Au inawezekana anafanya makusudi ili kuwajaza watu ujinga!!!

Ukiingia website ya WHO utakuta wameeleza hilo analotaka yeye aelezwe badala ya kutafuta taarifa:-
4. Hizi chanjo hazizuii korona mpaka uchanje mara kibao.
SIO KWELI!

Kuna vaccines zinazohitaji single dose na zingine zinahitaji 2-doses!!!

Hata hivyo, as reported earlier last month, liibuka Delta Variant ambayo inaonekana haisikii hii chanjo! Kwa mfano, baada ya watu kutoka Cape Cod kujisahau na kuanza kula bata kama hawana akili mzuri (mambo ya summer time), wengi wa wale waliokuwa kwenye mikusanyiko ya summer wakagundulika wameathirika ingawaje walikuwa wamechanjwa but 90% kati yao ni delta variant!

Lakini pamoja na yote hayo, utafiti wa karibuni bado unaonyesha chanjo ina uwezo mkubwa sana wa kuzuia homa kali na vifo! Kwa mfano, kabla ya chanjo, kati ya wazee 1000 waliopata maambukizi, 28 walikufa lakini kwa sasa baada ya chanjo, kati ya wazee 1000 waliochanjwa na kupata maambukizi, wanaoweza kufa ni less than 2.

Ni hadi uwe Kondoo Mtiifu wa Gwajima ndipo unaweza kupuuza hayo mafanikio!
.MIMI NITASIMAMA NA GWAJIMA.
HONGERA KWA "KUJITAMBUA"
 
Mkuu,binafsi nimekuelewa vizuri sana,Big up kwa maelezo.
 
Huwezi kupredict effect za muda mrefu kwa chanjo mpya bali muda ukifika zitajionyesa ,hapa ndio tupo stage one ya majaribio,bado stage tatu .
Kwa hiyo kama hizo effect za muda mrefu hazifahamiki bado huoni kama kuwadunga watu chanjo ambayo madhara yake ya muda mrefu hayajajulikana ni sawa na kunywa dawa za mganga wa kienyeji tu. Ni ikitokea hizo chanjo zikawa na madhara mkubwa kwa binadamu na huku mabilioni ya watu wameshachanjwa mnategemea nini kitatokea? Au itatafutwa chanjo nyingine ya ku-undo hayo madhara. I STAND WITH GWAJIMA ON THIS MATTER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…