Nilipokuwa naongelea vyakula, nilimaanisha kula matunda, tangawizi na malimao ili kupata virutubisho.
Niliwahi kulielezea jambo hili kwa kirefu huko nyuma kwenye bandiko hili baadhi ya niliyoyasema ni haya;
- Virus wanaundwa na protein (capsid), ukihemea mvuke wa nyungu ile protein ya virus inaharibika.
- Kitunguu saumu kina compound inayoitwa allicin inayotengenezwa unapokikwangua, hii allicin imethibitishwa kuua virus na bacteria wa aina nyingi (
soma hapa).
- Unapopiga nyungu, mvuke wenye allicin unaingia moja kwa moja kwenye alveoli na kuua aina zote za virus zilizo kwenye njia ya hewa.
- Allicin pia ina sifa inayoitwa gyroscopic (kukausha unyevu) na hivyo kuharibu mazingira ya virusi kuenea kwa haraka (virusi vya corona vinahitaji unyevu nyevu).
- Sifa nyingine ya allicin ni Immunomodulation amabayo huchochea mwili kuanza kujilinda haraka.
- Vasodilation ni sifa nyingine ya allicin, ambayo ni kutanuka kwa mishipa ya damu, hii huweza kufanya damu ipite haraka kwenda sehemu zote za mwili kupeleka virutubisho, ulinzi na oxygen.
- Sifa nyingine ya allicin ni kuzuia damu kuganda (anticoagulation). Virusi vya Corona huwa vinagandisha damu kwenye mapafu na viungo vingine muhimu. Mvuke wenye allicin utazuia hilo kutokea (ref
Autopsies indicate blood clot are lethal in Covid 19)
Vitunguu saumu, tangawizi na maganda ya malimao huwa yana kemikali zinazoua virus na pathogens wa aina nyingi. kama vitunguu visingeweza kuua wadudu wanaotaka kukiingia basi leo hii tusinge kuwa na vitunguu, vingekuwa extinct. Sasa kati ya chanjo ya juzi juzi na kitunguu kilichoweza kuua aina nyingi ya virus chini ya ardhi kwa miaka elfu na elfu, nani wa kumwamini?