Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,245
Jibu swali acha kujifanya punguani?Unajua aina za chanjo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swali acha kujifanya punguani?Unajua aina za chanjo?
Moja ya Maswali bora kuwahi kukutana nayo. Nasubiri majibu kuntu.Askofu anaendelea kuhoji, mataifa makubwa kama vile marekani yote yana chanjo zao. Kwa mfano, marekani wana chanjo ya jonhson&jonhson na moderna, china wana sinovac, uiongereza wana Astrazeneca, germany wana Pfizer, urusi wana ya kwao, Cuba pia wana ya kwao na mataifa mengine yana chanjo zao. Je ni kwanini haya mataifa yenyewe kwa yenyewe yanaogopana kutumia chanjo ya mwingine?
Wasiwasi wa nini wakati chanjo ni hiari!?... huyo askofu ni mjinga! Hajui maana ya chanjo/kinga. Pili, ingekuwa taifa zima kila raia, kila mgeni amepata chanjo kusingekuwa na umuhimu wa kuvaa barakoa na tahadhari nyingine. Ila kwa kuwa sio wote wenye chanjo, bado tahadhari ni muhimu zaidi kuwakinga wale ambao bado hawajapata chanjo. Hoja za kipumbavu kabisa anauliza halafu eti ana title ya "Dr.".
Ndivyo Gwajiboy anavyiwadanganya?Jibu swali acha kujifanya punguani?
Kwahyo hapo ndio umejibu nilchokuiliza...?Ndivyo Gwajiboy anavyiwadanganya?
Kweli kabisa....Sio wataalamu tu hata serikali yenyewe iliyoleta hizo chanjo haina uwezo wakujibu kitu chochote ndo maana unaona mambo yanaenda msobe msobe kila mtu na lwake.
Kadi za kielektroniki zipo tayari mkuu ni swala la muda tuHakuna wa kuweza kumjibu Gwajima , sababu hzo chanjo ni agenda ya Siri ambayo gwajima yeye mwenyewe anaijua na Raisi anaijua...!! Sema Raisi kabanwa na wala sio maamuz yake hayo ....!!Hana namna , na sote tutachanjwa, itategemea na pressing speed ya wababe wa dunia, so ni Suala la mda tuu..
Jibu
Chanjo ni kitu kilichotengenezwa maabara kwa ajili ya kutengeneza kinga dhidi ya ugonjwa fulani!Kwahyo hapo ndio umejibu nilchokuiliza...?
Wenye afya hawamwitaji daktari, wanaomwitaji ni walio wagonjwa. Mungu alimuumba muharibu ili apate kuharibu na aliumba ubaya kwa wabaya watz nyiee Aah!!Nilitegemea wataalam wetu wa afya pamoja na washauri wa Rais waliomshauri kuagiza chanjo ya corona watakuwa mstari wa mbele kujibu hoja za askofu badala yake wamekuwa watu wa kumshambulia yeye binafsi na kumpa vitisho badala ya kujibu hoza zake kitaalam.
Katika hoja ya kwanza, Askofu gwajima ana hoji: Endapo mtu akichanjwa bado ataendelea kuambukiza na kuambukizwa virusi vya corona na kama ndivyo, kuna maana gani ya kuchanja?
Hoja ya pili Askofu anahoji endapo mtu amechanjwa bado atatakiwa kuchukua tahadhari zote ikiwemo kuvaa barakoa ili kujikinga na maambukizi. Askofu anataka kujua, kama kweli chanjo ya corona ni kinga kwanini mtu aliyechanjwa anatakiwa tena kuvaa barakoa?
Askofu anaendelea kuhoji, mataifa makubwa kama vile marekani yote yana chanjo zao. Kwa mfano, marekani wana chanjo ya jonhson&jonhson na moderna, china wana sinovac, uiongereza wana Astrazeneca, germany wana Pfizer, urusi wana ya kwao, Cuba pia wana ya kwao na mataifa mengine yana chanjo zao. Je ni kwanini haya mataifa yenyewe kwa yenyewe yanaogopana kutumia chanjo ya mwingine?
Gwajima ana hoji kwamba katika kipindi cha zaidi ya miezi sita iliyopita wataalam wetu wanaotaka tupambane na corona kwa njia ya chanjo ndio hawa hawa walisema tusiziamini chanjo kwamba zinaweza kuwa na madhara na kwamba tutumie njia za asili ikiwemo kujifukiza wakajenga hadi banda la kujifukizia pale muhimbili wengine wakafanya mahojiano TBC kuonyesha wasi wasi wao juu ya chanjo ya corona, kwanini leo wamebadilika?
Swali la nyongeza: kwenye fomu ya chanjo ya corona kuna kipengele kinasema serikali haitahusika kwa namna yoyote ile endapo mtu aliyechanjwa atapata maudhi ambayo kwa sasa hayafahamiki. Tunataka wataalam wetu watwambie kama hii chanjo wameifanyia utafiti wa kutosha kwanini wanasema tena kwamba mtu aliyechanjwa anaweza kupata maudhi ambayo hayafahamiki?
Napenda sana wataalam wajibu hoja za gwajima kwa sababu vile wanavyomshambulia badala ya kujibu hoja zake ni kudhihirisha kwamba hawana utaalam wa walichosomea kitu ambacho ni hatari kwa uhai na afya za watanzania.
Leo hii serikali hio hioKwa baraka zote za serikali. Barabara ilijengwa, na wodi ya kuwahudumia waliozidiwa ilijengwa.
Gwajiboy yeye awajazeupepo,tu wakidanja akawafufue, kwani ndugu si wanabakia?Point iko hapa kaka.
Angela Merkel receives Moderna as second jab after AstraZeneca shot - BBC News
![]()
Angela Merkel receives Moderna as second jab after AstraZeneca shot
Experts believe mixed dosing of Covid vaccines could be a good idea but it's too early to say for sure.www.bbc.com
Subiria baada ya miaka 5 ndo uje utambe maana hatujui bado baada ya hiyo miaka,yawezekana ukageuka nyani ama Zombie.Mimi nimeshachanja 09.08.2021.
Kweli kabisa.Siku zote nitamuheshimu Gwajima kwa hii issue ya Corona sababu alichoamini tangu mwanzo ndicho anaamini hata sasa haijalishi ni Sahihi au Si sahihi ila ameonesha msimamo na msimamo ndio sifa kuu ya kuwa kiongozi.
Na immunology pia1. MATAIFA MAKUBWA HAYAOGOPANI ...Chancellor wa Ujerumani Angela Merkel amepata chanjo ya Uingereza (Astrazeneca) na booster kutoka Marekani (Moderna)
2.WALICHANJWA WANAENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI kwani mwili huchukua wiki moja hadi mwezi kuweza kuimarisha kinga dhidi ya virusi baada ya kuchanjwa.
Kama una uelewa kwenye Biology/microbiogy/virology/vaccinology etc,hakuna hoja ya kushidwa kujibiwa labda "viroja"😂😂
Ni sayansi gani ya chanjo inayosema ujikinge baada ya kupata chanjo? Wewe ulipopigwa ndui (ikiwemo chanjo ya TB) uliambiwa uvae barakoa?Mbona hilo limejibiwa sana!Tatizo hamtaki kuelewa au sijui ni kujitia upofu!
Chanjo ni kwa ajili ya kuongeza uwezo wa mwili kupambana na virus wa Covid,waliochanjwa wakiugua wanakuwa na chance kubwa ya kupona na kutokuwa kwenye critical condition kama ambao hawajachanjwa!Kuva barakoa ni kwa ajili kujiepusha kuambikizwa na kuambukiza wengine!
Sasa pima halafu utaona kama uchanje au la hasha!
Hayo ndiyo majibu ya wataalamu waliotengeneza Chanjo!
Kama hujaridhika,usichanje!Full stop
Unaijua sayansi ya vaccine kweli? Kwanini huvai barakoa baada ya kuchanjwa TB?Upumbavu ndio huu, ujinga huna ninaamini. Hapa nasema wewe sio ignorant, ni fool! Maawali yote aliyouliza Dr. Gwajima na unayoshadidia yanajibiwa na jibu moja tu - hakuna popote, narudia popote ambapo mtaalamu yeyote au mtengeneza chanjo amesema kuwa hizi ni chanjo za KUZUIA corona au KUZUIA maambukizi! Kila mtaalamu (asiye kanjanja) kasema chanjo hizo zinazuia severe sickness (hospitalization) na vifo!! Na tunachojitaji kwa muda huu ni kutoumwa na kutokufa!! Basi!!
Hata sasa wapo wengi waliopata corona bila symptoms. Mwaka jana wengi walipata corona lakini hawakujua.Swali ambalo mnashindwa kujibu sasa hivi ni kuna watu wangapi wamechanjwa lakini wakaugua na kufa!! Mpaka sasa wanaukufa 100% ni ambao hawajachanjwa na watu wawili katika kila 100 waliochanjwa ndio wanapata mild symptoms (maana yake 98 hata kusikia kichwa kinauma hawasikii).
Hakuna sayansi hapo ni usanii tuu, unapopata chanjo you are set for life kwa kuwa invaders wakiingia tuu, mwili unajua cha kufanya (unless una complications nyingine). Lakini data za CDC za wiki iliyopita zinasema wale waliokuwa vaccinated wana kiasi sawa cha viral load kama wale wasio chanjwa. Sasa wewe ni sayansi gani hiyo uliyoisoma inayosema ukipata chanjo bado unahatari ya kuambukizwa/kuambikiza kama yule asiyechanja.Kuweni wakweli na kama mna scientific data mzitoe. Mambo haya ni ya kisayansi - sio ya kiroho wala kisiasa. Ingekuwa ya kiroho badala ya Gwajima kurusha maswali - ANGEPONYA!!
Upumbavu umewajaa mpaka unaelekea kuchua nafasi ya ujinga kiasi mtakuwa hamfundishiki!!