Hoja za Heche zimejaa harufu ya usaliti. Haya yafanyike kabla ya kufanyika maridhiano yoyote yale

Ozon

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
2,910
Reaction score
4,711
Heche amekuja na hoja dhaifu sana kuhusiana na CHADEMA kukaa meza ya maridhiano. Alitaja kwanza kuachiwa kwa Lissu ni moja, jambo la pili ni CHADEMA kufunguliwa. Lakini maridhiano si kati ya CHADEMA na CCM, maridhiano ni kwa ajili ya Watanzania wote.

Kabla hata ya kuyafikiria, maridhiano haya yafanyike. Kwanza, Serikali irudishe miili ya waliochinjwa na Samia Oktoba 29 tuizike.

Pili, wote waliohusika na mauaji ya halaiki ya Oktoba 29, kama walivyorodheshwa kwenye waraka uliowasilishwa ICC na Madrid Bar Association na Intelwatch ICC, wawajibike kwa mujibu wa sheria. Kisha wadau wanaweza kufikiria kukaa kwenye meza ya maridhiano.

1000348691.jpg
 
Heche amekuja na hoja dhaifu sana kuhusiana na CHADEMA kukaa meza ya maridhiano. Alitaja kwanza kuachiwa kwa Lissu ni moja, jambo la pili ni CHADEMA kufunguliwa. Lakini maridhiano si kati ya CHADEMA na CCM, maridhiano ni kwa ajili ya Watanzania wote. Kabla hata ya kuyafikiria, maridhiano haya yafanyike. Kwanza, Serikali irudishe miili ya waliochinjwa na Samia Oktoba 29 tuizike. Pili, wote waliohusika na mauaji ya halaiki ya Oktoba 29, kama walivyorodheshwa kwenye waraka uliowasilishwa ICC na Madrid Bar Association na Intelwatch ICC, wawajibike kwa mujibu wa sheria. Kisha wadau wanaweza kufikiria kukaa kwenye meza ya maridhiano.

View attachment 3546139
Hii ni fake news. Heche hajaongea hivyo.

Mnapata faida gani kuleta habari za uongo? Mnafikiri Watanzania ni wajinga sana na wataamini tu maandiko yenu?
 
Kisha wadau wanaweza kufikiria kukaa kwenye meza ya maridhiano.
kwenye badiko heche katumia neno "labda" . na wewe umekuaje umetumia neno "kufikiria".

kwamba unampa mtu condition alafu wewe unasema ukishafanya hivyo ndo ntaangalia nikubali au nikatae? --- ungekua wewe ndo unapewa hayo masharti ungekubali?
 
Weka link hapa, acheni fake news
 
mkuu heche hii interview si alipiga na mwananchi media?
Umechukua screenshot out of context na kuifanya ndio taarifa sahihi hiyo inaitwa fake news!! Kwanini hukuweka hapa script nzima?

Yeye alikataa maridhiano na sio kwamba aliweka masharti ili waingie kwa maridhiano.
 
Weka link hapa, acheni fake news
1771511217010.png

kupitia screenshot ni dhahiri mwananchi waliweka hiyo article, lakini sjajua nini kimetokea link inaionyesha article haipo

https://www.mwananchi.co.tz/mw/haba...wili-chadema-kukaa-meza-ya-maridhiano-5357668

lakini page ya instagram ya mwananchi bado clip hii ipo Mwananchi | Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche ametaja mambo mawili ambayo yataisaidia chama hicho kufikiria... | Instagram

hali kadhalika youtube page ya mwananchi
 
View attachment 3546197

Alisema hivo hivo tu.
 
Umechukua screenshot out of context na kuifanya ndio taarifa sahihi hiyo inaitwa fake news!! Kwanini hukuweka hapa script nzima?

Yeye alikataa maridhiano na sio kwamba aliweka masharti ili waingie kwa maridhiano.
mkuu mimi sio mtoa mada, screenshot ni ya mtoa mada.

lakini pitia hiyo clip ya mwananchi hapo insta --- kama ni mambo ya fake news yatakua ni mwananchi na heche waliyemuhoji
 
View attachment 3546197

kupitia screenshot ni dhahiri mwananchi waliweka hiyo article, lakini sjajua nini kimetokea link inaionyesha article haipo

https://www.mwananchi.co.tz/mw/haba...wili-chadema-kukaa-meza-ya-maridhiano-5357668

lakini page ya instagram ya mwananchi bado clip hii ipo Mwananchi | Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche ametaja mambo mawili ambayo yataisaidia chama hicho kufikiria... | Instagram

hali kadhalika youtube page ya mwananchi
Mahojiano nimesikiliza yote ila ni upotoshaji na wameweka headline ili kuvuta wasomaji ila maneno wameyatoa nje ya muktadha.

Hakuna mahali ameweka masharti bali hayo uliyotaja pekee. Sikiliza kuanzia 3:35 amesema maridhiano yaje baada ya waliohusika kuwajibishwa, waliotekwa waachiwe n.k ila sijaona popote ukitaja hayo? Maana yake title ingesoma HECHE ATAKA WAHUSIKA WAWAJIBISHWE KABLA YA MARIDHIANO!!

View: https://youtu.be/qZ5HUrNZBCg?si=jugg_kH0hGCoZVzN
 
mkuu nimeanza kukupata hata mimi nilisikiliza walivyozitoa tu ila mbona kama hizi za sasa zina commentary? kuna ile aliyosema mwenyekiti inabidi atoke ndo aje kuongoza vikao vya chama kuamua uliisikia?

edit: anzia 2:25 hapo nadhani ndo article ilipojikita. --- kama kuna lawama nadhani ziende mwananchi
 
Heche amekuja na hoja dhaifu sana kuhusiana na CHADEMA kukaa meza ya maridhiano. Alitaja kwanza kuachiwa kwa Lissu ni moja, jambo la pili ni CHADEMA kufunguliwa. Lakini maridhiano si kati ya CHADEMA na CCM, maridhiano ni kwa ajili ya Watanzania wote.

Kabla hata ya kuyafikiria, maridhiano haya yafanyike. Kwanza, Serikali irudishe miili ya waliochinjwa na Samia Oktoba 29 tuizike.

Pili, wote waliohusika na mauaji ya halaiki ya Oktoba 29, kama walivyorodheshwa kwenye waraka uliowasilishwa ICC na Madrid Bar Association na Intelwatch ICC, wawajibike kwa mujibu wa sheria. Kisha wadau wanaweza kufikiria kukaa kwenye meza ya maridhiano.

View attachment 3546139
Kwani wewe masemaji wa Nani!kabla ya kwenda mbali ili tuende sawa!
 
Heche amekuja na hoja dhaifu sana kuhusiana na CHADEMA kukaa meza ya maridhiano. Alitaja kwanza kuachiwa kwa Lissu ni moja, jambo la pili ni CHADEMA kufunguliwa. Lakini maridhiano si kati ya CHADEMA na CCM, maridhiano ni kwa ajili ya Watanzania wote.

Kabla hata ya kuyafikiria, maridhiano haya yafanyike. Kwanza, Serikali irudishe miili ya waliochinjwa na Samia Oktoba 29 tuizike.

Pili, wote waliohusika na mauaji ya halaiki ya Oktoba 29, kama walivyorodheshwa kwenye waraka uliowasilishwa ICC na Madrid Bar Association na Intelwatch ICC, wawajibike kwa mujibu wa sheria. Kisha wadau wanaweza kufikiria kukaa kwenye meza ya maridhiano.

View attachment 3546139
Matunda ya 2b ya contents creator hivyo uwongo unaoongea kumsifia mfadhili unaoongeza credit huenda na ufadhili zaidi!
 
Hii ni fake news. Heche hajaongea hivyo.

Mnapata faida gani kuleta habari za uongo? Mnafikiri Watanzania ni wajinga sana na wataamini tu maandiko yenu?
Mnachobishana ni nini wakati mahojiano yake na Mwananchi digital yapo mtandaoni?

Nilivyomuelewa yeye kusema "...chadema ifunguliwe..." ni kwamba kabla ya kwenda kwenye hayo maridhiano lazima wapate muda wa kujadili hiyo hoja kwenye vikao vyao, sasa watawezaje kuijadili wakati hawaruhusiwi kufanya vikao?
 
kwenye badiko heche katumia neno "labda" . na wewe umekuaje umetumia neno "kufikiria".

kwamba unampa mtu condition alafu wewe unasema ukishafanya hivyo ndo ntaangalia nikubali au nikatae? --- ungekua wewe ndo unapewa hayo masharti ungekubali?
Wewe unatakaje !?
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Back
Top Bottom