Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
Poa mkuu š¤£Wewe unatakaje !?
Poa mkuu š¤£Wewe unatakaje !?
Taarifa sio fake.Hii ni fake news. Heche hajaongea hivyo.
Mnapata faida gani kuleta habari za uongo? Mnafikiri Watanzania ni wajinga sana na wataamini tu maandiko yenu?
Hayo ni maneno ya Heche.Nenda YouTube utapata kwa urahisi kabisa alichoongea Heche.
Ogopa hata Mungu, uongo hauna faida yoyote hapa duniani.
Mkuu, uongo upo wapi hapo.Matunda ya 2b ya contents creator hivyo uwongo unaoongea kumsifia mfadhili unaoongeza credit huenda na ufadhili zaidi!
Mjomba, mimi si sehemu ya huo mgao, na tafadhali usinihusishe na huyo muuaji. Tuheshimiane.Matunda ya 2b ya contents creator hivyo uwongo unaoongea kumsifia mfadhili unaoongeza credit huenda na ufadhili zaidi!
Uwajibikaji uwe wa kwanza, mambo mengine yatafuata baadaye. Huwezi kukaa kwenye meza iliyojaa damu kufanya maridhiano na wauaji, isipokuwa kama wewe ni mnufaika.Yupo sahihi tu, Hawawezi kukaa kwenye maridhiano wakati mwenyekiti wa chama yupo Gerezani.
Na pia wote tunajua TAL akitoka hayo maridhiano hayatakuepo, labda Baadhi ya watu waamue kuwajibika kwa yaliyo tokea Mo29
Mkuu, usiwaamini sana wanasiasa. Tupiganie uwajibikaji kwanza wa wale wote waliohusika na mauaji ya Watanzania tarehe 29 Oktoba, mengine yatafuata baadaye.Umechukua screenshot out of context na kuifanya ndio taarifa sahihi hiyo inaitwa fake news!! Kwanini hukuweka hapa script nzima?
Yeye alikataa maridhiano na sio kwamba aliweka masharti ili waingie kwa maridhiano.
Maridhiano ya Sasa ni utapeli laZima aliyeuwa Watanganyika awajibishwe., laZima Samuya ajiuzulu, laZima katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ipatikane na laZima uchaguzi urudiwePoa mkuu š¤£
hapo labda tuambulie katiba na tumeMaridhiano ya Sasa ni utapeli laZima aliyeuwa Watanganyika awajibishwe., laZima Samuya ajiuzulu, laZima katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ipatikane na laZima uchaguzi urudiwe
Hapo basi tuishi hivi hakuna haja ya kukubali utapeli na uhuni wa maridhianohapo labda tuambulie katiba na tume
- katiba wameahidi
Hayo mengine nani anayatekeleza?
Maridhiano ya Sasa ni utapeli laZima aliyeuwa Watanganyika awajibishwe., laZima Samuya ajiuzulu, laZima katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ipatikane na laZima uchaguzi urudiwe
Mkuu, usiwaamini sana wanasiasa. Tupiganie uwajibikaji kwanza wa wale wote waliohusika na mauaji ya Watanzania tarehe 29 Oktoba, mengine yatafuata baadaye.
Huwezi kutawala watu wasiokukubaliUnadhani asipo kubali Samuya, Kipi kitatokea?
Na hili nimekuwa nikilitafakari sana. Je, CCM wanadhani kuachiliwa kwa Tundu Lissu ndiyo maridhiano? Kwa kweli, haliusiani kabisa. Wakati tukio la tarehe 29 Oktoba lilipotokea, tayari walikuwa wamemshikilia Lissu, na CHADEMA ilikuwa imewekewa vikwazoKuachiliwa kwa TAL na kufunguliwa kwa CHADEMA sio sehemu ya Maridhiano.
Japo kuna Chama kinaona hayo ndo maridhiano yenyewe, kama walivo Fungulia kanisa la askofu.
HakikaHili suala sio la chadema ni polis ccm na wananch wasitake kujiweka kimbele mbele
Heche, tunakufuatilia kwa umakini mkubwa. Hoja zako za maridhiano, kwa mara nyingine tena katika mahojiano Wasafi TV, zinaanza kuonekana kuwa na viashiria vya usaliti kwa Watanzania waliojitokeza kwenye maandamano, na wengine kupoteza maisha tarehe 29 Oktoba. Tunakuangalia kwa makini.Heche amekuja na hoja dhaifu sana kuhusiana na CHADEMA kukaa meza ya maridhiano. Alitaja kwanza kuachiwa kwa Lissu ni moja, jambo la pili ni CHADEMA kufunguliwa. Lakini maridhiano si kati ya CHADEMA na CCM, maridhiano ni kwa ajili ya Watanzania wote.
Kabla hata ya kuyafikiria, maridhiano haya yafanyike. Kwanza, Serikali irudishe miili ya waliochinjwa na Samia Oktoba 29 tuizike.
Pili, wote waliohusika na mauaji ya halaiki ya Oktoba 29, kama walivyorodheshwa kwenye waraka uliowasilishwa ICC na Madrid Bar Association na Intelwatch ICC, wawajibike kwa mujibu wa sheria. Kisha wadau wanaweza kufikiria kukaa kwenye meza ya maridhiano.
View attachment 3546139
Kwa mara nyingine tena, Heche amejitokeza Wasafi na kuiweka CHADEMA kama kipaumbele katika kufikia maridhiano. Hali hii inanifanya nianze kuwa na wasiwasi kuhusu mwelekeo wake katika jambo hili zito.Hili suala sio la chadema ni polis ccm na wananch wasitake kujiweka kimbele mbele
Punguza mihemko msikilize Kwa makiniHeche amekuja na hoja dhaifu sana kuhusiana na CHADEMA kukaa meza ya maridhiano. Alitaja kwanza kuachiwa kwa Lissu ni moja, jambo la pili ni CHADEMA kufunguliwa. Lakini maridhiano si kati ya CHADEMA na CCM, maridhiano ni kwa ajili ya Watanzania wote.
Kabla hata ya kuyafikiria, maridhiano haya yafanyike. Kwanza, Serikali irudishe miili ya waliochinjwa na Samia Oktoba 29 tuizike.
Pili, wote waliohusika na mauaji ya halaiki ya Oktoba 29, kama walivyorodheshwa kwenye waraka uliowasilishwa ICC na Madrid Bar Association na Intelwatch ICC, wawajibike kwa mujibu wa sheria. Kisha wadau wanaweza kufikiria kukaa kwenye meza ya maridhiano.
View attachment 3546139