Hii ni fake news. Heche hajaongea hivyo.Heche amekuja na hoja dhaifu sana kuhusiana na CHADEMA kukaa meza ya maridhiano. Alitaja kwanza kuachiwa kwa Lissu ni moja, jambo la pili ni CHADEMA kufunguliwa. Lakini maridhiano si kati ya CHADEMA na CCM, maridhiano ni kwa ajili ya Watanzania wote. Kabla hata ya kuyafikiria, maridhiano haya yafanyike. Kwanza, Serikali irudishe miili ya waliochinjwa na Samia Oktoba 29 tuizike. Pili, wote waliohusika na mauaji ya halaiki ya Oktoba 29, kama walivyorodheshwa kwenye waraka uliowasilishwa ICC na Madrid Bar Association na Intelwatch ICC, wawajibike kwa mujibu wa sheria. Kisha wadau wanaweza kufikiria kukaa kwenye meza ya maridhiano.
View attachment 3546139
heche kaongeaje?Hii ni fake news. Heche hajaongea hivyo.
Mnapata faida gani kuleta habari za uongo? Mnafikiri Watanzania ni wajinga sana na wataamini tu maandiko yenu?
kwenye badiko heche katumia neno "labda" . na wewe umekuaje umetumia neno "kufikiria".Kisha wadau wanaweza kufikiria kukaa kwenye meza ya maridhiano.
Nenda YouTube utapata kwa urahisi kabisa alichoongea Heche.heche kaongeaje?
hapa sijaelewa mkuu, una maana ganiOgopa hata Mungu, uongo hauna faida yoyote hapa duniani.
Weka link hapa, acheni fake newskwenye badiko heche katumia neno "labda" . na wewe umekuaje umetumia neno "kufikiria".
kwamba unampa mtu condition alafu wewe unasema ukishafanya hivyo ndo ntaangalia nikubali au nikatae? --- ungekua wewe ndo unapewa hayo masharti ungekubali?
mkuu heche hii interview si alipiga na mwananchi media?Weka link hapa, acheni fake news
Umechukua screenshot out of context na kuifanya ndio taarifa sahihi hiyo inaitwa fake news!! Kwanini hukuweka hapa script nzima?mkuu heche hii interview si alipiga na mwananchi media?
Weka link hapa, acheni fake news
View attachment 3546197
kupitia screenshot ni dhahiri mwananchi waliweka hiyo article, lakini sjajua nini kimetokea link inaionyesha article haipo
https://www.mwananchi.co.tz/mw/haba...wili-chadema-kukaa-meza-ya-maridhiano-5357668
lakini page ya instagram ya mwananchi bado clip hii ipo Mwananchi | Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche ametaja mambo mawili ambayo yataisaidia chama hicho kufikiria... | Instagram
hali kadhalika youtube page ya mwananchi
mkuu mimi sio mtoa mada, screenshot ni ya mtoa mada.Umechukua screenshot out of context na kuifanya ndio taarifa sahihi hiyo inaitwa fake news!! Kwanini hukuweka hapa script nzima?
Yeye alikataa maridhiano na sio kwamba aliweka masharti ili waingie kwa maridhiano.
naamAlisema hivo hivo tu.
Mahojiano nimesikiliza yote ila ni upotoshaji na wameweka headline ili kuvuta wasomaji ila maneno wameyatoa nje ya muktadha.View attachment 3546197
kupitia screenshot ni dhahiri mwananchi waliweka hiyo article, lakini sjajua nini kimetokea link inaionyesha article haipo
https://www.mwananchi.co.tz/mw/haba...wili-chadema-kukaa-meza-ya-maridhiano-5357668
lakini page ya instagram ya mwananchi bado clip hii ipo Mwananchi | Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche ametaja mambo mawili ambayo yataisaidia chama hicho kufikiria... | Instagram
hali kadhalika youtube page ya mwananchi
mkuu nimeanza kukupata hata mimi nilisikiliza walivyozitoa tu ila mbona kama hizi za sasa zina commentary? kuna ile aliyosema mwenyekiti inabidi atoke ndo aje kuongoza vikao vya chama kuamua uliisikia?Mahojiano nimesikiliza yote ila ni upotoshaji na wameweka headline ili kuvuta wasomaji ila maneno wameyatoa nje ya muktadha.
Hakuna mahali ameweka masharti bali hayo uliyotaja pekee. Sikiliza kuanzia 3:35 amesema maridhiano yaje baada ya waliohusika kuwajibishwa, waliotekwa waachiwe n.k ila sijaona popote ukitaja hayo? Maana yake title ingesoma HECHE ATAKA WAHUSIKA WAWAJIBISHWE KABLA YA MARIDHIANO!!
View: https://youtu.be/qZ5HUrNZBCg?si=jugg_kH0hGCoZVzN
Kwani wewe masemaji wa Nani!kabla ya kwenda mbali ili tuende sawa!Heche amekuja na hoja dhaifu sana kuhusiana na CHADEMA kukaa meza ya maridhiano. Alitaja kwanza kuachiwa kwa Lissu ni moja, jambo la pili ni CHADEMA kufunguliwa. Lakini maridhiano si kati ya CHADEMA na CCM, maridhiano ni kwa ajili ya Watanzania wote.
Kabla hata ya kuyafikiria, maridhiano haya yafanyike. Kwanza, Serikali irudishe miili ya waliochinjwa na Samia Oktoba 29 tuizike.
Pili, wote waliohusika na mauaji ya halaiki ya Oktoba 29, kama walivyorodheshwa kwenye waraka uliowasilishwa ICC na Madrid Bar Association na Intelwatch ICC, wawajibike kwa mujibu wa sheria. Kisha wadau wanaweza kufikiria kukaa kwenye meza ya maridhiano.
View attachment 3546139
Matunda ya 2b ya contents creator hivyo uwongo unaoongea kumsifia mfadhili unaoongeza credit huenda na ufadhili zaidi!Heche amekuja na hoja dhaifu sana kuhusiana na CHADEMA kukaa meza ya maridhiano. Alitaja kwanza kuachiwa kwa Lissu ni moja, jambo la pili ni CHADEMA kufunguliwa. Lakini maridhiano si kati ya CHADEMA na CCM, maridhiano ni kwa ajili ya Watanzania wote.
Kabla hata ya kuyafikiria, maridhiano haya yafanyike. Kwanza, Serikali irudishe miili ya waliochinjwa na Samia Oktoba 29 tuizike.
Pili, wote waliohusika na mauaji ya halaiki ya Oktoba 29, kama walivyorodheshwa kwenye waraka uliowasilishwa ICC na Madrid Bar Association na Intelwatch ICC, wawajibike kwa mujibu wa sheria. Kisha wadau wanaweza kufikiria kukaa kwenye meza ya maridhiano.
View attachment 3546139
Mnachobishana ni nini wakati mahojiano yake na Mwananchi digital yapo mtandaoni?Hii ni fake news. Heche hajaongea hivyo.
Mnapata faida gani kuleta habari za uongo? Mnafikiri Watanzania ni wajinga sana na wataamini tu maandiko yenu?
Wewe unatakaje !?kwenye badiko heche katumia neno "labda" . na wewe umekuaje umetumia neno "kufikiria".
kwamba unampa mtu condition alafu wewe unasema ukishafanya hivyo ndo ntaangalia nikubali au nikatae? --- ungekua wewe ndo unapewa hayo masharti ungekubali?