Hoja za Mchome wa Chama kupinga maamuzi ya Baraza, Kamati Kuu na maamuzi yake siyo hoja inayoweza kutikisa chadema kwa vile hata anayoyalalamikia kama ni kweli yanaweza kurekebishwa kwa kuitisha kikao kingine na kufanya maamuzi ya kubariki uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na kisha kubariki maamuzi ya mikakati iliyofikiwa na kamati kuu "in retrospective". Tena maamuzi ya Baraza yanaweza kufikiwa kwa wajumbe halali kusaini maazimio huko waliko wajumbe by circular resolution kama inakubalika kikatiba. au kuitisha kikao mapema. Hii itategemea na facts zilizopo