Naona una hasira balaa. Kanye kwanza mzeeUnapoona mtu anashambulia mwenzake kwa kuweka ushahidi wa uwongo, ni dhahiri ameishwa hoja kwa kuwa ana akili ndogo. Ajibiwe kuhusu matukio badala ya hoja? Kwani yuko mahakamani kusuburi pingamizi?
Aliowahutubia kwenye kampeni (waajiriwa kukosa nyongeza za mishara, kubomolewa nyumba, fedha ya korona wakati hakuna aliyevaa barakoa, nk) je, ndiyo hoja ya mahitaji yao ya maendeleo?
NI UPUUZI MTUPU. Wana Bagamoyo wamecheka na kudharau, kama ninavyodharau bandiko lako.
Sina ushabiki wa vyama ila hii picha imeungwa ungwaView attachment 1565570
Sawa Bwashehe.....CCM can not waste her time to answer somebody shit, kazi yao ni moja tuu, kuwafikia wapiga kura walipo na kuwatatulia shida zao ..... Hakuna impact yyte ya sera Kwa mda uliobaki... Ni kushikilia ulicho nacho
Huyo aliyekodi helikopta kumpeleka kibaha haujamwona?..hizo landcruiser thamani yake siyo sawa na zahanati huko vijijini?
..kwa haraka nimehesabu kama landcruiser tisa.
..viongozi wa kiafrika ni makatili sana.
cc Kilatha
Huoni Aibu kutuma picha za kuunga, and huoni miti unaingia kwenye la lami. Miaka mitano mnafanya siasa pekeenu na bado mnaphoto shop.View attachment 1565570
Sawa Bwashehe.....CCM can not waste her time to answer somebody shit, kazi yao ni moja tuu, kuwafikia wapiga kura walipo na kuwatatulia shida zao ..... Hakuna impact yyte ya sera Kwa mda uliobaki... Ni kushikilia ulicho nacho
Zote hela za wamerrkani nani hajuiZahanati takriban 300 zimejengwa nchi nzima with in 5 yrs , rekodi ya kipekee Sana , wakat kikwete alijenga zahanati 150 Kwa mda wa miaka kumi, zahanati hzo zinasubir watumishi wa afya waajiliwe mwaka ujao wa fedha
Wote wanafunzi shule za msingi na sekondari magufuli limemchweaHuoni Aibu kutuma picha za kuunga, and huoni miti unaingia kwenye la lami. Miaka mitano mnafanya siasa pekeenu na bado mnaphoto shop.
Ulimuona mzee Yusufu Makamba leo? Alijaribu kumsugua mtu kwa jiki.
Kulikuwa na wasanii gani wanatumbuiza ?View attachment 1565570
Sawa Bwashehe.....CCM can not waste her time to answer somebody shit, kazi yao ni moja tuu, kuwafikia wapiga kura walipo na kuwatatulia shida zao ..... Hakuna impact yyte ya sera Kwa mda uliobaki... Ni kushikilia ulicho nacho
ajira je! Au hazimhusuZahanati takriban 300 zimejengwa nchi nzima with in 5 yrs , rekodi ya kipekee Sana , wakat kikwete alijenga zahanati 150 Kwa mda wa miaka kumi, zahanati hzo zinasubir watumishi wa afya waajiliwe mwaka ujao wa fedha
Mbona mnamjibuView attachment 1565570
Sawa Bwashehe.....CCM can not waste her time to answer somebody shit, kazi yao ni moja tuu, kuwafikia wapiga kura walipo na kuwatatulia shida zao ..... Hakuna impact yyte ya sera Kwa mda uliobaki... Ni kushikilia ulicho nacho
Hizi kauli mnazitoa kwa kiburi kwasababu mnajivunia tume ya uchaguzi. Tulishawaambia kama nyie mnakubarika, figisu za nini kwa upinzani (cdm na act)? Nyie si mnakubarika? Weken tume huruMkuu, subiri kwenye sanduku ndo utajuwa ulikuwa ni mwiba au kijiti cha nyasi. Na kwa kupitia ndo utaona kama CHADEMA ulikuwa na mgombea wenye faida au kakiingiza chama mkenge? Stay tuned uchaguzi uishe na Magu aapishwe ndo utaikumbuka comment hii.
Hata mtaani. Mnasahau hawa wanaoandika mtandaoni wapo mtaani. Akili zakushikiwa hizi ni shidaWananchi wa mtandaoni?
Hapo ni njian wamemsimamisha mweshiwa angalau aseme neno, hakuna wasanii , wasanii wanakuwepo kwenye mikutano ya mikoani , katoro hiyo Mzee BabaKulikuwa na wasanii gani wanatumbuiza ?
Katoro napapenda sana.. huwa kibiashara pamechangamka sanaaaa...Hapo ni njian , hakuna wasanii , wasanii wanakuwepo kwenye mikutano ya mikoani , katoro hiyo Mzee Baba
View attachment 1565780View attachment 1565781
Hata ufipa ni TZ we mgonjwa!Wa ufipa?
Kwan shida ipo wap mkuu , makusanyo ya mapato kwa mwez ni around 1Tilion , mishahara watumishi wa uma ni 800Billion inayobak ni 200Bill ni hela ndogo Sana kuleta maendeleo ,at the same tyme watumishi wanadai nyongeza ya mshahara JPM alijitahd kufungulia njia zingine za mapato hao akina Lissu wakadai anakandamiza wananchi , akajaribu kufight kurekebisha mikataba ya Madini Lissu akawa middlemen wa kuwatetea wazungu , akitoa vitisho kumbe amekula percent, misaada ikija inatumika vizur kuleta maendeleo kama hv ,Zote hela za wamerrkani nani hajui
Hakuna kuunga boss hyo ni photo collage, eneo moja picha mbili tofaut , sio dhambi kuziunganisha , hapo ni njian watu wamemsimamisha aseme neno , Mbna za Lissu hatuzionHuoni Aibu kutuma picha za kuunga, and huoni miti unaingia kwenye la lami. Miaka mitano mnafanya siasa pekeenu na bado mnaphoto shop.