Naona una hasira balaa. Kanye kwanza mzeeUnapoona mtu anashambulia mwenzake kwa kuweka ushahidi wa uwongo, ni dhahiri ameishwa hoja kwa kuwa ana akili ndogo. Ajibiwe kuhusu matukio badala ya hoja? Kwani yuko mahakamani kusuburi pingamizi?
Aliowahutubia kwenye kampeni (waajiriwa kukosa nyongeza za mishara, kubomolewa nyumba, fedha ya korona wakati hakuna aliyevaa barakoa, nk) je, ndiyo hoja ya mahitaji yao ya maendeleo?
NI UPUUZI MTUPU. Wana Bagamoyo wamecheka na kudharau, kama ninavyodharau bandiko lako.