Uchaguzi 2020 Hoja za Tundu Lissu Bagamoyo ni mwiba mchungu kwa CCM. CCM inapomjibu Lissu anawasha moto zaidi

Uchaguzi 2020 Hoja za Tundu Lissu Bagamoyo ni mwiba mchungu kwa CCM. CCM inapomjibu Lissu anawasha moto zaidi

Unapoona mtu anashambulia mwenzake kwa kuweka ushahidi wa uwongo, ni dhahiri ameishwa hoja kwa kuwa ana akili ndogo. Ajibiwe kuhusu matukio badala ya hoja? Kwani yuko mahakamani kusuburi pingamizi?

Aliowahutubia kwenye kampeni (waajiriwa kukosa nyongeza za mishara, kubomolewa nyumba, fedha ya korona wakati hakuna aliyevaa barakoa, nk) je, ndiyo hoja ya mahitaji yao ya maendeleo?

NI UPUUZI MTUPU. Wana Bagamoyo wamecheka na kudharau, kama ninavyodharau bandiko lako.
Naona una hasira balaa. Kanye kwanza mzee
 
View attachment 1565570
Sawa Bwashehe.....CCM can not waste her time to answer somebody shit, kazi yao ni moja tuu, kuwafikia wapiga kura walipo na kuwatatulia shida zao ..... Hakuna impact yyte ya sera Kwa mda uliobaki... Ni kushikilia ulicho nacho
Sina ushabiki wa vyama ila hii picha imeungwa ungwa
 
..hizo landcruiser thamani yake siyo sawa na zahanati huko vijijini?

..kwa haraka nimehesabu kama landcruiser tisa.

..viongozi wa kiafrika ni makatili sana.

cc Kilatha
Huyo aliyekodi helikopta kumpeleka kibaha haujamwona?
 
Lissu aache kihede msede mbunge wao alikuwa wapi kuwasemea bungeni?
 
View attachment 1565570
Sawa Bwashehe.....CCM can not waste her time to answer somebody shit, kazi yao ni moja tuu, kuwafikia wapiga kura walipo na kuwatatulia shida zao ..... Hakuna impact yyte ya sera Kwa mda uliobaki... Ni kushikilia ulicho nacho
Huoni Aibu kutuma picha za kuunga, and huoni miti unaingia kwenye la lami. Miaka mitano mnafanya siasa pekeenu na bado mnaphoto shop.
 
Zahanati takriban 300 zimejengwa nchi nzima with in 5 yrs , rekodi ya kipekee Sana , wakat kikwete alijenga zahanati 150 Kwa mda wa miaka kumi, zahanati hzo zinasubir watumishi wa afya waajiliwe mwaka ujao wa fedha
Zote hela za wamerrkani nani hajui
 
Ulimuona mzee Yusufu Makamba leo? Alijaribu kumsugua mtu kwa jiki.

Njaa mbaya sana hivi sasa Mzee huyu anapitia njia ileile ya mstaafu Mwinyi ili mwanae aweze kubebwa na system iliyopo madarakani
 
View attachment 1565570
Sawa Bwashehe.....CCM can not waste her time to answer somebody shit, kazi yao ni moja tuu, kuwafikia wapiga kura walipo na kuwatatulia shida zao ..... Hakuna impact yyte ya sera Kwa mda uliobaki... Ni kushikilia ulicho nacho
Kulikuwa na wasanii gani wanatumbuiza ?
 
Zahanati takriban 300 zimejengwa nchi nzima with in 5 yrs , rekodi ya kipekee Sana , wakat kikwete alijenga zahanati 150 Kwa mda wa miaka kumi, zahanati hzo zinasubir watumishi wa afya waajiliwe mwaka ujao wa fedha
ajira je! Au hazimhusu
 
Mkuu, subiri kwenye sanduku ndo utajuwa ulikuwa ni mwiba au kijiti cha nyasi. Na kwa kupitia ndo utaona kama CHADEMA ulikuwa na mgombea wenye faida au kakiingiza chama mkenge? Stay tuned uchaguzi uishe na Magu aapishwe ndo utaikumbuka comment hii.
Hizi kauli mnazitoa kwa kiburi kwasababu mnajivunia tume ya uchaguzi. Tulishawaambia kama nyie mnakubarika, figisu za nini kwa upinzani (cdm na act)? Nyie si mnakubarika? Weken tume huru

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Kulikuwa na wasanii gani wanatumbuiza ?
Hapo ni njian wamemsimamisha mweshiwa angalau aseme neno, hakuna wasanii , wasanii wanakuwepo kwenye mikutano ya mikoani , katoro hiyo Mzee Baba
gersonmsigwa_20200910_15.jpg
gersonmsigwa_20200910_12.jpg

Na hawa ndo wapiga kura waaminifu , sio hawa wa mtandaoni ambao wengi wao wapo nje ya nchi,
 
Zote hela za wamerrkani nani hajui
Kwan shida ipo wap mkuu , makusanyo ya mapato kwa mwez ni around 1Tilion , mishahara watumishi wa uma ni 800Billion inayobak ni 200Bill ni hela ndogo Sana kuleta maendeleo ,at the same tyme watumishi wanadai nyongeza ya mshahara JPM alijitahd kufungulia njia zingine za mapato hao akina Lissu wakadai anakandamiza wananchi , akajaribu kufight kurekebisha mikataba ya Madini Lissu akawa middlemen wa kuwatetea wazungu , akitoa vitisho kumbe amekula percent, misaada ikija inatumika vizur kuleta maendeleo kama hv ,
 
Huoni Aibu kutuma picha za kuunga, and huoni miti unaingia kwenye la lami. Miaka mitano mnafanya siasa pekeenu na bado mnaphoto shop.
Hakuna kuunga boss hyo ni photo collage, eneo moja picha mbili tofaut , sio dhambi kuziunganisha , hapo ni njian watu wamemsimamisha aseme neno , Mbna za Lissu hatuzion

gersonmsigwa_20200910_14.jpg
gersonmsigwa_20200910_10.jpg
 
Back
Top Bottom