Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #21
Huyu jamaa Kwa uandishi wake wa kuuma na kupuliza Ili asiwaudhi wanasiasa ulinifanya nianze kumpuuza, huenda huyu ndo chanzo Cha tatizo la uchawa liko Kila secta na linalotusumbua Kwa sasaShida huwa unaandika kwa kuzunguka saaanaaa. Mtu akisoma mabandiko yako mengi huwa anashindwa kupata points directly kwa sababu maelezo yako huwa yanadicontradict..
Na hilo linathibitishwa na wewe mwenyewe leo hii unarudia mabandiko yako na kuyatolea ufafanuzi ulikuwa una lenga nini.
Punguza kuzunguka sana. Heading zenyewe tu unaweka ndeeefu sana. Jaribu kuanza kwenda straight kwenye point.
Cha mwisho, punguza kujibaraguza na uchawa..
Angalia bandiko hili Amri Kuu Kuliko Zote ni Upendo! Mpende Mungu, Ipende Nchi, Wapende Viongozi, Mpende Jirani Yako Kama Nafsi Yako!. Jirani yako ni Nani?, Unampenda?Wanabodi
Hili ni bandiko la kufanya assessment ya baadhi ya mabandiko yaliyoleta impact kama hoja zangu zina mashiko?, zimesaidia kitu au ninaandika for nothing kupoteza tuu muda?
Paskali
Wanabodi,Heri ya Krisimasi, Merry Christmas
Kitaifa baada ya Mungu, nchi ndio jirani yako, tuipende nchi yetu, viongozi wetu ndio jirani zetu, tuwapende viongozi wetu!, wananchi wengine wote ni jirani zetu!, tupendane sisi kwa sisi kwa upendo wa dhati, Viongozi pendaneni na wapendeni wenzenu hata wapinzani!, ukiwa na upendo wa dhati toka moyoni mwako, haiwezekani nyinyi mkakutana na tena vikao vyenu vingine mkavifanyia hata pale patakatifu petu, lakini mkawazuia wenzenu kufanya mikutano!. Tupendane kwa dhati na tusiwatendee wengine hiyana!. Kwenye medani za siasa za vyama, CCM kama chama tawala, jirani zake ni Chadema, ACT Wazalendo, CUF, NCCR etc, wana CCM wanawajibu wa kuwapenda vyama vingine kama wanavyojipenda wenyewe!, haiwezekani wao wawe huru kufanya mikutano, lakini wanawazuia wengine!.
I wish You A Merry Christmas and Prosperous New Year.
Paskali.