Hoja zangu za Kisiasa, Katiba, Sheria na Haki humu JF zina mashiko? Zimesaidia kitu? The Consequences ya baadhi ya hoja zangu! Kazi inaendelea!

Hoja zangu za Kisiasa, Katiba, Sheria na Haki humu JF zina mashiko? Zimesaidia kitu? The Consequences ya baadhi ya hoja zangu! Kazi inaendelea!

Shida huwa unaandika kwa kuzunguka saaanaaa. Mtu akisoma mabandiko yako mengi huwa anashindwa kupata points directly kwa sababu maelezo yako huwa yanadicontradict..

Na hilo linathibitishwa na wewe mwenyewe leo hii unarudia mabandiko yako na kuyatolea ufafanuzi ulikuwa una lenga nini.

Punguza kuzunguka sana. Heading zenyewe tu unaweka ndeeefu sana. Jaribu kuanza kwenda straight kwenye point.

Cha mwisho, punguza kujibaraguza na uchawa..
Huyu jamaa Kwa uandishi wake wa kuuma na kupuliza Ili asiwaudhi wanasiasa ulinifanya nianze kumpuuza, huenda huyu ndo chanzo Cha tatizo la uchawa liko Kila secta na linalotusumbua Kwa sasa
 
Kabla haujabadili kutoka Pasco na kuwa pascal nyuma ya 2015 ulikua na mabandiko makini sana, lakini sahivi!!!!!
 
Wanabodi

Hili ni bandiko la kufanya assessment ya baadhi ya mabandiko yaliyoleta impact kama hoja zangu zina mashiko?, zimesaidia kitu au ninaandika for nothing kupoteza tuu muda?

Paskali
Angalia bandiko hili Amri Kuu Kuliko Zote ni Upendo! Mpende Mungu, Ipende Nchi, Wapende Viongozi, Mpende Jirani Yako Kama Nafsi Yako!. Jirani yako ni Nani?, Unampenda?
Hili ni bandiko la Krismasi ya mwaka jana, angalia nilishauri nini na nini kilitokea
Heri ya Krisimasi, Merry Christmas

Kitaifa baada ya Mungu, nchi ndio jirani yako, tuipende nchi yetu, viongozi wetu ndio jirani zetu, tuwapende viongozi wetu!, wananchi wengine wote ni jirani zetu!, tupendane sisi kwa sisi kwa upendo wa dhati, Viongozi pendaneni na wapendeni wenzenu hata wapinzani!, ukiwa na upendo wa dhati toka moyoni mwako, haiwezekani nyinyi mkakutana na tena vikao vyenu vingine mkavifanyia hata pale patakatifu petu, lakini mkawazuia wenzenu kufanya mikutano!. Tupendane kwa dhati na tusiwatendee wengine hiyana!. Kwenye medani za siasa za vyama, CCM kama chama tawala, jirani zake ni Chadema, ACT Wazalendo, CUF, NCCR etc, wana CCM wanawajibu wa kuwapenda vyama vingine kama wanavyojipenda wenyewe!, haiwezekani wao wawe huru kufanya mikutano, lakini wanawazuia wengine!.

I wish You A Merry Christmas and Prosperous New Year.

Paskali.
Wanabodi,
Hili ni bandiko la salaams zangu za Krismasi ya mwaka jana ambayo nilisisitiza upendo. Kwenye medani za siasa za vyama, nilisema "CCM kama chama tawala, jirani zake ni Chadema, ACT Wazalendo, CUF, NCCR etc, wana CCM wanawajibu wa kuwapenda vyama vingine kama wanavyojipenda wenyewe!, haiwezekani wao wawe huru kufanya mikutano, lakini wanawazuia wengine!".

Hoja hii ilijibiwa kwa vitendo kwa mikutano ya siasa kuruhusiwa, hivyo haya tunayoandika, sio tunajiandikia kupoteza muda, tunayo yaandika yanafanyiwa kazi.

Ukiandika kuomba kitu fulani, siku ukipewa hicho ulichokiomba, una wajibu wa kumrejelea yule uliyemuomba na kumshukuru kupokea ombi lako na kulitekeleza, hivyo nami baada ya mikutano ya siasa kuruhusiwa, kwanza niliandika makala ya kushukuru, Asante Rais kuruhusu mikutano, tunakuomba uruhusu haki nyingine ambayo imeporwa ya Watanzania wote kuchagua na kuchaguliwa kisha nikaomba ile haki nyingine iliyoporwa irudishwe.

Kikao cha Bunge lijalo, kitapitisha mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, vyama vya siasa na Tume ya Uchaguzi, mabadiliko yote hayo ni superficial tuu kama hakuna mabadiliko ya katiba, hivyo mwaka huu ujao wa 2024, let's press for mabadiliko ya katiba ili tufanye uchaguzi mkuu wa 2025 uwe uchaguzi huru na wa haki.
Mungu Ibariki Tanzania
I wish you a erry Christmas and Prosperous New Year!.
P
 
Nimekuwa nikikufuatilia tangu enzi za kipindi chako cha KITIMOTO na hata mabandiko yako yalikuwa Yana msaada mkubwa na makini mpaka hapo ulipompiga swali zuri mwendazake na aka-panick akakuita kuwa ' Mayala' Ina maana ya 'njaa' na wewe ku-demonstrate Hilo ukaenda kugombea Ubunge Kawe na kuambulia kura 2,.
Baafa ya episode ya Kawe,ulikuwa DISTRACTED na hata hate reasoning yako ikabadilika na kuwa ya ki- chawa zaidi haswaa mabandiko yako ya kutetea COVID- 19 hayana msaada wowote Kwa jamii
 
Back
Top Bottom