Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #21
Bandiko hili ni la 2015 kabla JPM hajatangazwa kushinda uchaguzi, Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him! ni bandiko la kuwaandaa Watanzania kwa utawala wa mkono wa chuma!.
Yote niliyoyasema humu yalikuja kutokea including the consequences!.
Nilisema mwaka 2020 kutakuwa hakuna uchaguzi, bali kutafanyika igizo la uchaguzi!.
P
Yote niliyoyasema humu yalikuja kutokea including the consequences!.
Nilisema mwaka 2020 kutakuwa hakuna uchaguzi, bali kutafanyika igizo la uchaguzi!.
P