Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kaitaja kumbe, nimesoma kichwa cha habar tu nikahitimishaTruvada anayotumia ni ARV pia mjomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaitaja kumbe, nimesoma kichwa cha habar tu nikahitimishaTruvada anayotumia ni ARV pia mjomba
Kwa hosp niliyopitia chanjo kwa dozi 1 ni Tsh 50,000 japo inaenda mpk 75,000 so ni gharama kubwa.
Ni ushauri tu, watu tuchome as huu ugonjwa ni mkali sana.
Wamekupiga.Regency kila chanjo ni 24000 na zinatajika tatu.Kwa hospitali za serikali ni nafuu sanaKwa hosp niliyopitia chanjo kwa dozi 1 ni Tsh 50,000 japo inaenda mpk 75,000 so ni gharama kubwa.
Ni ushauri tu, watu tuchome as huu ugonjwa ni mkali sana.
Pole sana nenda agakhan au muhimbili ndio wanatoa hiyo chanjo,navyojua mimi huo ugonjwa unatumia chanjo na unapona kabisa
Njia ya maambukizi ya huu ugonjwa n rahisi sana. Wanaumwa ni wengi sana ambao wamejitambua ila ambao hawajajitambua pia ni wengi zaidi. Maana dalili zake huwa zinakuja mwishon kabisa umeshaathrika .ila ukigundua mapema ni vyema zaidiIla hii kitu , Wizara ya Afya na Wizara ya Elimu , walipaswa kuitazama na ikiwezekana , waingizie ktk mtaala wa shule uko sekondar , wanafunzi wafundishwe km ilivo HIV .Kwa maana Ni yapolepole lkn Uharibifu wake ni wa Uhakika.
Mungu Nilinde Mja wako!!
Kama una namba yake umpgie pia kama uko karibu nae umuulizie alijitibu vipi na alikuwa na aina gani ya homa nduguNa mjomba wangu alikuwa na sumbuliwa na ini, akawa anaenda hosp ila sijui alikuja kuponaje
Tusaidizane mkuu vp unapatikana wap kwa sasaukiweza njoo pm tuone msaada! kuna jamaa huwa ni bingwa wa tiba asilia, ila sio hawa wa kujitangaza.
pole sana mkuu.
Rafiki kuna chanjo kwa watu wote,ukienda hospitali kubwa kama Aghakani unapata chanjo!Hivi kwanini hawatoi chanjo ya ini kwa watu wote,yaan haihamasishwi watu wapime
Rafiki acha uzinzi hakuna chanjo ya HIV!Sawa,ni sh ngapi?
Hivi chanjo ya HIV iliishia wapi wajameni?
Ahahahaa kapeace bora tulibaki kuwa mafundi umeme maana tungekua madaktar kwa jibu Hili wagonjwa wangekufa reception tu hakuna namnaDah mkuu pole sana
nasikia huo ugonjwa ni balaa afadhali ya ukimwi
Hukuona kipindi kile inatangazwa kuwa imeanzia sijui wapi huko ,ikatangazwa hadi kwenye TvRafiki acha uzinzi hakuna chanjo ya HIV!
Rafiki unipitieDuh!....inabidi nitafute chanjo haraka sana!
Chanjo maana yake ni kinga..Wanatoa chanjo ya kuponyesha kbisa ama ya kujikinga mkuu