[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mfano mbaya sana huu [emoji91]Yani kwa sasa ni kama humphrey polepole aende kuhutubia kikao cha chadema. Haiwezekani kwa sasa labda apo badae
True Mkuu Diamond mbunifu katika show zake na nadhani wakimwalika atapiga showa bora sanaYaani kwa jinsi Diamond anapenda masifa siku wakimuita atapiga show bora kabisa kuwahi kutokea katika hicho kipindi cha homa , yaani waisidiriki kumuita maana atawatia aibu plus adabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa huwezi kuwaona wasanii wa WCB wakipiga show katika hiko kipindi cha homa.Basi tutawaona Wasanii mbalimbali wote kasoro Yeye tu ndo ratiba haiwezi kupita kwake basi
We umeongea pumba Sana.Mondi hawezi kuimba live...pale wanaweza imba wasanii wanaojua kuimba kwa live band
Yani Diamond akifanya show nzuri kwenye Homa ndiyo atawatia E.tv aibu???Yaani kwa jinsi Diamond anapenda masifa siku wakimuita atapiga show bora kabisa kuwahi kutokea katika hicho kipindi cha homa , yaani waisidiriki kumuita maana atawatia aibu plus adabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Alaf bifu hili ndiyo lisiloeleweka chanzo chakeChanzo cha bifu lao ni aibu kwelikweli.
K tu.!
Nazani majizzo anamchukulia Diamond as competitor wake kwenye media ndo maana inakuwa Ni ngumu Sana kutokea Hilo lakini hii sababu Ni ya hovyo kwa sababu Ni still diamond Ni mwanamzikiHabari za Usiku huu Wakuu Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima,
Now nimeshaona show za Wasanii mbalimbali Kupitia Show ya Homa kupitia channel ya TV E!, Katika kuona kwangu sijamuona Diamond je? Zamu yake haijafika au ndo vile kuna kabifu hapo katikati ama vipi?
Wakuu mkimwona siku mnitag
Usiku mwema