Homa ya TV E: Lini Diamond platnumz atatumbuiza Jukwaani

Homa ya TV E: Lini Diamond platnumz atatumbuiza Jukwaani

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari za Usiku huu Wakuu Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima,

Now nimeshaona show za Wasanii mbalimbali Kupitia Show ya Homa kupitia channel ya TV E!, Katika kuona kwangu sijamuona Diamond je? Zamu yake haijafika au ndo vile kuna kabifu hapo katikati ama vipi?

Wakuu mkimwona siku mnitag

Usiku mwema
 
IMG_20200617_225659.jpg
ndo situation ilivyo
 
Yaani kwa jinsi Diamond anapenda masifa siku wakimuita atapiga show bora kabisa kuwahi kutokea katika hicho kipindi cha homa , yaani waisidiriki kumuita maana atawatia aibu plus adabu

Sent using Jamii Forums mobile app
True Mkuu Diamond mbunifu katika show zake na nadhani wakimwalika atapiga showa bora sana
 
Na watu watakosa ladha Ujue kuna watu wanataka kidogo na yeye wamwone Ingekuwa hapatoshi
 
Habari za Usiku huu Wakuu Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima,

Now nimeshaona show za Wasanii mbalimbali Kupitia Show ya Homa kupitia channel ya TV E!, Katika kuona kwangu sijamuona Diamond je? Zamu yake haijafika au ndo vile kuna kabifu hapo katikati ama vipi?

Wakuu mkimwona siku mnitag

Usiku mwema
Nazani majizzo anamchukulia Diamond as competitor wake kwenye media ndo maana inakuwa Ni ngumu Sana kutokea Hilo lakini hii sababu Ni ya hovyo kwa sababu Ni still diamond Ni mwanamziki
 
Back
Top Bottom