Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Bado nipo live kwenye daladala on ze way to Chanikanimekuona hapa kwenye daladala ukiandika
ngoja huyu dada mwenye kucha ya gold ashuke nitakuja kuchangia.. unaweza kuta hata ni ShesRise_1Bado nipo live kwenye daladala on ze way to Chanika
Sio mimi πngoja huyu dada mwenye kucha ya gold ashuke nitakuja kuchangia.. unaweza kuta hata ni ShesRise_1
unaendesha au unaendeshwaSio mimi π
Usafiri wangu ni Bike π yaan shwaaaa
Bro Nipo siti ya nyuma huku mwambie konda nalipa wawili πBado nipo live kwenye daladala on ze way to Chanika
Naendeshwa nikipata chance naendesha ila sio kati kati ya mjiunaendesha au unaendeshwa
Wawili na nani? Na huyo mdada mwenye kucha za gold au πBro Nipo siti ya nyuma huku mwambie konda nalipa wawili π
Na homeboy πWawili na nani? Na huyo mdada mwenye kucha za gold au π
kumbe upo vyema, binti yanguNaendeshwa nikipata chance naendesha ila sio kati kati ya mji
π₯kumbe upo vyema, binti yangu
Pole ulitaka kulipa bei ganiHome boy kuna demu hapa an ananishawishi nipeleke barua kwao
sasa namwambia barua shingapi mara anasema laki 2 au 4
hom boy nimegombana nae hapa mpka mama wa supu na boda boda ndo wamekuja kutuachanisha
home boy tusi fake life ahahhahahahah