Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Ukifika kwa mbiki au Italiano ni stue mana nipo hapa Nguvu kaziBado nipo live kwenye daladala on ze way to Chanika
Ukifika kwa mbiki au Italiano ni stue mana nipo hapa Nguvu kaziBado nipo live kwenye daladala on ze way to Chanika
Dah mshua yani unajisifia kabisa kuvumilia kugongewa na unaona fahari!Tatizo vijana mnataka kuishi nao kama mnavyo ona ninyi inafaa, sisi babazenu tuliishinao kwa akili na ndio maana ndoa zetu ziliweza kudumu
Na ubaya wenu vijana mnashindwa kutambua wanawake ambao wamebadilika na sasa wanaanza kusimama kwenye nafasi zenu huku mkijinadi eti ni usasa.... kwakweli mnakosea sana.
Chanika ama kiwalani. AaaadriiiizzzBado nipo live kwenye daladala on ze way to Chanika
mvumilivu hula mbivu
Khaaaaa hapan mi nataka mambo yawe kidini zaidi napeleka barua freePole ulitaka kulipa bei gani
MashaAllah nimevutiwa na mtazamo wako bila shaka haya maneno unayasema umevaa msuliKhaaaaa hapan mi nataka mambo yawe kidini zaidi napeleka barua free
mahali msaafu
wabirah taufik
Unavumiliaje mke wako kuhifadhi DNA za njemba zengine mwilini mwake?mvumilivu hula mbivu
Ukipiga hesabu, mpaka unachukua Mke umetumia buku mbili 😂Khaaaaa hapan mi nataka mambo yawe kidini zaidi napeleka barua free
mahali msaafu
wabirah taufik
Ahahahahhahahah yaani naishi humo mkuu yaani naishi humoUkipiga hesabu, mpaka unachukua Mke umetumia buku mbili 😂
Aahahahhaha alafu tutakuja pigana ngumi humu ndaniMashaAllah nimevutiwa na mtazamo wako bila shaka haya maneno unayasema umevaa msuri
Uoe mtoto usinitanie, nataka wajukuu ningali nina nguvu za kuwalea!MI bi mkubwa kila siku analalamika et niowe nikamwambia tafuta mke lipa mahali kila kitu mi nipo tayari
bi mkubwa naona kaacha ndala
Binti wa zamani
Duhamemwambia mumewe hata afanye nini bado hataridhishwa na mume wake huyo
Mume anajitahidi sana kumpa mkewe dunia lkn she is in love na home boy mwingine
Kwasasa nipo bize na upelekaji moto kwa hawa watuUoe mtoto usinitanie, nataka wajukuu ningali nina nguvu za kuwalea!
Kwani kuna ubaya gani kuvaa kijana hebu jaribu siku uvae uone raha yake tena nikujuzeAahahahhaha alafu tutakuja pigana ngumi humu ndani
tutakuja pigana live live humu naona watu mna utani wa ajabu ajabu
Daaah alafu wewe kumbe jau ahahhahha
Naogopa sana mambo yakuvaa msuli aiseeeKwani kuna ubaya gani kuvaa msuli kijana hebu jaribu siku uvae uone raha yake tena nikujuze
Msuli mwezie kikombe cha kahawa
🤭😀
Sina msaada na wewe🙌Naogopa sana mambo yakuvaa msuli aiseee
hapana hapana mi hata kanzu tu kuvaa kipengele mpaka kuwe na tukio muhimu kweli kweli
Inamaanisha inabidi aongezwe kwenye list ya utakaowapelekea moto 😂Kwasasa nipo bize na upelekaji moto kwa hawa watu
alafu mama sijakuambia kumbe
leo bana kuna jirani hapa nimemuomba namba sasa mda namuomba nshangaa anaongea ana ganda ganda alafu kijasho chembamba cha paji la uso kinamtoka
daah aiseee hii ina maan gani mama..
Aahhahahhahah bana weeeeSina msaada na wewe🙌
Toto jeuri bishi