Home boy fanya lile ambalo lipo ndani ya uwezo wako

Dah mshua yani unajisifia kabisa kuvumilia kugongewa na unaona fahari!

adriz de mbusii
 
amemwambia mumewe hata afanye nini bado hataridhishwa na mume wake huyo

Mume anajitahidi sana kumpa mkewe dunia lkn she is in love na home boy mwingine
Duh
Huyo Will Smith ni simp pro max, anadhalilisha sana gender yake.

Hajajua tu kuwa hata akimpa figo yake huyo Jada ni kazi bure.
Na pia dawa ya Ke ni Ke mwingine
 
Uoe mtoto usinitanie, nataka wajukuu ningali nina nguvu za kuwalea!
Kwasasa nipo bize na upelekaji moto kwa hawa watu

alafu mama sijakuambia kumbe
leo bana kuna jirani hapa nimemuomba namba sasa mda namuomba nshangaa anaongea ana ganda ganda alafu kijasho chembamba cha paji la uso kinamtoka

daah aiseee hii ina maan gani mama..
 
Aahahahhaha alafu tutakuja pigana ngumi humu ndani
tutakuja pigana live live humu naona watu mna utani wa ajabu ajabu

Daaah alafu wewe kumbe jau ahahhahha
Kwani kuna ubaya gani kuvaa kijana hebu jaribu siku uvae uone raha yake tena nikujuze
Msuli mwezie kikombe cha kahawa
๐Ÿคญ๐Ÿ˜€
 
Kwani kuna ubaya gani kuvaa msuli kijana hebu jaribu siku uvae uone raha yake tena nikujuze
Msuli mwezie kikombe cha kahawa
๐Ÿคญ๐Ÿ˜€
Naogopa sana mambo yakuvaa msuli aiseee
hapana hapana mi hata kanzu tu kuvaa kipengele mpaka kuwe na tukio muhimu kweli kweli
 
Inamaanisha inabidi aongezwe kwenye list ya utakaowapelekea moto ๐Ÿ˜‚
Mwaka jana ulihama kisa kudinya majirani ๐Ÿ˜‚ au na hapo ulipohamia umeshapachoka?
 
Shida yenu vijana hamjiamini mbele za mademu wenu.
Mwanaumme aliye kamili lazima atamke njano ni njano na nyeusi ni nyeusi.
Kupelekana kama mang'ombe yaendayo mnadani, hiyo ishapitwa na wakati.

Wanawake huanza kutest mitambo yao mdogomdogo, ukiwa bongolala ndo hapo hupenya na kurefusha mapembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ