Home boy fanya lile ambalo lipo ndani ya uwezo wako

ninyi mliishi nao vipi hadi mkadumu emu toa ushauri kwa sisi vijana wa sasa
 
Wazo zuri saana tutaishi humo....
Lakini Mimi mbona nikijaribu kutumia bando la kawaida jf haifunguki hadi WiFi shida ni nn?
 
Duh
Huyo Will Smith ni simp pro max, anadhalilisha sana gender yake.

Hajajua tu kuwa hata akimpa figo yake huyo Jada ni kazi bure.
Na pia dawa ya Ke ni Ke mwingine
Tena simp sio kidogo, mkewe Jada amenukuliwa akisema pamoja na kwamba amefall kwa home boy mwingine lakini hayupo tayar kuachana na will Smith



Kwasababu Will Smith anampa uhuru wa kutosha, hii inaonyesha toka zamani Will Smith alikuwa amependa mpaka akawa hana sauti kwa mkewe,madhara yake ndio hayo sasa
 
Home boy kuna demu hapa an ananishawishi nipeleke barua kwao
sasa namwambia barua shingapi mara anasema laki 2 au 4

hom boy nimegombana nae hapa mpka mama wa supu na boda boda ndo wamekuja kutuachanisha

home boy tusi fake life ahahhahahahah
Tusifake life home boy, barua huambatana na 20,000/= au 30,000/ kwahiyo ulikuwa sahihi kabisa
 
Mwanamke anakata kucha halisi ili aweke za bandia

Mwanamke ananyoa kipara ili avae wigi

Mwanamke ananyoa nyusi ili aweke za bandia

Mwanamke anaolewa na tajiri kisha analala na masikini kwasababu tajiri haridhishi kitandani

Mwanamke anamroga mume awe bwege ampende kuliko wote kisha akifanikiwa hapo anakereka na uzoba wa mume

Mwanamke
 
Hutakiwi kuhangaika Wala kujali sana mambo ya mwanamke ukaacha ya kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…