Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #261
gang chomba yuko kwenye jukwaa la Dini anakemewa mapepo.
Teh teh heh
juve 2-0 Atalanta
AS Roma 5-1 Cesena
juve 2-0 Atalanta
AS Roma 5-1 Cesena
Juve bad news!gang tangu milan waukalie kwa inter jamvini haonekani!juve ni zaidi ya mikosi kwetu draw ndo kufungwa!
Juve bad news!gang tangu milan waukalie kwa inter jamvini haonekani!juve ni zaidi ya mikosi kwetu draw ndo kufungwa!
juve 2-1 Udinese.
Thanx to Matri
Hofu imetanda nchini Italia. Ni katika jiji la Milano.Pale katika uwanja wa San Siro. Kisa? Vijana kutoka jiji la Londoni!
Arsenal to face AC Milan in Champions League | News Archive | News | Arsenal.com